utotoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JOHNGERVAS

    SoC04 Tanzania tuitakayo baada ya miaka sita kufikia 2030 ni kufuta mimba za utotoni na ndoa za utotoni

    TANZANIA TUITAKAYO BAADA YA MIAKA MITANO NI KUTOKEMEZA MIMBA Z A UTOTONI NDOA ZA UTOTONI KWA KUANZISHA NA KUIMARISHA MITANDAO YA KIJAMII NA KISHERIA AMBAYO INASHUGHULIKIA UKATILI WA KIJINSIA, KUFUTA HAKI FULANI ZA KIJAMII AU KISHERIA KWA WAHALIFU WA UKATILI WA KIJINSIA, KAMA VILE HAKI YA KUWANIA...
  2. B

    Ndoa za utotoni na mimba za utotoni zinakwenda sambamba

    Tukimaliza ndoa za utotoni tutakua pia tumepunguza mimba za utotoni
  3. Comrade Ally Maftah

    Watoto wa kike wanaokosa malezi ya baba wapo hatarini kuanza matendo ya ndoa katika umri mdogo na kupelekea mimba za utotoni

    WATOTO WA KIKE WANAOKOSA MALEZI YA BABA WAPO HATARINI KUANZA MATENDO YA NDOA KATIKA UMRI MDOGO NA KUPELEKEA MIMBA ZA UTOTONI Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali inaonyesha kwamba mtoto anayekosa malezi ya baba anakuwa hatarini kupata mimba za utotoni...
  4. M

    Jambo gani ulikuwa ukikatazwa utotoni na mzazi/mlezi ukahisi sio sawa ila huku ukubwani unashukuru sana kuwa yale makatazo yamekusaidia kuwa mtu bora?

    Nilipokuwa mtoto kuna wakati nilikuwa naona wazazi hasa baba kama wamezidisha unoko ila kwa sasa ndo nimekuja kuelewa nilikuwa najengwa kuwa mtu bora. Haya hapa makatazo ambayo nilidhani ni ya kinoko kumbe yalikuwa mema sana. 1. Giza likiingia halafu usiwepo nyumbani balaa lake lilikuwa zito...
  5. safuher

    Usifuate wala kuyaamini malengo ambayo ulijiwekea utotoni

    Wakati wa utoto wetu kila mmoja akiulizwa una malengo ya kuwa nani basi atajibu mwalimu,daktari au mtu fulani. Malengo yale ni upuuzi mtupu na wala hatutakiwi kuyazingatia kwa sababu malengo yale ni utumwa ambao tujilijapndikizia katika akili zetu. Tuliyachagua malengo yale kwa sababu ndio...
  6. Suley2019

    Rais Samia: Mimba za utotoni zimeongezeka Dar

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika Mikoa ya Dar es salaam, Njombe na Ruvuma viwango vya mimba za utotoni vimeongezeka, huku mapambano ya kupunguza idadi ya mimba hizo yakirudi nyuma ambapo amewataka Wazazi waendelee kuwalinda Watoto wetu dhidi ya mimba za utotoni. Rais...
  7. Jaji Mfawidhi

    Sofia Mjema kushauri ndoa za utotoni

    Leo 22-10-2023 Serikali imetengua nafasi ya Katibu uenezi wa CCM -Sophia Mjema ambaye hajadumu hata kwa miezi 3 kutokana na kupwaya sana na baada ya nafasi ya kumuweka kukosekana imetengenezwa nafasi ya kuwa mshauri wa Raisi mambo ya wanawake na watoto; Serikali imesaini mkataba waDP World na...
  8. BLACK MOVEMENT

    SoC03 Kumaliza tatizo la mimba na ndoa za utotoni tuondoe Umasikini kwanza

    Tuondoea umasikini wa Vipato ili kumaliza tatizo la Ndoa za utotoni na wanafunzi kupewa Mimba. Ukijaribu Kusoma Historia ya wazungu hasa maisha yao ya miaka ya 1800 huko hadi 1930 huko utagundua kwamba haya yanayo tokea huku kwetu sasa pia na kwao yalikuwepo, Wazungu walikuwa na Ndoa za...
  9. C

    Athari za michezo ya utotoni

    Ndugu zangu, habari za jioni? Nawakumbusha wazazi na walezi kuwa makini na malezi ya watoto hasa kwenye michezo Yao pindi wakutanapo na watoto wengine. Ni wazi baadhi ya michezo michefu ikiwemo Tabia za kuingiliwa kinyume na maumbile huanzia kwenye hatua hii pia. Jioni njema.
  10. Roving Journalist

    Waziri wa Afya: Mimba za utotoni zimepungua kutoka asilimia 27 ya mwaka 2015/16 hadi asilimia 22 kwa mwaka 2022

    SERIKALI KUSHIRIKIANA NA TAMWA KATIKA MASUALA YA AFYA YA UZAZI MAMA NA MTOTO. Na. WAF - Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kushirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) katika kupambana na kutoa elimu juu ya masuala ya Afya ya Uzazi Mama na...
  11. Pfizer

    Uelewa mdogo wa jamii juu ya Uzazi wa Mpango, ni chanzo cha ndoa na mimba nyingi za utotoni

    Ukosefu wa Elimu ya Uzazi wa Mpango katika Jamii nyingi hasa Wazazi, hupelekea watoto wao kupata mimba za Utotoni ambazo nyingi husababisha ndoa za utotoni. Vijana wengi hawana Uelewa juu ya mabadiliko yao ya kimwili yanayoambatana na kuanza mahusiano ya kimapenzi kwenye Umri mdogo bila kuwa na...
  12. Analogia Malenga

    Wakili Mwabukusi: Tanganyika ilibakwa, muungano ni sawa na ndoa ya utotoni

    Wakili Mwakubusi amesema kuwa kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Tanganyika ilibakwa, muungano ilikuwa ni ndoa ya utotoni. Amesema aina ya muungano uliopo sio muungano uliohitajika na watanganyika. Aidha amesema hoja za kuwamba anachochea ubaguzi hazina mantiki kwa kuwa mambo mengi...
  13. digba sowey

    SoC03 Huu ndio mwarobaini (Suluhu) dhidi ya mimba kwa watoto wa kike mashuleni na majumbani

    Karibuni katika kuchangia mawazo ili kuweza kupata mbinu zitakazo wezesha kumnusuru mtoto wa kike dhidi ya mimba za utotoni na ukatili wa kingono,mara nyingi naweza sema kuwa serikali imekuwa nyuma sana katika kuhakikisha kuwa inazuia na inaweka mazingira ambayo mtoto wa kike anakuwa katika...
  14. kapolo

    Sheria 13 za mpira wakati tukiwa watoto

    Duuuuuuuh SHERIA 13 ZA BOLI WAKATI TUKIWA WATOTO. 1. dogo mnene lazima awe Golikipa 2. Mwenye mpira ataamua nani acheze na nani asicheze. 3. Penati itatokea tu pale mchezaji akiumia sana na kutoka damu. 4. Mechi itaisha kama kila mchezaji atakua amechoka. 5. Hakuna free kick, kitu kama...
  15. Mohammed wa 5

    TUKUMBUSHANE: Tukio gani la hatari uliwahi kufanya utotoni?

    Hope ni wazima wana JF, Je, uliwahi kufanya tukio gani la hatari kipindi unakua? Sitosahau siku moja ilikuwa ni likizo ya Pasaka siku ya Ijumaa tukiwa group la watoto kama 6 hivi, mmoja alikuwa wa kike Jesca, tulienda porini sio mbali sana na maeneo tunayoishi. Baada ya kutembea tembea kidogo...
  16. Nyendo

    BAKWATA mnayajua mateso ya mwanamke akiolewa katika umri mdogo?

    Wakati Dunia ikiwa inaendelea kupigana vita ili kumuokoa mtoto wa kike kutoka kwenye kitanzi cha ndoa za utotoni BAKATWA wamemekuja na kauli yao ya kupinga kuondolea kwa sheria ya ndoa inayoruhusu mtoto wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya wazazi wake. Ajabu ni kwamba wao wameongza kuwa mtoto wa...
  17. music mimi

    Ni kitu gani ulijifunza utotoni baadaye ukagundua ulipotoshwa na wazazi/walezi?

    Ebu shea na sisi pengine wale wanaorithi kila kitu toka kwa wazazi watakiepuka kwenye malezi ya watoto zao. Mimi nilikuwa nakatazwa sana kucheza kwenye majumba ya majirani. Wazazi wangu muda wote walitaka wanione nyumbani tena nikiwa mtulivu. Niliamini kutembea kwenye nyumba za jirani ni...
  18. U

    Waarabu na wahindi tangu utotoni wanafundishwa biashara, mbongo anasubiriwa hadi afike 25. Kuna haja ya kuendelea kumtafuta mchawi ?

    Na ndio chanzo kikubwa cha biashara nyingi zilizofanikiwa kuanza kuyumba pale baba akifariki kila kitu kinaparanganyika. Unakuta familia tayari inajiweza kiuchumi inaingiza makumi ama mamia ya mamilioni kila mwezi lakini wazazi wanawakomalia watoto kusoma tu na matuisheni utadhani sio familia...
  19. Mshana Jr

    Marafiki wa kweli ni wa utotoni

    Usiumizwe sana na marafiki wa ukubwani Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani Wachache sana huwa wakweli na wasio na agenda kificho Marafiki wa kukutana high school Marafiki wa kukutana vyuoni Marafiki wa kukutana makazini Marafiki wa kukutana ukubwani kwenye biashara, uchumba nknk.. Si marafiki...
Back
Top Bottom