Katika dunia hii kuna watu wamebarikiwa sana. Na mamlaka hutoka kwa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu akiamua kukupa mamlaka, kipaji, riziki anakupa tu kwa kupenda yeye mwenyewe bila kujali wewe una nini.
Mzee Mwinyi hakuwa msomi sana kwa viwango vya kisasa (kuwa na digrii), lakini ni dhahiri kwa...
Tutamkumbuka mzee wetu Ally Hassan Mwinyi kwa kulielezea tatizo kubwa lililoathiri wengi, AIDS au UKIMWI.
Katika kuliekezea tatizo hilo, Mzee Mwinyi alitumia lugha rahisi iliyoeleweka kwa kila mtu: SUKARI IMEINGIA SUMU🤣🤣🤣🤣
"Sukari imeingia sumu, hasa pale tunapo ppp...papenda" alisema mzee Mwinyi
Nimejitahidi kutafuta katika vyanzo mbalimbali sijazipata. Nimesikiliza radio na kuangalia TV mbalimbali katika kipindi hiki cha maombolezo yake lakini pia sijabahatika kuona hotuba yake akiwa Rais. Je hotuba zake zipo wapi? Mbona za wengine zipo?
Ni rais pekee aliyehakikisha mwalimu analipwa stahiki hii ambayo imepuuzwa upande wa bara.
Katika kada ambayo itaendelea kuwafanya viongozi wa bara waende na mzigo wa dhambi ni kuidharau kada ya ualimu.
Ni kikwete pekee aliyebaki amwambie Mama kizimkazi asifanye kosa la kudharau waalimu...
Akitoa salaam za familia, mtoto wa mzee Ali Hassan Mwinyi, Abdul Mwinyi amesema baba yao hajawahi kuugua katika kipindi chote cha uhai wake. Kaanza kuugua kwa mara ya kwanza miaka 2 iliyopita.
Hakika mzee Mwinyi ni somo zuuri.
Mungu amrehemu.
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe amekuwa miongoni mwa Watanzania waliofika Kwenye Uwanja wa Amani , huko Zanzibar kwa ajili ya kushiriki maziko ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya Pili , Ally Hassan Mwinyi .
Mbowe ambaye pia huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe ...
Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi , hii inaacha maswali sana ………..Wazanzibar watu wa...
Wazee leo imebidi niulize,
Maana naona watoto wa miaka ya 90 kama tulikua tunapigwa fiksi mno na wazazi au wakubwa wetu....
Nimekua miaka ya 2000 na hivi nikiamini stori niliyoikuta kuwa mwanzoni mwa miaka ya 1990 sijui 1992 alikujaga bana Wako Jack (MJ) Gwiji Michael Jackson hapa Ti-ziii
Eti...
Sugu akizungumza kwenye hafla ya kuuaga mwili wa Mzee Mwinyi kwenye Uwanja wa Uhuru (shamba la Bibi) , kabla ya kupelekwa kwao Zanzibar kwa mazishi , amemmwagia sifa Mwinyi kwamba ndiye aliyesaidia kukomesha vijana kutoswa baharini kwa kuzamia meli walipotaka kwenda Ulaya.
Kwamba Baada ya...
Watanzania tupeane pole kwa msiba huu mzito katika taifa letu.
Kuna watu wanashangazwa na hili swala la kuamua kuhamisishia msiba wa mzee Mwinyi Zanzibar, wakidai kuwa mzee huyo alikuwa asha usia kuwa akifariki akazikiwe kwao Mkuranga walipozikiwa na kulazwa wazazi wake na babu zake.
Wengi...
Kati ya tabia ambazo nitamkumbuka sana mzee Ally Hassan Mwinyi, ni humility, yaani uvumilivu.
Moyo wa uvumilivu umembeba sana na kumvusha katika mazingira ya utatanishi.
-humility ilimfanya ajiuuzuly uwazi wa mambo ya ndani kulipotokea mtafaruku wa watendaji kuua watu waliotuhumiwa ushirikina...
Fuatilia utoaji wa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Mwinyi, ambapo ratiba ya maziko yake inaanza leo, nyumbani kwake, ambapo baada ya sala ya sala ya Ijumaa na taratibu kidini kukamilika mwili utapelekwa uwanjwa wa Uhuru kwa Watanzania kuaga na kisha kupelekwa Zanzibar...
JE WAJUA?
Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea...
Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. 🙌🙌
R.IP Rais Mwinyi
Salaam,
Leo Februari 29, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi. Soma: Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia
Kunako Utawala wake Hayati Mwinyi alifanya mambo mengi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024.
Rais amesema
"Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
Mark Takano amewasilisha muswada Bunge la wawakilishi Califonia akitaka siku za kazi ziwe nne iwe sheria ya Kitaifa Nchini Marekani.
Takano amesema jambo hilo litaongeza ubora wa maisha kwa wafanyakazi kwani itawaongezea muda wa kuishi, kucheza na kuyafurahia maisha nje ya kazi bila kupoteza...
Inna lillah waina ilayhi rajiun Mhe Mwinyi Haji Makame ametangulia mbele ya haki saa hivi ameanguka ghafla nyumbani kwake amekimbizwa hospital hakufika.
Marehemu ni Mwakilishi wa ACT zanzibar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.