Mbunge Kwagilwa Nhamanilo: Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 Mkoa wa Tanga Kura Zote Tutamchagua SAMIA SULUHU HASSAN

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,995
961

MHE. KWAGILWA NHAMANILO: UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 MKOA WA TANGA KURA ZOTE TUTAMCHAGUA SAMIA SULUHU HASSAN

"Nitoe shukurani za pekee sana kwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Handeni Mjini tumekuwa na mradi mkubwa mara ya mwisho mwaka 1974, miaka 50 imepita Handeni Mjini hatujuwahi kuwa na mradi mkubwa wa Maji. Amekuja Rais, Mama Shupavu, Mama Muungwana, Mama anayeelewa shida za watu ametuletea Shilingi Bilioni 1.248 ya Mradi wa Maji Kata ya Kwinkambala. Tumepata Shilingi Milioni 261 y mradi wa Maji Kata ya Kwamagome. Tumepata Shilingi Milioni 320 ya mradi wa Maji Kata ya Malezi. Tumepata Shilingi Milioni 761 ya mradi wa Maji Kata ya Mabanda Mankinda. Tumepata Shilingi Bilioni 2.5 za Ujenzi wa Bwawa la Kwinkambala. Awamu ya tatu ya utoaji fedha, Shilingi Milioni 300 zipo kwenye Akaunti zinasubiri mvua zimalizike kazi ianze" - Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo, Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini

"Mradi fungakazi ambao Rais Samia Suluhu Hassan ametupa wana Handeni Mjini, mradi mkombozi kwa shida ya Maji ambayo tumekuwanayo kwa miaka karibia 50 ni mradi wa HTM, mradi wa Miji 28 wa Shilingi bilioni 171. Huu ni mradi wa kitaifa, tunajenga dakio la Maji pale Mswaha, tutayasukuma Maji kwa Pampu mpaka Tabora tutakapojenga (Treatment Plant) na kuyapeleka mpaka kwa Matuku - Sindeni - Mlima Muhandeni ambapo linajengwa Tenki kubwa la ujazo wa Lita Milioni 2"

"Nashauri tukafanye Soft Part Engineering Design ya mradi wa Maji wa HTM, ni muhimu sana Mto Ruvu Korogwe tunapochukulia maji tukaulinde, tukalinde mazingira. Handeni tunao mradi wa kitaifa wa Msomera ambao tumepokea wenzetu kutoka Ngorongoro, Handeni ina Halmashauri mbili, watendaji wetu wanazidiwa. Tunahitaji tuongeze watendaji na tuongezee vitendea kazi kama magari ili waweze kufanya kazi kwa urahisi"

"HTM ya zamani twendeni tukaikarabati tusiiache ikawa mfu ili tuwe na njia mbadala ya chanzo (Sources) na usambazaji (Distributions) baada ya kukamilisha mradi mpya tunaoujenga"

"Sisi Mkoa wa Tanga tumekubaliana kwamba Mwaka 2025 Kura zote za Mkoa wa Tanga zinakwenda kwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa sababu zifuatazo za miradi iliyopo ndani ya Mkoa wa Tanga. Mradi wa Maji wa Mkinga Holoholo wa Shilingi bilioni 35, Mradi wa Maji Dibuluma Songe Kilindi Shilingi Bilioni 22, Uboreshaji wa Maji kwenye jiji la Tanga wa Shilingi Milioni 516, Uboreshaji wa Maji kwa Waziri Aweso wa Shilingi bilioni 1, Uboreshaji wa Maji Mji wa Muheza wa Shilingi Milioni 700"
 
Attachments

  • WhatsApp Video 2024-05-09 at 16.37.52.mp4
    41.2 MB
  • WhatsApp Video 2024-05-09 at 16.37.52(1).mp4
    20.9 MB
Mna uhakika ataishi?

Angalieni hata yule mlitegemea iwe vile ila ikawa vile
 
Pumbavu, eti wote, anajua mimi nitamchagua nani? Bladifasken chawa
 
Kumbe bungeni kunajina kama hilo? Kwahiyo kupatatu maji inatosha sasa hakuna kingine.
Wabunge kama hao wanakujaga kizimia kama kura zikihesabiwa ipasavyo
 
Back
Top Bottom