crdb

  1. Njanga Tz

    CRDB wiki mbili hawajaingiza mkopo

    Toka nimeomba mkopo CRDB zimepita siku15 bila kuingiziwa mkopo wangu. Taratibu zote nimefuata ikiwemo makato kuingizwa hadi muda huu sielewi hii bank ina shida gani. Mbaya zaidi afisa mkopo hapokei simu yangu. Mliopo mjinj niambieni kuna nini uko maana niko shamba nalima na nilitegemea pesa...
  2. TENGEFU

    CRDB wanachukua hela zetu kwenye akaunti bila idhini yetu

    Kwa mara nyingine tena CRDB wameendelea na tabia yao ya ku draw hela kwenye akaunti za wateja bila idhini yao. Mimi ni mmojawapo niliyepokea ujumbe unaosema "Dear customer, TZS 10,446.43 has been drawn from account 0212 for queries call 0755197700, popote inatiki. Hii ni akaunti ya USD na mpaka...
  3. W

    CRDB wanakwama wapi?

    Habari wakuu, Kwa wazoefu au wenye umelewa wa hili jambo, na ni kawaida kwenye baadhi ya mikoa. Nilichokikuta mkoa huu ni ajabu. Niliwasili Morogoro usiku wa saa nne. Nikawa na uhitaji WA pesa. Kitu cha Kwanza kufikiria ni kwenda ATM. Nilichoshuhudia ilikuwa ajabu sana kwangu. Nimezunguka...
  4. danjaboy

    CRDB tangu asubuhi hakuna huduma

    Tangu asubuhi leo huduma za CRDB kuanzia ATM, App mpaka bank hakuna watu wameshindwa kufanya transfer kutokana na upuuzi wenu mnadai network hakuna hii inatuhusu nini wateja? Hivi mnajua ni kiasi gani mpaka sasa mmeingiza watu hasara kwa kukosa kufanya transfer mbalimbali? Mpaka sasa saa 7...
  5. D

    Baadhi ya wateja wa benki ya CRDB walalamikia fedha kutolewa kwenye akaunti zao bila taarifa ya kueleweka

    Benki ya CRDB jibuni hizi tuhuma haraka kabla hamjachafua hadhi yenu
  6. Faru dume

    CRDB Bank jirekebisheni, mikopo ni jambo la dharura

    Habari wakuu, Mimi kama mdau wa bank hii ya CRDB naomba nitoe dukuduku langu na kama yupo mfanyakazi au mtendaji wao tafadhari rekebisheni matatizo yenu, haiwezekani process ya mkopo ikachukua wiki tatu mpaka mwezi na Bado fedha/mkopo hamtoi, hivi hamjui mkopo ni kitu cha dharura? Naombeni...
  7. Red Giant

    CRDB na NMB zimelala sana ukifananisha na Equity Bank

    1. Kijitanua: kwa East Africa Equity nafikiri ni bank inayoongoza kwa kujitanua. ipo nchi zote za EAC na imeingia kwa nguvu kubwa DRC na inanyemelea kuingia Ethiopia. Hizi zetu zipozipo tu. Nilisikia CRDB wana tawi Burundi, bado lipo. 2. Ufasta wa huduma: Equity ukiwa na namba au kitambulisho...
  8. Geza Ulole

    CRDB Bank to expand to Congo DRC

    Tanzania’s CRDB renews plan to get pan-African bank status By JAMES ANYANZWA Tanzania’s CRDB Bank Plc is planning an ambitious programme that could see it expand into seven countries in East and Central Africa. The largest bank by assets and market share in Tanzania, CRDB had started its...
  9. Chachu Ombara

    Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Kimei achukua fomu ya kutia nia jimbo la Vunjo kupitia CCM

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Charles Kimei amefika katika ofisi za CCM Kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi-CCM kupeperusha bendera Jimbo la Vunjo. Pia soma> Uchaguzi 2020 - Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo
  10. East Wind

    Bank ya CRDB inaweza kukulaza njaa huku una hela, jirekebisheni

    Bank ya CRDB inaweza kukulaza njaa huku una hela, jirekebisheni. Huduma zetu zimeisha kuwa za mazoea kutokana na mfumo wa maisha ya watanzania. Kwamba hata mkizingua wanavumilia, ila watu wanapungua kidogo kidogo.. mnafanya kazi kwa mazoa sana.
  11. LIKUD

    CRDB, fanyieni kazi tatizo la business transactions, nmeshindwa kupata huduma

    Siamini kama crdb wamekuwa wababaishaji kiasi hiki... Miezi miwili iliyo pita nilijaza fomu ya kujiunga na online purchasing... Nikaambiwa nitatumiwa Temporary Access code ndani ya masaa 24. Zikapita siku mbili sijatumiwa hiyo namba, nikamwambia kuulizia kulikoni. Kama kawaida Yao wakaomba...
  12. Feld Marshal Tantawi

    Wafanyakazi sasa kujiachia na Riba hadi asilimia 14 kutoka benki ya CRDB

    Benki ya CRDB imezindua kampeni maalumu ijulikanayo kama “Jiachie Utakavyo” ambapo wafanyakazi wa sekta ya umma na binafsi sasa kufurahia riba ya hadi asilimia 14. Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa habari Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na Wakati, Boma Raballa alisema benki imefanya...
  13. analysti

    Gharama za SIMBanking CRDB

    Habari wakuu, Mimi ni mteja wa CRDB wa kipindi kirefu na nimekuwa nikitumia huduma za SimBanking kama zinavyotangazwa kwenye vyombo mbali mbali vya habari. Lakini, kwa bahati mbaya au kwa makusudi CRDB wamekuwa wazito kuweka wazi gharama ziambatanazo na hizi huduma na imekuwa vigumu kuzipata...
  14. S

    Matawi ya Benki za NMB Mafinga na CRDB Kibondo, yanaendelea kutoa huduma?

    Kuna taarifa ziko mitandaoni kuhusu matawi haya kuwa yamefungwa kutokana na issue fulani(sababu inafanana), hivyo tunaomba mnaoweza kutupa ushuhuda mtupe. Naona hata Halima Mdee nae anadai kupata taarifa hiyo(ya NMB Maafinga). Kazi tunayo. Naomba niishie hapa.
  15. Z

    Harmonize balozi mpya wa CRDB Bank. Kijana anachanja mbuga asee

    Jeshiii aka tembooo ndio balozi wa benki maarufu Tanzania CRDB Bank. Haya siyo mafanikio ya kubeza asee. Huyu jamaa anakoelekea hamtokaa muamini.
  16. K

    CRDB, NMB nani baba lao?

    Je umekuwa ukijiuliza juu ya benki gani ina matawi mengi na waajiriwa wengi Zaidi nchini? Vipi kuhusu mali zake na faida ipatikanayo? Mchango wake katika bajeti ya serikali ni wa kiwango gani? Kanuni ya saba na nane ya kanuni za mabenki na taasisi za fedha ya mwaka 2014 inayataka mabenki na...
  17. sinzahome

    Huduma mbovu zinazotolewa sasa na benki ya CRDB

    Mimi ni mteja wa Benki ya CRDB zaidi ya miaka 10 sasa, maana kwa ninavyokumbuka niko pale kama mteja wao tangu mwaka 2008, Tangu nilipoijua CRDB mwaka 2008 huduma walizokuwa wanatoa ndio zilinifanya nijiunge na benki yao, ila kwasasa huduma wanazotoa zitanifanya niikimbie benki yao na kurudi...
  18. Jamii Opportunities

    Nafasi za kazi CRDB

    VACANCIES – DEPARTMENT OF ICT BACKGROUND CRDB Bank Plc is inviting applications from qualified and experienced candidates to fill the vacant positions existing in the Department of ICT. The Bank seeks to recruit highly competent, self-motivated and professional individuals to fill the...
  19. Inanambo

    CRDB Ile Interview ya Sales Executives Majibu Vipi? Mlishaita watu? Wiki mbili zilishapita kitambo

    Kulikoni CRDB Wapendwa. Nilifanya Interview zote pale Coca-Cola Mikocheni Feb mwanzoni. Mkasema majibu after two weeks. Mkanipa natumaini ya kuitwa kazini. Hadi leo March 8 hakuna majibu. Kuna walioitwa tayari? Tujulishane Wandugu.
  20. N

    CRDB mnakwama wapi?

    Ndani ya siku hizi mbili naona Sim banking ya CRDB haifanyi kazi na tangu jana usiku ATM zenu hazifanyi miamala hapa Dodoma na hamjatupa taarifa yeyote. Tupeni mwongozo
Back
Top Bottom