ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,951
45,960
Kuna Jamaa ana kipaji ila anauliza ata create account Kwa njia gani ili zikalink zote akawa anapata hela Kwa views anachotaka kujua account ili ulipwe hela Kwa views lazima atengenezewe na watalaam wa IT au hata yeye anaweza kukamilisha mchakato wote. Iwe fb iwe Instagram iwe Twitter iwe YouTube iwe tiktok ilimradi apate tu hela.
 
akitengeneza acc mpaka afike muda wa kula hela atachelewa anunue tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom