mahakamani

  1. Travelogue_tz

    Tetesi: Serikali kuburuzwa mahakamani kuhusu wizara ya afya kubadili mitaala ya vyuo vya afya vya kati bila kufuata utaratibu

    Na Mwandishi Wetu Jopo la Mawakili kumi na nne (14), wataalamu wa takwimu nane (8) na wataalamu wa mitaala watatu (3) kutoka katika kampuni za ushauri elekezi na uwakili zinapanga kuiburuza Serikali Mahakamani kutokana na uamuzi ya wizara ya afya kupitia kurugenzi yake ya mafunzo na...
  2. Replica

    Alala na kula Serena kisha kutokomea bila kulipa deni la milioni 21, adakwa na kufikishwa mahakamani

    Mkazi wa Dar es Salaam, Denis Mfumbulwa mwenye miaka 44 wa Goba Kulangwa amefikishwa mahakama ya mwanzo ya Kariakoo akidaiwa kujipatia malazi na chakula kwenye hoteli ya Serena kitapeli vyenye thamani ya milioni 21.4 Baada ya kupata huduma, mdaiwa alitokomea kusikojulikana. Mfumbulwa alikana...
  3. Erythrocyte

    Boniface Jacob na Godlisten Malissa Wafikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

    Wamefunguliwa kesi ya Uchochezi na kuzua Taharuki Kesi hiyo imefunguliwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu, Dar es Salaam. Bado haijajulikana kama watapata dhamana au watapelekwa Segerea Jopo la Mawakili wao likiongozwa na Peter Kibatala tayari lishafika Mahakamani hapo kusimamia...
  4. J

    Chechefu mahakamani tena

    CHECHEFU MAHAKAMANI TENA Safari hii ni kampuni ya NAS HAULIERS iliyokopa bilioni 50 ikakataa kulipa na kukimbilia mahakamani ikiishitaki benki iliyofanikisha mkopo - ikitetewa na wakili yule yule mzee wa Mikopo chechefu, Mahakama ikaipa ushindi - Leo inapandishwa kizimbani Mahakama ya Rufaa...
  5. Zakaria Maseke

    Kielelezo kinatakiwa kusomwa kwa sauti Mahakamani

    Nyaraka ikishapokelewa kama kielelezo Mahakamani, inatakiwa yule shahidi aliyeleta hicho kielelezo asome kwa sauti kilichomo ndani ya hicho kielelezo mbele ya Mahakama, ili upande wa pili kwenye kesi uweze kuelewa yaliyomo kwenye kielelezo na kuweka pingamizi kama anataka kupinga. Kama kuna...
  6. Zakaria Maseke

    Njia mbali mbali za kutoa ushahidi Mahakamani

    Ushahidi Mahakamani (kwenye kesi za madai) unaweza kutolewa kwa njia ya mdomo (orally) au kwa njia ya maandishi (witness statement). Rejea Order XVIII (2) (1) ya CPC (amendments za mwaka 2021). Sasa, ukiomba kwenye kesi yako utoe ushahidi kwa njia ya maandishi (witness statement), ukakubaliwa...
  7. Pfizer

    IPTL inakusudia kwenda mahakamani kushtaki wamiliki, wahariri na wachapishaji wa Gazeti la Mwanahalisi

    IPTL YATISHIA KUSHTAKI GAZETI LA MWANAHALISI Wakili wa IPTL, Leonard Manyama KAMPUNI ya kufua umeme wa dharula ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) inakusudia kwenda mahakamani kushtaki wamiliki, wahariri na wachapishaji wa Gazeti la MwanaHALISI endapo hawataomba radhi kwa madai ya...
  8. F

    Madai ya fidia ya dola milioni Moja ya Erick Kabendera dhidi ya Vodacom yakienda mahakamani tutarajie nini?

    Mimi kwa uzoefu wangu wa kesi za jinai na madai, naona kuna vitu vya kisheria vitajitokeza au kuibuliwa kabla ya kesi ya msingi maana hatujui Kabendera atafungua Shauri la kudai fidia la aina gani. Je, ni la madhara ya kimadai? (Tortious Liability), je ni madhara ya kijinai? (Criminal Liability...
  9. Lycaon pictus

    Hivi mtu akicheza rafu mbaya mpirani anaweza kushtakiwa mahakamani?

    Kuna zile rafu za makusudi na zilizodhamiria kujeruhi. Mtu akicheza rafu kama hiyo kwenye mpira wa miguu au mchezo wowote ule, anaweza kushtakiwa mahakamani kama mhalifu? https://www.instagram.com/reel/C5E8G_TsS26/?igsh=MXg3dzh1YTNrZ2xnNQ==
  10. Intelligent businessman

    Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

    Boby Risky amehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya Naira. Hakimu amemuondolea kipengele cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja. Naona wali msaka long time, Sasa ame jaa. Pia soma Bobrisky , The famous and rich Gay in Nigeria Bobrisky Amwanika Boyfriend wake Billionare...
  11. J

    Makalla atua Katavi na kusema Watasikiliza kero za Wananchi lakini siyo zile zilizopo Mahakamani

    Mwenezi wa CCM Komredi Amos Makala amesema katika Ziara yao Katavi na maeneo mengine watasikiliza kero za wananchi lakini siyo zile zilizoko mahakamani Makala amesema wanajua Wananchi Wana changamoto mbalimbali na kimbilio lao ni CCM Source Jambo TV ====== ====== KAULI YA MAKALLA Katibu wa...
  12. X

    Barua ya udhuru mahakamani

    Naomba kuelekezwa na mfano wa barua ya kuomba udhuru, kutohudhuria siku ya kesi mahakamani mahakama ya mwanzo.
  13. Zakaria Maseke

    Nani anatakiwa kusaini pleadings (nyaraka) za kwenda Mahakamani kwenye kesi ya madai?

    Nyaraka za kufungulia na kujibu kesi Mahakamani (Pleadings) kama vile hati ya madai (plaint) na hati ya utetezi (WSD) zinatakiwa kusainiwa na mhusika (mdai au mdaiwa) pamoja na wakili wake (kama yupo) au mtu yeyote ambaye ameruhusiwa na mhusika. Hata wakili peke yake anaweza kusaini kama tu...
  14. M

    Vodacom naenda mahakamani

    Kuna jambo nadhani mnalifanyia mzaha! Najiunga kifurushi cha mwezi Cheka mitandao yote 10,000tsh Sijatuma messeji zaidi ya nne ndani ya siku sita ila mnaniambia meseji zimeisha, nikiwapigia mnajibu kuwa ni matumizi yangu!! Bando la 50,000tsh na mtandao haufanyi kazi muda mwingine hivyo...
  15. Huihui2

    Wakili Mkuu wa Serikali Boniface Luhende Hana Sifa ya Kusimama Mahakamani

    Mtandao wa e-Wakili ukiingiza namba 4002 utakurudishia jina la Dr Boniface Luhende. Utakuambia pia kuwa haruhusiwi kusimama Mahakamani. Hii ni aibu kwa Serikali ya Rais Samia na ni aibu pia kwa Mhimili wa Mahakama kuacha mtu asiye na sifa aingie Mahakamani na kujiita Wakili No wonder nchi hii...
  16. Konseli Mkuu Andrew

    Nasikitika ninaposikia mafanikio ya TAKUKURU kuwafikisha watuhumiwa mahakamani bila matokeo ya hukumu kwa watuhumiwa wa rushwa

    Kwa mujibu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara 107A(1) inayotamka kama ifuatavyo: "Mamlaka ya utoaji haki katika Jamhuri ya Muungano itakuwa mikononi mwa Idara ya Mahakama na Idara ya Mahakama ya Zanzibar, na kwa hiyo hakuna chombo cha Seriikali wala cha Bunge au Baraza la...
  17. Roving Journalist

    Shauri dhidi ya Mbunge Gekul lasikilizwa Mahakamani, Wakili Madeleka asema DPP hakuwa na Mamlaka ya kufuta kesi

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara imesikiliza shauri la Jinai namba 577/2024 mbele ya Jaji Devotha Kamuzora, linalomhusu Hashim Ally ambaye ni Mrufani dhidi ya Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul ambaye ni Mrufaniwa. Katika rufaa hiyo, Ally anapinga maamuzi yaliyofanywa na Mahakama ya...
  18. Pfizer

    Waandishi wambwaga Freeman Mbowe Mahakamani. Nyumba yaachiwa

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amebwagwa kortini na waandishi wa habari 10, wanaomdai mtoto wake katika kesi aliyofungua kutaka wamlipe gharama kwa kukamata nyumba yake. Uamuzi huo umetolewa leo Machi 13,2024 na Mahakama Kuu ya Tanzania Division ya Kazi mbele ya Naibu Msajili Mary Mrio...
  19. BigTall

    Freeman Mbowe atua Mahakamani kunusuru nyumba ya mtoto wake

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekimbilia Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi kuinusuru nyumba iliyokamatwa kwa amri ya Mahakama ili kulipa Sh. Milioni 62.7 za mishahara ya Waandishi wa Habari 10 wanaomdai mtoto wake, Dudley Mbowe ambaye ni Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima. Pia soma...
  20. Marco Polo

    Mume amburuza mke mahakamani baada ya kumfumania

    Hii imetokea kisiwani Zanzibar jamaa kumfumania mke wake analiwa nyumbn kwake wanapoishi yeye na mke wake, baada ya fumanizi jamaa akawapeleka polisi wote wawili mke wake na mgoni wake Kisha akaenda kufungua kesi mahakamani, kesi imesikilizwa mke na mgoni wameamriwa ama walipe faini ya laki 3...
Back
Top Bottom