Adhabu ya kujihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja Tanzania ni kifungo cha Miaka 30 Jela

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
575
2,560
20240506_111131.jpg
Akijibu swali Bungeni, leo Mei 6, 2024, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Mwanaidi Khamis amsema Sheria ya Tanzania ipo wazi kwa wanaokutwa na hatia ya Kushiriki mapenzi ya Jinsia moja.

"Kitendo cha kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ni kosa la jinai, mtu yeyote ambaye atapatikana na hatia ya kosa hilo ataadhibiwa kifungo cha miaka 30, ikithibitika na mtendewa aliridhia kufanyiwa kitendo hicho basi atahusika na kosa hilo hilo.” amefafanua.
 
View attachment 2982329"Kitendo cha kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ni kosa la jinai, mtu yeyote ambaye atapatikana na hatia ya kosa hilo ataadhibiwa kifungo cha miaka 30, ikithibitika na mtendewa aliridhia kufanyiwa kitendo hicho basi atahusika na kosa hilo hilo.” - Mwanaidi Khamis, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
Safi sana
 
Hatua nzuri hiyo......ya kupambana na ushoga.
 
View attachment 2982329Akijibu swali Bungeni, leo Mei 6, 2024, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundu Maalumu Mwanaidi Khamis amsema Sheria ya Tanzania ipo wazi kwa wanaokutwa na hatia ya Kushiriki mapenzi ya Jinsia moja.

"Kitendo cha kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ni kosa la jinai, mtu yeyote ambaye atapatikana na hatia ya kosa hilo ataadhibiwa kifungo cha miaka 30, ikithibitika na mtendewa aliridhia kufanyiwa kitendo hicho basi atahusika na kosa hilo hilo.” amefafanua.
 
View attachment 2982329Akijibu swali Bungeni, leo Mei 6, 2024, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundu Maalumu Mwanaidi Khamis amsema Sheria ya Tanzania ipo wazi kwa wanaokutwa na hatia ya Kushiriki mapenzi ya Jinsia moja.

"Kitendo cha kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ni kosa la jinai, mtu yeyote ambaye atapatikana na hatia ya kosa hilo ataadhibiwa kifungo cha miaka 30, ikithibitika na mtendewa aliridhia kufanyiwa kitendo hicho basi atahusika na kosa hilo hilo.” amefafanua.
sasa haya makundu maalum si ndio hayo hayo ya miaka 30 ama ulimaanisha nini
 
View attachment 2982329Akijibu swali Bungeni, leo Mei 6, 2024, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Mwanaidi Khamis amsema Sheria ya Tanzania ipo wazi kwa wanaokutwa na hatia ya Kushiriki mapenzi ya Jinsia moja.

"Kitendo cha kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ni kosa la jinai, mtu yeyote ambaye atapatikana na hatia ya kosa hilo ataadhibiwa kifungo cha miaka 30, ikithibitika na mtendewa aliridhia kufanyiwa kitendo hicho basi atahusika na kosa hilo hilo.” amefafanua.
Mzanzibari mwingine anayeshikilia nafasi ya watanganyika ni huyo...Maendeleo ya Jamii, Jinsia &... sio swala la muungano lakini kateuliwa mzanzibari kuwa naibu waziri
 
Wanaojihushisha na mapenzi ya jinsia moja (ushoga au kusagana)miaka 30 jela
mjadala ulivyoibuka huko Bungeni
Vipi mtaani kwako wapo na je wamekamatwa kweli au michapo inaendelea kama kawaida
 
Attachments

  • 2024-05-06 13-19-55.mkv
    22.1 MB · Views: 1
Tuangalie tumejikwaa wapi.kuwa sheria kali hakutamaliza tatizo. Maadili hayalindwi kwa sheria bali malezi Bora. Wanaoharibu jamii kwa nyimbo za matusi na uharibifu mmewakumbatia na kuwatumia kwenye kampeni zenu. Mmewafanya kuwa role model wa watoto wetu!
 
Mtu afungwe jela kisa kakalia mboro?? 🤣🤣🤣 Hahahaha! KWA SHERIA IPI?

Nchi gani inawafunga watu jela kwa kukalia miboro, mbona kichekesho 😂

Hivi hawa watu wanaujua utamu wa hogo la kinyeo au wanajiongelesha tu hovyo?

Huyu waziri uchwara angeonjeshwa hogo la kinyeo hata mara moja tu angekuwa analilia kufumuliwa marinda kila siku!

Kwanza sijui kama ana marinda huyu au ndio BAKULI.

Cc Poor Brain
 
Mtu afungwe jela kisa kakalia mboro?? 🤣🤣🤣 Hahahaha! KWA SHERIA IPI?

Nchi gani inawafunga watu jela kwa kukalia miboro, mbona kichekesho 😂

Hivi hawa wanaujua utamu wa hogo la kinyeo au wanajiongelesha tu hovyo?

Huyu waziri uchwara anageonjeshwa hogo la kinyeo hata mara moja tu angekuwa analilia kufumuliwa marinda kila siku!

Kwanza sijui kama ana marinda huyu au ndio BAKULI.

Cc Poor Brain
Haya wee cocastic ebuu njo huku
Wizo wako kashaanza kuvurugwa sasa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom