mtupu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    UZUSHI Video ikimuonesha mwanaume akiwa mtupu akikimbia baada ya kukutwa na mke wa mtu

    Kuna video inasambaa twiter na Instagram ikimuonesha mwanaume akiruka dirisha na kukimbia huku akiwa mtu kabisa bila nguo, watu hao wamekuwa wakishare video hiyo na kuweka ujumbe wa MKE WA MTU SUMU wakimaanisha mtu huyo alikuwa na mke wa mtu kisha akafumaniwa ndio anakimbia. Je, ni kweli mtu...
  2. Chakaza

    Watu wa CCM wakitoa hoja za kupinga Muungano wanashangilia, nongwa ni pale anapotoa hoja Mpinzani hata bubu atapayuka. Unafiki Mtupu

    Ni mambo ya ajabu hiki chama cha kuendekeza ufisadi na uongo. Kuna kasoro nyingi sana za muungano, lakini jambo la ajabu ni kuwa kasoro hizo zikizungumzwa na kiongozi wa CCM basi anashangiliwa hadi wabunge wanataka kupanda juu ya meza. Ila hoja hizohizo zikiongewa na Mbowe au Lissu mpaka kina...
  3. Mchumba

    Mwenyekiti wa CCM Manyoni anadaiwa kuchangisha Wanachama wenzake kinyume cha taratibu

    Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Manyoni Bwana Jumanne Makhanga analalamikiwa na wananchi ambao ni wanachama hai wa CCM Wilaya ya Manyoni kwa kuchangisha pesa zisizo na tija. Mwenyekiti huyo kwa mwaka jana pekee amechangisha pesa kwa wanachama wote kwa kila Mwanachama kutoa Shilling mia tano kwa...
  4. Mlaleo

    Israel huenda ikaifungia Al-jazeera kufanya kazi nchini humo

    Israeli parliament passes law paving the way for Al Jazeera closure Prime Minister Benjamin Netanyahu promises to use the law to shutter local operations of Al Jazeera. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has promised to “act immediately to stop” Al Jazeera’s operations in the country...
  5. Doto12

    Simu za mkopo ni wizi mtupu

    Ni wizi kama wizi mwingine tu Emerging simu ya 400k unakopa kila mwezi utoe 100k. Salio anzio ni 120k. Kwa mwaka 12 month x 100k 100000 x 12 = 1.200.000 Makato 12 months ni 1.2 milioni
  6. MIXOLOGIST

    Ukitafakari sana vitu vingi tunavyofanya hapa duniani ni uchizi mtupu

    Wana zengwe Kuna wakati najiuliza maswali sipati majibu sahihi, mfano ukikaa sehemu ya juu(ghorofani) au ukiwa na video camera say yenye njia 16 alafu ukawa unawaangalia watu, yaani matendo yao, movements zao na harakati zao sehemu kubwa unaweza ukaona mambo mengi yanayofanyika ni ya kichizi...
  7. P

    Kulikoni? Uwanja wa Amaan Mtupu Kumuga Mzee Mwinyi Zanzibar

    Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi , hii inaacha maswali sana ………..Wazanzibar watu wa...
  8. Suley2019

    Je, utamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa mambo gani?

    Salaam, Leo Februari 29, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi. Soma: Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia Kunako Utawala wake Hayati Mwinyi alifanya mambo mengi...
  9. Mundele Makusu

    Ukweli mtupu usiopingika kuhusu maisha

    Katika maisha ya leo ukijionea huruma, utakuja kutia huruma. Ukikosa nidhamu, utakuwa kuadabishwa na walimwengu Ukijidanganya utakutana na ukweli muda ukiwa umepita. Tujifunze na kutia maanani yafuatayo: 1.Thamani yako ndo inaamua mkate unaoingiza. Ikiwa chini, lazima ipande kubadili matokeo...
  10. Elli

    Foleni za Huduma NMB ni ujinga mtupu

    Yaani kila Bank ya NMB Tanzania unayoingia kuna foleni kubwa na Wahudumu wame-relax Tu hapa. Leo Niko hapa Mlandizi NMB, nimesimama queue zaidi ya dakika 56 sijapata Huduma bado. Kuna Binti WA kichina kacharuka hapa ndio kapewa Huduma. Juzi nilikua Tanga, foleni kubwa mhudumu mmoja, Jana...
  11. William Mshumbusi

    Sherehe ya miaka 30 ya CWT ni utata mtupu!. Je, ni kweli Rais Samia atahudhuria huku Maganga akihutubia?

    Nahisi kama Mungu ameingilia kati ili kuwanusuru walimu na hii dhahama. Uku taarifa zisizoaminika mama ndio mgeni rasmi. Taarifa zingine CCM mwanza imewanyima uwanja. Huku sisi mtaani tukilalamika cwt wanavyotupiga 2% bila kazi ya msingi.
  12. S

    Tahadhari ya Tsunami kwa mikoa ya Pwani ni ubabaishaji mtupu

    Mamlaka kutoa taarifa za kutisha na kudai kuna uhakika wa kutokea kwa maafa, hivyo kuwataka wananchi kuondoka kwenye makazi yao ni jambo serious sana na halipaswi kutolewa pasipo kujiridhisha. Ofisi ya waziri mkuu imetoa tahadhari kwa wakazi wa mikoa yote ya pembezoni mwa bahari ya Hindi...
  13. P

    Ukweli mtupu kuhusu Mafanikio

    Nimekuja na hii mada sababu nilikuwa najiuliza kwa nini wenye pesa siku zote huwa zinaongezeka zaidi ya wale ambao hawana na unakuta kila mtu anafanya kazi kwa bidii? Nikawaza labda kuna baadhi ya vitu tukiachaa itasaidia. Punguza Huruma Kuna baadhi ya watu huruma ndo zinazidi kukufanya...
  14. Mhafidhina07

    Kinachoendelea GAZA idadi ya vifo vinavyoorodheshwa ni uongo mtupu!

    Nakumbuka miaka 3 nyuma dunia ilishuhudia (COVID) HOMDA ambayo ilitaka dunia kujifungia kwa lengo la kuharibu uchumi wake "planned stories" siwezi kukataa hundred percent kwamba ugonjwa haukuwepo na haujaua!laa hasha ila its determined effects was totally wrongly. Imagine Ugonjwa huu uliuwa...
  15. Magufuli 05

    Traffic Kanda Maalumu Dar es Salaam mlichowafanyia bodaboda leo ni uhuni mtupu

    Mmewakamata asubuhi kwa makosa ya usalama barabarani, Yes ni sahihi kabisa, lakini kwanini mnafanya oparesheni kwa matukio. Leo mmeendesha oparesheni ya kihuni kwa kisingizio kwamba mwenzao Jana Kagongwa na mwendokasi. Hivyo mmepata maagizo kutoka juu muwashugulikie. Nyinyi askari mnachangia...
  16. D

    Maendeleo ya mtu yana uzuri asilimia 30 tu zinazobakia asilmia 70 ni uchafu mtupu ambao hubaki siri yake maisha

    Siyo kwa ubaya lakini! Naomba kuwatia moyo wenye uwezo mdogo kama mimi wa ugali na dagaa na tembele! Ukweli ni kwamba sisi tuko bora kuliko hao wanaoonrkana wamefanikiwa! Tunachofanya ni halali, tunachochuma ni jasho la haki tunagawana na familia maisha yanasonga! Wanaoonekana wamefanikiwa...
  17. Unasemeje

    Kuna ukweli gani juu ya wapiganaji kuaminishwa risasi kugeuka maji kwenye Vita ya Majimaji?

    Hii ni hekaya ambayo hai ingii akilini, eti watu walidanganywa risasi zitageuka maji na wakaingia mkenge, huu ni uongo, hivi mnajua mlio wa bunduki nyie? Mimi nadhani majimaji ilikuwa ni mgomo ulio ambatana na vurugu, na baadaye wajerumani wakawatembezea kichapo wahusika, basi. Hizo habari...
  18. S

    DOKEZO Afisa Biashara wa Manispaa ya Temeke, Giyola Chang’a ni mla rushwa

    Idara ya biashara ni changamoto ikiongozwa na huyu afisa biashara Giyola Chang’a. Hakuna Kinachoshindikana ndani ya idara biashara kama una hela mkononi. UKiwa hauna tax clearance, adi kubaki(Fire kibali) au kibali chochote kile uwe na hela tu huyu mama anapitisha. Unyanyasaji mkubwa Kwa...
  19. Jidu La Mabambasi

    Elibariki Kingu ni mtupu kichwani, hana kitu!

    Member type: Constituent Member Constituent : Sing in the West Political Party : CCM Phone : +255786570111 P.O Box : Email address: e.kingu@bunge.go.tz Date of Birth : 1979-08-05 The history of education: School Name/Location Course/Degree/Award From To Level The University of Macedonia...
  20. NetMaster

    Ukienda kwa shehe akikupa vikaratasi kama hivi uwe unavibeba ama kuviweka chumbani vichane na usirudi tena kwake, ni uchawi mtupu

    Leo wachungaji wa mchongo kina Mwamposa na mafuta yao tuwapumzishe kidogo tuangalie upande mwengine. Nimekuwa katika magroup ya tiba naona kuna hivi vikaratasi watu wanapewa ama kuelekezwa kuvichora na wa kuitwa mashehe wakiwaambia ni tiba, ulinzi, kuongeza, mvuto, n.k. niwarahishie tu kwamba...
Back
Top Bottom