Napenda Kukiri kwamba mimi Ni mmoja wa watu wanaopenda Maendeleo ila Nachukizwa na Maendeleo yanayokuja baada ya kuuawa kwa watu yanaumiza sana watu wanabaki Mayatima na wengine Wajane inaumiza sana..
Itafika Kipindi wananchi watachoka Kuona uonevu huu Je tuko tayri kuona Wananchi wakireact na...
Naandika andiko hili kwa uchungu sana!Kwanza ni jambo zuri sana Kwa jeshi la polisi kushirikiana na jeshi la akiba maarufu kama Mgambo katika kulinda usalama wa raia na mali zao.Ni jambo la kupongezwa na Kila mtu anayelitakia mema Taifa lake!
Mkuu pasipo kuficha kitu hawa Mgambo wanaosaidiana...
Habari members,
Huyu Mhandisi Nyamo-Hanga tangu amepokea kijiti toka kwa Maharage ameshindwa kuhaminisha umma wa Tanzania ya kwamba anafaa kuendelea kuikalia nafasi hiyo adhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya Taifa licha ya kupewa kipindi cha uangalizi cha miezi sita na Mh. Raisi Samia...
Hellow members,nimekuja kushare nanyi fursa hii niliyogundua kuwa inahitajika kwenye soko la kuuza na kununua bidhaa hasa kariakoo.
Nimekuwa nasafirisha bidhaa za watu mbali mbali kutoka kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani kwa mda sasa.
Katika hizi harakati mara nyingi nimekuwa...
Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dr Shoo amekabidhiwa gari mpya Toyota Landcruiser ya Mwaka 2023 mpya kabisa 0 km iliyonunuliwa kiwandani
Ahadi ya kumnunulia Zawadi ya gari ilitolewa kwenye misa ya shukrani ya Mchungaji Dkt. Kimaro ambapo Wabunge, Mawaziri, Viongozi wa Dini, Viongozi wa Siasa na...
CWT kama ilivyo kwa Vyama vingine vya wafanyakazi, imekuwa ikiingiliwa utendaji wake na Wanasiasa.
Je,!Sheria zinasemaje kuhusu hili? Imekuwa kawaida kushinikiza makada hasa wa CCM ndio wawe Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi.
Ni muda muafaka sasa kwa wanasheria kuliangalia suala hili.
Kufatilia huduma katika mashirika ya Umma kunakera sana.
Kuna ujinga na kujisahau sana kwa watumishi sijui shida ni nini? Kwa mfano
Taasisi nyingi zina namba za simu za huduma kwa wateja ila ukipiga hazipokelewi ama hazipatikani kabisa, tatizo ambalo ungetakiwa ulisolve ukiwa kigoma tena kwa...
1.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa.
2.Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay.
3. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishina Msaidizi wa Polisi ACP, Safia Jongo.
4. kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa, Theopista- kamanda wa polisi mkoa wa Songwe.
5. Kamanda...
Utangulizi
Kwa kuzingatia masharti ya Ibara ya 63 (3) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, Mkataba kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji Kazi wa...
Inashangaza kuona baadhi ya maeneo bado wanatumia opras kama rejea ya utendaji kazi wa watumishi. Ikumbukwe kwamba fomu hizi hujazwa na mtumishi kwa kushirikiana na kiingozi wake.
Kwa asilimia kubwa, hakuna uhalisia katika upimaji kwa kutumia hizi fomu
Katiba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inaitaka Bodi ya Wadhamini ya Chama kufanya mikutano isiyopungua mitatu kila mwaka.
Hata hivyo, nilibaini kuwa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haikufanya mikutano yoyote katika mwaka huu wa fedha...
Mwenye Macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi Sikiaa.
Wakati Vyombo vya Habari vikubwa hapa Nchini vikiwa mfukoni Kwa Msoga Gang na Kwa matukio ya kupangwa, lengo ikiwa ni kupambana na JPM.
Hata Yesu alisema 'Waacheni wapige kelele, maana Hata Hawa wakinyamaza basi Ile miamba na mawe...
Kwa ujumla sisikii hata ile minog'ono kuwa kuwa serikali ya CCM chini ya mama Samia haitekelezi inavyotakiwa ilani ya CCM.
Kazi inaendelea kupigwa kwa nguvu.
Miundombinu inaimarishwa na bila ajizi kila kona ya Tanzania miradi ya kuimaridha miundo mbinu inaendelea.
Sekta ya elimu ndio iko...
Salaam kwenu wapenda maendeleo. Najua Kuna wakati tunawachosha kwa makala nyingi za mfululizo , tusichoke kushiriki Hanna kwasababu kupitia platform hii, Kuna watu wanabadili mitazamo. Kuna wengine tunaandika siyo tu kwaajili ya shindano la story of change, No, wengine tunaitumia platform hii...
Ndugu zangu Kuna kipindi fulani ilikuwa ukisikia kuwa kesho katibu mkuu wa Chadema Mh. Dr Slaa atakuwa na mazungumzo muda fulani, ni kama nchi ilikuwa inasimama. Vyombo vyote vya habari vilikuwa vinafika hata kabla ya muda husika, kila mtanzania alikuwa anatega sikio kusikia nini kitakacho...
Uwajibikaji ni kitendo cha kutimiza majukumu uliyopangiwa kiasili(kama mzazi katika familia) na mahala pako pa kazi na muajiri wako. Uwajibikaji ni neno linalotokana na neno wajibu linalomaanisha kufuata majukumu na kuwa mwangalifu wakati wa kufanya maamuzi au kufanya jambo. Kuna mifano mingi...
Kwa taasisi kubwa kama TRA inakosa back up, eti wanaweza wasifanye kazi siku nzima eti mtandao hakuna seriously
Yaani unaenda asubuhi mpaka mchana wakati mwingine siku nzima hawatoi huduma eti mtandao hakuna, Are you serious? Ina maana TRA inakosa back up?
Bora ingekuwa tatizo la Mara moja...
Niende moja kwa moja kwenye mada naomba mod usiunganishe huu uzi maana hawa uhamiaji Uzi zao zimekuwa nyingi sana, na ni jeshi ambalo kama limejisahau hivi wao wanachoweza ni kutembelea nyumba za wageni, vituo vya usafiri kukuta wageni na kubageini biashara imeisha hawatimizi wajibu wao...
Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mhe. Albert Msando amepongezwa kwa utendaji kazi wake kuwa kwa kipindi kifupi umeleta mabadiliko mazuri kiutawala na hasa katika kuwaletea maendeleo wananchi na wakazi wa wilaya ya Morogoro Mjini.
Hayo yamezungumzwa na Waheshimiwa Madiwani katika kikao Cha Baraza la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.