masaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kichongeochuma

    Hii sheri kandamizi ya kikoloni ya kuweka watu wasio na hatia ndani masaa 24 ndiyo inayo fanya wakuu wa mikoa na wilaya wajione miungu ,iondolewe.

    Hii sheria ni ya kipuuzi kabisa ndiyo inayo fanya hawa wakuu wa mikoa wajione wanaweza kufanya lolote kwa mtu yeyote wakati wowote, naamini endapo bunge letu lingekuwa ni bunge kweli la wananchi huo ujinga ungefutuliwa mbali Hii inamfanya mkuu wa mkoa ajione yeye ni mungu maana anaweza fanya...
  2. E

    Mwendokasi imekuwa ni kero sana

    Jambo la Kwanza mwendokasi jamani umekuwa kero sana Leo tumekaa kituoni kama masaa mawili. Gari lilipokuja tulijazana kiasi kwamba vioo vya mlango vilivunjika na pia kuna mama alizimia. Tunaomba hili Suala liingiliwe kati.
  3. Optimist_Tz

    Mkwamo wa Magari eneo la Ruvu kwa saa nyingi sababu ni gari la Jeshi la Wananchi?

    Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae. Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda usojulikana. Kwenye Magari kuna wagonjwa ambao wanaenda hospital je hali zao itakuwaje? Kuna...
  4. S

    Mtoto wa miaka 8 aliepotea Kibaha na kukutwa ametupwa shimoni na amekufa: Ni sahihi Polisi kusema usubiri masaa 24 kabla ya kuripoti kupotea mtoto?

    Kuna tukio la hivi karibuni la Kibaha, ambapo wazazi wa mtoto wa kike wa miaka 8, Angel, mwanafunzi wa darasa la 2, walienda Polisi kuripoti kupotelewa mtoto, wakaambiwa Polisi hawawezi kupokea taarifa yao ya kupotelewa mtoto na inabidi wasubiri kwanza masaa 24 ndio wakaripoti kupotelewa mtoto...
  5. G

    Israel imeuchukua mpaka wa Rafah unaounganisha Misri na Gaza, Mizigo na watu kuvushwa chini ya uangalizi na idhini ya Israel

    Kwa lugha nyepesi ni kwamba misaada, watu na vinginevyo haviwezi kuingia moja kwa moja Gaza mpakani Rafah bila ukaguzi na idhini ya Israel. Jeshi la Israel limechukua udhibiti wa mpaka wa Rafah na Misri. Jana usiku, kwa idhini ya Baraza la Vita, Netanyahu aliagiza ifanyike operesheni huko...
  6. Cash Money Forever

    Msaada: Inamaanisha nini kuona muda na dakika zinazofanana kila mara?

    Habari wadau? Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika zinafanana. Mfano 02:02, 10:10, 20:20, 15:15 N.k, yaani naweza kujiuliza hivi saa hivi saa ngapi saa...
  7. ward41

    Makombola yanatumia saa manane angani halafu unategemea kumlipua Muisrael

    Kwa technologia yasasa huwezi kufanikiwa na vikombola alivyotumia Iran dhidi ya israel'. Iran hawakuwa serious. Hivi kweli wanatudanganya na vikombola vyao uchwala kwamba wanalipiza kisasi Vikombola na vidrone vinamwendo wa km 40 kwa saa alafu eti unamtishia Israel. Tuzungumze ukweli, Iran...
  8. PureView zeiss

    Iran inajiandaa kupiga ndani ya Israel kwa masaa 48 yajayo

    Ripoti za kiuchunguzi za CIA zinaeleza kuwa Iran inaendelea kujiandaa na mashambulizi ya drones ndani ya Israel hasa kwenye maeneo yake ya viwanja vya ndege na kambi za jeshi... Wakati haya yakijiri Huko Iran na Israel nao kupitia waziri wa ulinzi bwana GALLANT amesema kuwa "vikosi vyetu vipo...
  9. Mganguzi

    Misafara ya Rais na viongozi wa juu kwenye jiji la kibiashara kama Dar itumie helicopter

    Hii imekuwa kero kubwa sana ,hasa kwa wapambanaji ambao akipoteza saa Moja tu au masaa manne amelala njaa! Wengine weajiriwa anatakiwa kufika kwa wakati kazini kwake akichelewa hana kazi na hawezi kumwambia boss nilikuwa nasubili rais apite! Serikali itusaidie kuondoa hii kero ni mbaya sana...
  10. ndege JOHN

    Mwanamke muhimu sana anakubadilisha ndani ya masaa 24

    Binafsi niliachana na mpenzi wangu niliyeishi naye Kwa zaidi ya miaka mitatu na tuliachana baada ya mikwaruzano mwaka Jana June. Kiukweli maisha niliyoishi ni mabaya Sana bila mwanamke yaani ghetto Lili Kuwa full chafu utandu wa buibui mixer kukaribia kuunguza nyumba ya watu kwamba jiko LA gas...
  11. N

    Back up system (bila solar) yenye uwezo wa kurun 140 Watts kwa masaa 7 mpaka 10 maximum

    Kama kichwa kilivyojieleza, Sina uzoefu na mambo ya back up system, shida kila muuzaji unaemuuliza anakupa majibu yake kutetea maslahi Jamii form najua ina watu wenye maarifa na haya mambo nitumie kama muongozo. Battery na invertor capacity gani vinaweza kurun 140Watts kwa masaa 7-10? Bei...
  12. JanguKamaJangu

    Bashungwa atoa saa tatu kurejeshwa mawasiliano ya Barabara ya Mtwara - Masasi iliyokatika

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameelekeza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuhakikisha wanarejesha mawasiliano ya barabara iliyokatika eneo la Maili Mbili katika barabara ya Mtwara-Mingoyo-Masasi ndani ya masaa matatu mara baada ya Daraja kusombwa na maji katka eneo hilo. Bashungwa ametoa...
  13. J

    Jisajili sasa UWT kiganjani kwako kupitia simu janja yako popote ulipo

    JISAJILI SASA UWT - KIGANJANI KWAKO Jisajili kuwa MWANACHAMA WA UWT kwa kutumia Simu Janja (Smart phone) Yako popote ulipo mkononi Kwako. #UWTJisajiliKidijitali
  14. N

    Kigoma hatuna umeme kwa saa 20 zilizopita TANESCO wanatafuta sukari

    Toka tarehe 20/02/2024 saa 9 alasiri Hadi Leo Tarehe 21 saa 5 asubui haujarudi. Masaa 20 yamekatika hamna umeme huku sio kukata huku ni kuzima. Mtaani kwako ikoje huko? TANESCO
  15. Ricky Blair

    Kwanini Lodges wasitumie mfumo wa Masaa 24, Kufika usiku halafu asubuhi hela imeisha ni ujinga!

    Jamani owners wa Lodges hii tabia ya kumchaji mtu siku moja ila mtu anafika usiku na saa nne hela imeisha ni ujinga. Kwanini msiende kwa masaa 24? Ukifika saa nne usiku mpaka saa nne usiku hela yako inaisha. Shida ipo wapi? Hata Airbnb nyingi wanaenda hivi. Mtu umefika mkoa mpya safarini...
  16. Christopher Wallace

    Hayo masaa mawili, mh. waziri alikuwa anaongea nao nini?

    Nimeona hii habari, nimesikitika. Masaa mawili waziri alikuwa anaongea nini?
  17. Melki Wamatukio

    Hatimaye naenda kuumbuka. Mimi ndiye nilikuwa chanzo cha Unit 13.7 kuisha ndani ya masaa 8 hadi 12

    Habari zenu wana JF. Kama mjuavyo, nimeacha nyumba, mke wa mchongo na wanangu wawili huko Nanjilinji, nikaamua kuja Dar kusaka maisha. Hivyo nilifikia kwenye nyumba ya kupanga ambapo tu wapangaji watano, watatu wana familia na wawili akiwemo mimi tu mabachela Kero iliyopo ndani ya hii nyumba ni...
  18. BARD AI

    Zambia: Serikali yaagiza Ibada zisizidi Masaa Mawili ili kudhibiti Kipindupindu

    Nyumba za Ibada zimetakiwa kufanyika kwa muda usiozidi Saa 2, agizo linalolenga kupunguza kuenea kwa Ugonjwa 2a Kipindupindu nchini humo Pia, biashara za Vyakula ambavyo vimeshapikwa tayari kwa kulipwa imepigwa marufuku pamoja na Waumini kutakiwa kutosalimiana kwa kushikana Mikono ili kuepusha...
Back
Top Bottom