mateso

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Kuwa Mpinzani kisiasa ni mateso sana

    Hasa ukiwa kwenye chama cha siasa ambacho ni dhaifu na kisicho na uelekeo, sera wala mipango itakayowavutia wananchi kukiamini, kukuunga mkono na kukichagua kuongoza. Ni mateso kuishi na kufanya kazi ya siasa kwenye, Chama cha siasa cha upinzani ambacho hata viongozi wake waandamizi...
  2. Comrade Ally Maftah

    Mambo ambayo mwanaume yanayoweza kukuletea majuto na mateso katika mahusiano/ndoa

    MAMBO AMBAYO WANAUME TUNAKOSEA NA KUJIKUTA KATIKA MAHUSIANO/ NDOA INAYOKUTESA Na Comrade Ally Maftah Leo nime wiwa kugusia mambo ambayo wanaume tunayakosea na kujikuta kwenye mahusiano ya mateso au ndoa zinazovunjika na kutuacha na majuto. 1. KUANZISHA MAHUSIANA NA MWANAMKE ALIYEKUWA KWENYE...
  3. R

    Hivi kwa nini Rais Samia anawafanyia wamasai haya mateso? Kwanini anauza Tanganyika yetu?

    Tumepiga kelele, tukamuomba, aache kuwaumiza wamasai kuwatoa kwenye ardhi yao. Kuuza rasilimali zetu kwa waarabu. CCM, watanganyika wenzetu kwa kutetea matumbo yao wamepitisha sheria za hovyo as long as wanashiba na familia zao. WANAMPA SAPOTI SAMIA AUZE TANGANYIKA WHILE ZANZIBAR REMAINS...
  4. B

    Miaka mitatu ya mateso ya Simba utadhani ni muongo mmoja umepita

    Kuna mtu aliwahi kunipa stori za maisha yake akiwa na pesa na akiwa hana. Alinambia kua wakati yeye yuko fiti kiuchumi alikua anawashangaa wanaolalamika kwamba maisha magumu hawana chochote. Baada ya miaka kadhaa nayeye akafulia, Sasa kwake ilikua ni hatari akawa anajiuliza kwamba hivi hata...
  5. USSR

    Serikali haioni mateso ya watoto wadogo kupindi hiki cha mvua kubwa na ikasimamisha kwa muda

    Baada ya maji kuwasomba watoto na kuwauwa kule Arusha nilijua serikali ingeona nini kitatokea, na sasa wanasema itachukua wiki mbili kunyesha kwa kiwango kikubwa namna hii na watoto wa kitanzania wanasota huku wale wa nchi za jirani wamesitisha ukatili huu kwa muda Ukiwa njiani unawaona watoto...
  6. T

    Ni lini Serikali itaondoa/ itamaliza kadhia na mateso ya usafiri wa daladala kwenye majiji makubwa?

    Kuna wakati ukizoea sana shida huwa unaacha kuichukulia kama shida ila inageuka kuwa kama maisha ya kawaida. Kwenye majiji makubwa hasa Dar, Dodoma Mwanza Mbeya na Arusha majira ya asubuhi na jioni wananchi hupata mateso makubwa sana wanapohitaji kusafiri Kwa kutumia daladala. Licha ya kuwa...
  7. A

    KERO Ubovu wa Barabara ya Kawawa unatupa mateso makali Wananchi wa Goba Matosa

    Naomba ujumbe huu uwafikie Viongozi wetu wa huku kwetu Goba Matosa Uzaramuni kuna changamoto ya Barabara ya Kawawa (Kawawa Road) imeharibika kwa kiwango kikubwa. Huu ni mwezi wa nne tangu hali iwe mbaya zaidi, kila kiongozi anayekuja kazi yake ni kupiga picha na kuondoka lakini utekelezaji ni...
  8. Webabu

    Kamala Harris aumizwa na mateso ya Wapalestina. Mwanamfalme wa Saudia na Jordan wapo kimya kabisa

    Makamo wa raisi wa Marekani Kamala Harris ameibuka kutoa kauli kauli kuilani Israel kwa jinsi inavyoua na kutesa watu wa Gaza bila sababu za msingi. Katika karipio lake ametumia neno kusitisha vita moja kwa moja badala ya maneno mengine ya mzinguka kutaka matekan na vitu vyengine vidogo vidogo...
  9. Erythrocyte

    Biashara ya Sukari imekuwa mateso kwa Wafanyabiashara

    Wafanyabiashara wa Tanzania , hasa wale wanaouza sukari ni kama Watumwa wa serikali , ni watu ambao wamekubali pia kuwa Watumwa , haijulikani sababu hasa ya wao kukubali kuwa mbuzi wa Kafara (Binafsi nisingekubali hata kwa Bunduki) Ikiwa kama uzalishaji wa sukari umeshindikana kwa sababu...
  10. Eli Cohen

    Je, kuna watu ambao wako systematically prone kwa tabu na mateso na ni vigumu mikosi yao kuondolewa kirahisi kama wengine?

    Hakuna mwanadamu asie kuwa na changamoto. Asilimia kubwa ya watu duniani tunapitia matatizo makubwa mbali mbali ila kuna wale watu ambao utafikiri furaha hata robo sio ridhiki kwao. Unaweza mkuta mmama, mwenye hurka ya kuishi vyema na watu lakini anapitia mateso kutoka kwa mme wake, wifi zake...
  11. Suley2019

    KERO Sehemu za kuvuka Morocco, Ubungo na Mbezi Louis ni mateso kwa Wananchi

    Salaam Wadau, Kama umewahi kufika Ubungo, Morocco na Mbezi Louis utakutana na kivuko cha watembea kwa miguu kinachopita juu ya barabara. Japokuwa sehemu hizo zilikuwa na nia ya kurahisisha uvukaji kwa Watembea kwa miguu, lakini namna vilivyotengenezwa vimekuwa kama adhabu kwa wavukaji wake...
  12. Just Distinctions

    Rose Muhando: Safari ya mateso, huzuni, furaha hatimae ushindi

    Katika mmoja ya wasanii ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao na wana vipaji vya ajabu ni Rose Muhando hakika hakuna atakaepinga hilo na nyimbo zake kwa miaka mingi zimetubariki na kutusogeza karibu na muumba kwa namna ya pekee kabisa, Mungu aendelee kumbariki. Wengi wasichokijua ni kuwa Rose...
  13. S

    LATRA Mkoa wa Arusha haya mateso ya usafiri wa King'ori na Kikatiti yataisha lini? Daladala zinaishia Maji ya Chai. Abiria wanateseka

    Kuna daladala zimepewa leseni za kusafirisha abiria kutokea maeneo yafuatayo; 1. Oldonyosambu, Monduli, Morombo, Intel, Kisongo kupitia stand ndogo kwenda Kiong'ori 2. Oldonyosambu, Monduli, Morombo, Intel, Kisongo kupitia stand ndogo kwenda Kikatiti Haya magari kwanza hayaanzii safari sehemu...
  14. P

    Bado siku 17, nipo kwenye mateso wazee

    Hope wote ni wazima wa afya. Wakuu Leo siku ya kumi na Moja Toka nianze kutumia pep TLD hii nikutokana nilikula pis moja iv bermaid ambayo machale yalinicheza kuwa ina weza kuwa ina moto. Baada ya kuwahi kituoa Cha afya within 72 hrs nikapewa pep TLD, ila wakuu nipo kwenye mateso leo siku ya...
  15. Nigrastratatract nerve

    Mwaka 2023 umekuwa mwaka wa mateso makali kwa wananchi, zijue kero 30 zilizosabishwa na serikali mwaka 2023

    1. Kushuka kwa thamani ya pesa yetu dhidi ya dola 2. kusuasua kwa miradi ya maendeleo 3. mikopo ya hovyo hovyo inayoathiri mzunguko wa fedha kwa wananchi 3. Wizi, ufisadi na uporaji wa mali za umma 4. Matumizi mabaya ya Gari za serikali saa 5. Kupanda hovyo hovyo kwa nauli 6. Kupanda hovyo...
  16. Expensive life

    Kaka yangu ni mwalimu, maisha anayoishi ni mateso

    Brother ni mwalimu huko mkoani Arusha, brother alikopa pesa sijui ni tsh. Ngapi? Ila alichofanyia ni kichekesho, alinunua tv kubwa, generator, king’amu, akarepea na nyumba anayoishi pale shuleni. kwa sasa anamalimbikizo ya madeni siyo kitoto, mke wake aliniambia kwa sasa kila mwisho wa mwezi...
  17. Chizi Maarifa

    Ukitaka kuishi kwa Mateso na Majuto Tanzania uwe hivi

    Utapata shida sana yaani uamue kuishi kwa kutumia akili? Utateseka na kila mtu atakushangaa sana na kukuoana kuwe wewe ni mtu wa ajabu sana maana haijazoeleka kabisa kwa watu kuishi kwa kutumia akili. Hata sisi wenye akili nyingi humu JF tunachukiwa sana na members wengine. Tunazodolewa kila...
  18. DR HAYA LAND

    Maisha ya kuishi kwa kuwaza msahara ni mateso

    Guys, Maisha hasa ya Watumishi wa umma kuishi wanawaza mshahara kila wakati ni mateso Sana. Baada ya kupata ajira waza sana kuwa na Uhuru Wa pesa yaani financial freedom Kwa kujifunza kuwekeza n.k Mfano unalipwa 700k baada ya makato yote how comes unashindwa kusave 150k Kila mwezi. Kama...
  19. Chachu Ombara

    CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  20. M

    Nilichokiona kwenye mahabusu hii ya polisi ni mateso. Criminal justice of Tanzania is cruel

    Masa 24 unalala kwenye sakafu. Dhamana za polisi ni ngumu kupata. Mahabusu wanacheleweshwa kupelekwa mahakamani kinyume na sheria. Sakafu ni baridi kanakwamba zimemwagiwa barafu. Waziri yupo tu wala hafanyi ziara yoyote kukagua.
Back
Top Bottom