mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    Wanafunzi 194 Momba wapewa mimba ndani ya mwezi mmoja: kazi iendelee

    Mwanadamu ukimpa uhuru uliyopitiliza matokeo yake ndiyo haya.imagine mtoto wako katiwa mimba Ili baadaye akijifungua akuachie kijukuu na kurudi shuleni!! Kwa sababu tumekubariana tuwape uhuru wa kubeba mimba na kurudi mashuleni ,naomba pia tuwape uhuru wa kutumia Kinga dhabiti wasibebe mimba...
  2. Comrade Ally Maftah

    Watoto wa kike wanaokosa malezi ya baba wapo hatarini kuanza matendo ya ndoa katika umri mdogo na kupelekea mimba za utotoni

    WATOTO WA KIKE WANAOKOSA MALEZI YA BABA WAPO HATARINI KUANZA MATENDO YA NDOA KATIKA UMRI MDOGO NA KUPELEKEA MIMBA ZA UTOTONI Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali inaonyesha kwamba mtoto anayekosa malezi ya baba anakuwa hatarini kupata mimba za utotoni...
  3. JanguKamaJangu

    Wanafunzi 194 wapewa mimba kwa Mwezi 1 Wilayani Momba

    Kwa muda wa mwezi mmoja jumla ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wapatao 194 wamebainika kupewa mimba na kukatishwa masomo yao katika wilaya ya Momba Mkoani Songwe. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, wakati akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Chiwanda...
  4. K

    Ni sahihi kumpa mimba mke miezi miwili tu baada ya kujifungua na kupoteza mtoto?

    Mwezi wa pili mke anajifungua na mtoto kufariki, mwezi wa nne mke anapata mimba nyingine. Ni sahihi wadau kiafya na kisaikolojia ya mke? Karibuni wadau kwa elimu.
  5. Expensive life

    Dada zetu mnajidanganya sana kubeba mimba ukidhani hatokuacha

    Dada zetu mtalea sana watoto peke yenu na kujipa usingo mother usio na sababu, kumbukeni kuwa kuzaa ni mipango ya watu wawili mama na baba. Sasa unakutana na binti kaanzisha tu mahusiano na mume wa mtu pasina kufikiria chochote yeye chap kwa haraka akili zinamtuma ili kumkama huyu jamaa ni...
  6. N

    Je, wakati umefika kwa nchi yetu kutunga sheria inayoruhusu utoaji salama wa Mimba?

    Nimelazimika kuleta Uzi huu, kutokana na kuona ongezeko kubwa la watoto wa mitaani, yatima, watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, machokoraa, "panya road" na kadhalika. Ukichungiza matatizo yote hayo, mwanzo wake ni kutokana na mimba zisizotarajiwa. Kwa vyovyote vile mtoto akiletwa duniani...
  7. N

    Wachezaji wa kike wanaweka mpira tumboni kama kampeni ya kupinga kuachwa na klabu zao wakipata ujauzito. TFF wasema wanajua ni aina ya ushangiliaji

    Kwanza nianze kwa kuwapa maua yenu Jamiicheck, binafsi nawakubali sana kazi yenu. Big up sana sana. Twende kwenye mada. Naona kuna Picha za wachezaji wa kike wakiwa wanaweka mpira ndani ya jezi tumboni, baadhi ya watu wanasema hiyo ni kampeni ya kuvitaka vilabu wasiachane na wachezaji wao...
  8. LA7

    Nilimuoa kwa huruma ya mimba, moto unazidi kuwaka ndani

    Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo. Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu nilivyovileta kuwa vimeoza, basi nikasema isiwe kesi kuanzia kesho nitaacha tu pesa sitahemea kitu...
  9. Equation x

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume wangu vizuri. Cha kushangaza, kila mmoja aniiti jina langu tena; bali wananiita baba fulani kutokana...
  10. Tajiri Tanzanite

    Yanga ni zee ambalo halina mafanikio ukilinganisha na umri wake

    Hapo vip, Nimejiuliza maswali sana kuhusiana na hizi kelele za yanga dhidi ya Simba sc, kuweka mabango na kalele.za kufika robo fainali club bingwa. Majibu ni kwamba yanga ni zee ambalo halina mafanikio ukilinganisha na umri wake. Kwasababu tokea Dunia kuumbwa na yanga kuanzishwa ndio mara a...
  11. Suley2019

    RC Halima Dedengo: Mwanafunzi ukipata mimba mshitakiwa wa kwanza unakuwa ni wewe

    Imezoeleka katika suala la mimba mashuleni anayepewa adhabu kisheria Huwa ni mwanaume lakini kwa mkuu wa mkoa wa Singida Halima Omari Dedengo haiwi hivyo , amesema mwanafunzi wakike atakayebeba ujauzito atakuwa mshtakiwa wa kwanza na aliyempa mimba anakuwa mshtakiwa wa pili na wote watapelekwa...
  12. SteveMollel

    Sio kila mimba isiyo na baba basi ni kwa uwezo wa roho mtakatifu.

    Baada ya kuponea maisha kwa kuzama ndani ya ziwa la barafu, kipindi akiwa msichana mdogo, Cecilia alikata shauri la kumtumikia Mungu kwa kipindi chake chote alichobakiza duniani. Kwahiyo anapofikia umri, anajiunga na 'convent' ya hapa Italia ili apate kuwa sister kwa kiapo na matendo. Hivyo...
  13. Jaji Mfawidhi

    Shida ya kushika mimba na jinsi unavyoweza kutatua tatizo hilo kwa kutumia lishe

    1. Tunaendelea kudodosa yaliyomo kwenye kitachu Eating to Conceive by Lisa Olson. 2. Kazi yangu ni kufanya tafiti na kuwasilisha majibu kwa lugha tunayoishi nayo kila siku. Lengo tuelewe, tusikariri! Sitakagi mambo mengi. Tuendelee. Kanuni ya Pili: Kula Complex Carbohydrate na nafaka kwa...
  14. cold water

    Kwanini sishiki mimba?

    Siku zangu za kupata hedhi kila mwezi,ni kila tarehe mbili imebadilika sana hedhi yangu, naweza nikapata tarehe moja na huwa naenda siku tano tu. Sasa basi, mwezi ulopita,yaani mwezi wa tatu, nilipata hedhi yangu tarehe 2 kama kawaida nikakutana na mume wangu tarehe 13 na 14 ya mwezi wa tatu...
  15. K

    Anayejua sheria za ubebaji mimba (surrogacy contract/laws) Tanzania

    Teknologia imebadilika sana. Hivi karibuni. Kwa ukuaji wa teknologia siku hizi mwanamke anaweza kubebeshwa mimba kwa kuwekewa "embryos" yai la mwanamke mwingine na mwanaume ambalo lime stawishwa kwa kiswahili changu kibaya. Sasa Mbebeji wa mimba anakuwa hana DNA yeyote zaidi ya kwamba yeye ni...
  16. Staphylococcus Aureus

    Mlikaa muda gani baada ya kuoana kabla ya kupata mtoto?

    Wakuu nina miezi miwili bila bila niko kwa ndoa. Niko na mashaka.
  17. G

    Usimuoe binti kwa sababu tu umemtia mimba. Usioe kwa huruma, hakikisha unaona mtu anayefurahisha hisia zako

    Watu wengi wanashindwa kutofautisha mahusiano na mapenzi. Siyo kila uliye naye kwenye mahusiano ana mapenzi na wewe. Mapenzi (love) hupatikana kwa mtu au kitu chochote kinachofurahisha hisia. Love is obtained from a person or thing that makes your emotions happy. Mapenzi hupatikana hata kwa...
  18. Pdidy

    Utajuaje kama alishawahi toa mimba mfululizo kabla ya kumuoa?

    Kwa wale wenye exp UTAJUAJE KABLA ya kumuoaa huyu mdadaaa alikuwa ametoa mimba sana. KUNA ndoa nyingi wanateseka kupata watoto na pale wanapoenda hospitalini hujulishwa mkeo ALISHAWAHI TOA sana Mimba Nawaza wale wanandoa watatajiwa mtajuaje mtarajiwa ana shida hiyo?
  19. Mto Songwe

    Vijana mmsiishie kuweka mimba tu una jukumu kwa kila kiumbe unacholeta duniani

    Kama unajiona huna uwezo wa malezi bora kwa kiumbe chako na hauna uwezo wa kukitengenezea kesho yake bora ni vyema kabisa usizae. Kufa mwenyewe na umasikini wako acha kuleta kiumbe uje ukipe mateso kwenye hii dunia ya hovyo. Umasikini ni mkubwa sana Africa ukiwa mtu wa field au kazi za mitaani...
  20. OCC Doctors

    Kuyeyuka na kupotea kwa Mimba

    Kifuko cha ujauzito baada ya mimba kutunga (gestational sac) ni muundo uliojaa maji unaozunguka kiinitete (embryo) wakati wa wiki chache za ukuaji wa kiinitete. Tatizo la Kuyeyuka kwa mimba 'Blighted ovum' hutokea pale ambapo kifuko cha ujauzito (gestational sac) kinakua bila kiinitete...
Back
Top Bottom