Israel huenda ikaifungia Al-jazeera kufanya kazi nchini humo

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,462
9,891

Israeli parliament passes law paving the way for Al Jazeera closure​


1711992671503.png

Prime Minister Benjamin Netanyahu promises to use the law to shutter local operations of Al Jazeera.

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has promised to “act immediately to stop” Al Jazeera’s operations in the country after the Israeli parliament approved a law that grants senior ministers powers to shut down foreign news networks deemed a security risk.

“Al Jazeera will no longer be broadcast from Israel,” Netanyahu wrote in a post on X after the law was approved in its final readings on Monday. “I intend to act immediately in accordance with the new law to stop the channel’s activity.”

Netanyahu has long sought to shutter broadcasts from the Qatari-based media outlet, alleging anti-Israel bias.

The law, which passed in a 70-10 vote in the Knesset, gives the prime minister and the communications minister the authority to order the closure of foreign networks operating in Israel and confiscate their equipment if it is believed they pose “harm to the state’s security”.

he Knesset approved on Monday evening the so-called Al Jazeera law, giving the government temporary powers to prevent foreign news networks from operating in Israel if they are deemed by the security services to be harming national security.

Law allowing government to temporarily shut down Al Jazeera in Israel passed by Knesset​


Legislation passed 71 to 10 gives PM and communications minister temporary powers to shut down foreign news networks deemed threatening to national security for 45-day periods​

The law passed 71 to 10 in its second and third readings in the Knesset plenum.

Communications Minister Shlomo Karhi, who spearheaded the effort to pass the law, vowed immediately after the final vote that the Qatari-funded Al Jazeera news channel would be closed down “in the coming days,” saying “there won’t be freedom of expression for Hamas mouthpieces in Israel.”

====

Pia soma

Israel yamuua mtoto wa Mwandishi wa Al jazeera Hamza Al Dahdouh


Israel yafungia Matangazo ya Al Jazeera kwa madai ya kutishia usalama wa nchi
 
Wanaukumbi

Netanyahu kachanganyikiwa baada ya kushindwa kupambana na Hamas, kila kitu anaona ni Hamas, Al Jazeera, ndiyo TV peke ambao inaonyesha Ugaid wa Israel bila kuogopa sasa hivi wana mfululizo wa makala zinazoenyesha Ugaidi wao na unyama wanaofanya dhidi ya watoto na wanawake na raia wasiokuwa na hatia Netanyahu anasema.

Al Jazeera haitatangaza tena kutoka Israel. Ninakusudia kuchukua hatua mara moja kwa mujibu wa sheria mpya ili kusimamisha shughuli za kituo.


View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1774831284868583457?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Al Jazeera imetoa habari bora zaidi ya mzozo wa media yoyote

Netanyahu anataka tu Waisraeli wabadilishwe akili kwa sababu anajua amekosea na kashindwa kuwamaliza Hamas kama alivyosema.
 
Tafsiri yake hawataki watu wapate habari za kweli kutoka Al Jazeera
But Aljazeera hawajawahi toa habari za Kweli... Kama ulishasikia Aljazeera wakisema Wanamgambo wa Hamas au Islamic Jihad wamekufa naomba link tafadhari... Aljazeera wanatuambia Wanaokufa Gaza ni Wanawake na watoto na raia jumla washapitiliza 32,000.

Hamas wametangaza kuuliwa kwa wanajeshi wao zaidi ya 6000 sasa news ya kweli waliokufa Gaza ni 32,000 including news from Hamas fighter au sababu Aljazeera hawajua walikufa Gaza ni 32,000 + 6000 Taota inakuwa 38,000 ?

Ukiambiwa Al jazeera ni combo cha uongo uelewe.. kuna picha walitengeneza watoto wanakunywa maji yaliyotuama kwenye tope wameweka tu mdomoni bakuli and njema ipo pembeni inarecord news ya aljazeera ukisikia utacheka tu
 
But Aljazeera hawajawahi toa habari za Kweli... Kama ulishasikia Aljazeera wakisema Wanamgambo wa Hamas au Islamic Jihad wamekufa naomba link tafadhari... Aljazeera wanatuambia Wanaokufa Gaza ni Wanawake na watoto na raia jumla washapitiliza 32,000. Hamas wametangaza kuuliwa kwa wanajeshi wao zaidi ya 6000 sasa news ya kweli waliokufa Gaza ni 32,000 including news from Hamas fighter au sababu Aljazeera hawajua walikufa Gaza ni 32,000 + 6000 Taota inakuwa 38,000 ? Ukiambiwa Al jazeera ni combo cha uongo uelewe.. kuna picha walitengeneza watoto wanakunywa maji yaliyotuama kwenye tope wameweka tu mdomoni bakuli and njema ipo pembeni inarecord news ya aljazeera ukisikia utacheka tu
Ni media gani wanatoa habari za kweli?
 
Wanaukumbi

Netanyahu kachanganyikiwa baada ya kushindwa kupambana na Hamas, kila kitu anaona ni Hamas, Al Jazeera, ndiyo TV peke ambao inaonyesha Ugaid wa Israel bila kuogopa sasa hivi wana mfululizo wa makala zinazoenyesha Ugaidi wao na unyama wanaofanya dhidi ya watoto na wanawake na raia wasiokuwa na hatia Netanyahu anasema.

Al Jazeera haitatangaza tena kutoka Israel. Ninakusudia kuchukua hatua mara moja kwa mujibu wa sheria mpya ili kusimamisha shughuli za kituo.


View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1774831284868583457?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Mbona vyombo vyote vya habari hawajasema kuwa aljazeera ilihusika na uvamizi wa October 7 sio Israel penyewe sio Qatar wala aljazeera... huyo jamaa kwenye tweet ndio mtumwa wa allah mdanganyifu... aljazeera imefungiwa kwa news za uongo na waongo kama hao na wewe unayeeneza... kwani ukireport news bila uongo unakosa nini?
 
Kumbe media Ina nguvu kiasi hiki, wanajaribu kuficha uovu wao usisikike.......wamechelewa.
 
Mbona vyombo vyote vya habari hawajasema kuwa aljazeera ilihusika na uvamizi wa October 7 sio Israel penyewe sio Qatar wala aljazeera... hutu jamaa kwenye tweeter ndio mtumwa wa allah mdanganyifu... aljazeera imefungiwa kwa news za uongo na waongo kama hao na wewe unayeeneza... kwani ukireport news bila uongo unakosa nini?
Wewe jamaa uwa punguani kweli yaani Waisrael weusi wengi wenu mbona mambumbu hivyo habari zenyewe hamsomi mnashinda JF tu kuwatetea Mabwana zetu….

>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Wewe Muisrael mweusi wa Uyole soma na hii 👇🏽

 
Mabaki ya mtoto yakiondolewa katika uwanja wa Hospitali ya Al-Shifa kufuatia Israel kuzingirwa kwa jengo hilo la matibabu.

Inavyoonekana hii ndiyo operesheni yenye mafanikio ambayo @naftalibennett anaifurahia asubuhi ya leo - kuua watoto.

Hizi habari hamna media yoyote duniani inazionyesha zaid ya Al Jazeera. Magaidi ya Israel hawataki watu wajue ugaidi wao.


View: https://x.com/naksbilal/status/1774747145741983951?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom