msomi

  1. ndege JOHN

    Inakuaje maofisini huku msomi ana Masters ila hajui kuandikia mradi

    Inashangaza unakuta mfanyakazi mwenzako kasoma Sawa ana master ila kuandika kuomba hela za miradi Kwa ma donors wetu hawezi sijui niseme hana idea wakati kila kitu kipo Google ni yeye kusuka tu wazo la hela ya kawaida wazungu Wana hela kibao hakuna PA kuzipeleka ziko hewani. Mtu kijana under 40...
  2. 1

    Kibatala wewe ni wakili mzuri na msomi lakini punguza majivuno na dharau dhidi ya mamlaka

    Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi nimeshuhudia mawakili wengi wasomi kuliko wewe, mfano marehemu Dkt.Masumbuko Lamwai, Herbet Nyange...
  3. Joan lewis

    Jinsi wakaazi wa Dunia wanavyotumikishwa na kutawaliwa bila kufahamu. (Hiii ni watu wote, Tajiri mpaka masikini mweupe mpaka mweusi, msomi asiyemsomi

    Kufuatia Hali na mambo yalivyo ni Dhahiri kwamba sasa tutakubaliana kwamba kuna watu wachache mno wanacontrol Dunia nzima kwenye aspects zote ikiwemo za maisha. Na lengo sio kupata pesa ila ni kuwafanya watu wasiwe huru bali wawe watumwa ili wasimfikirie Muumba wao. So wana vitendea kazi ama...
  4. kajamaa kadogo

    Msomi wa degree mbili kagongwa na gari hii inawezekanaje ?

    Huu uzito wa ukoloni sijuhi ulikuwa ni mzito kiasi gani mpaka kufanya mswahili kuchukua kabisa lugha yake nzuri ya kiswahili. MADA Jana nilipokea taarifa za kusikitisha sana ambazo zilinipa sonona taarifa ambazo ni mbaya, msomi tena wa degree mbili amegongwa na gari na kufariki papo hapo...
  5. Msanii

    Video: Wakili Msomi Mwabukusi ana hoja. Haya yalianzia enzi za Kikwete

    Nchi ya one man show. Haya yalianzia kwa Kikwete, akaja Magu akayapalilia, na sasa Mama ndo imekuwa mwongozo rasmi. Hakuna anayeheshimi Katiba na Sheria tena. Rais amekuwa ndiye Katiba, Sheria na Utawala Bora. Tafakari Chukua hatua...
  6. A

    Nitajie Msomi Bilionea

    Kibongobongo Kusoma Sana ni kukataa kuwa Bilionea Kwa makusudi
  7. Burkinabe

    Wakili Msomi Boniface Mwabukusi; Rais mtarajiwa toka Busokelo

    Leo katika kufuatilia habari, nimeshangzwa sana na mapokezi ya Wakili Msomi Boniface Mwabukusi huko kwao Busokelo. Pamoja na Mkutano wake kupigwa "stop" na jeshi Polisi, bado wananchi wengi walikuwa na hamu kubwa ya kumsikiliza shujaa huyu wa Taifa letu kwa sasa huku wakimshangilia na kumwita...
  8. LIKUD

    Taratibu jamii ya Watanzania inaanza kuinyanyapaa elimu ya mtaala wa NECTA. Unaweza kuamini msomi kama Carol Ndosi anaweza kuandika kitu kama hiki

    Wewe Mtanzania ambae bado haujajuwa kwamba sasa hivi tunaishi kwenye zama za internet na kwa sasa dunia umebadili uelekeo wake utakuja kustuka ukiwa umechoka sana. Unyanyapaa dhidi ya elimu. 1. Wasomi wana nyanyapaliwa. 2. Elimu ina nyanya paliwa. 3. Mifano inatolewa mingi kwamba ambao...
  9. Burkinabe

    Utabiri: Wakili Msomi Boniface Mwabukusi ndiye yule ajaye

    Wapendwa wana JF, ni matumaini yangu mko vizuri. Nimeota mara kadhaa kwamba Wakili Msomi Mwabukusi atakuja kuwa kiongozi mkubwa kabisa katika nchi yetu. Atakuwa ni Rais mpole na mnyenyekevu kuliko wote waliomtangulia. Lakini wakati huo huo, atakuwa ni Rais mkali zaidi kuwahi kutokea...
  10. Burkinabe

    Wakili Msomi Mwabukusi ni Mbadala wa Hayati Magufuli

    Habari wana JF. Huyu wakili msomi Mwabukusi namwona kama mbadala wa Hayati JPM. Japo tofauti na Magufuli, Mwabukusi ni mkali zaidi halafu wakati huo huo ni mpole, mnyenyekevu na mwenye huruma zaidi kulinganisha na Hayati JPM! Ili tuendelee kama nchi, tunawahitaji sana viongozi wa Kaliba hii...
  11. Burkinabe

    Wakili Msomi Mwabukusi; Je, ndiye 'Daudi' wa Tanzania au tumtazamie mwingine?

    Nawasalimu kwa jina la Bwana. Leo nimekumbuka kisa kilichoandikwa kwenye Biblia, 1 Samweli 17. Sura hii kwa ufupi inahusu kisa cha kijana mdogo Daudi na Goliathi. Daudi alikuwa ni mchunga kondoo ambaye hakuwa na uzoefu katika masuala ya vita ilhali Goliathi alikuwa ni mpiganaji mwenye uzoefu...
  12. K

    Ushauri kwa Wakili Msomi Mwabukusi

    Sote tunatambua ujasiri wako. Unaitetea Taifa kwa nguvu zako zote tunakushukuru sana LAKINI acha kusema sana na nenda pole pole sote tumekuelewa unasimamia rasilmali ya nchi hii.
  13. Jidu La Mabambasi

    PhD za ukweli zinatetemeshwa mchana kweupe, Msukuma(PhD) na Babu Tale(PhD) jitokezeni mumtetee msomi mwenzenu

    Proffessor Maruma ametetemeshwa na wasomi wenziwe huko duniani hadi anasikitisha. Amelowa! Na Tanzania kiuchumi tunapigwa kisawasawa, tumepambana na Economic Hit Men. Wasomi wengine mlioko Tanzania , Msukuma PhD, Babu Tale(PhD) hebu mjitokeze mkamwage razi huko duniani, pengine ninyi...
  14. R

    Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

    Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM? Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie? --- Winshear...
  15. Carlos The Jackal

    Wakili Msomi Pascal Mayalla, umemsikia Prof. Shivji? Bado unatuita watanzania Wajinga?

    Pengine Prof. Tibaijuka unaona labda anazeeka haraka, Pengine Lissu unamuita Mwanaharakati, Pengine Mbowe unamuona asiye na taaluma ya Sheria na wewe tu ndio mwanasheria, pengine Akina Dr Nshala, Akina TEC na Watanzania hawa mtaani ambao sass wanaamini Nchi imeuzwa, wanahoji kwanini Mkataba...
  16. African Geek

    Kuna tofauti gani ya kati ya Elimu na Ujuzi?

    Nimekuwa nikijiuliza, hivi kuna utofauti gani kati ya Elimu na Ujuzi. Elimu ni nini? Ujuzi ni nini? Je, wanaoenda shuleni na vyuoni wanatafuta elimu au ujuzi. Kama wanatafuta elimu, je, elimu wanaitafutaje? Kwa kusoma vitabu na kukariri misamiati? Je, Daktari, Engineer, fundi seremala, Mvuvi...
  17. R

    Nataka niwe mchawi msomi pasipo haya, je inawezekana?

    Habar wakuu !!! heading isiwachanganye taratibu mtanielewa ipo hv maisha ni magumu sn kila siku watu wanatubeep so sad ni kibaya zaid sina bib wala babu ambae ni mganga ila nashukuru MUNGU nimepata elimu sasa nikapata wazo nikichukua elimu niliyonayo plus UCHAWI naweza fanya kitu kikubwa...
  18. R

    Mwakyembe na ripoti ya Law shool: Mwakyembe ni msomi wa hovyo kuwahi kutokea

    Ukisoma excerpts nilizoziona unaona kuwa huyu Mwakyembe ni mtu hovyo kuwahi kutokea. Hovyo kabisa! Mwenye PhD thesis yalke atuwekee hapa tuone alisomea/research yake ilikuwa how much deep learning was in his topic of choice
  19. Chawa wa lumumbashi

    Hivi lini hii dunia wajinga wataisha? Hivi msomi nae anaweza kuwa na vivyo hivyo ukawa mjinga! Dada Betty ujinga umekufanya upoteze maisha

    MAREHEMU BETTY AJENTA CHARLES: Hadithi ya Betty Ajenta Charles (pichani), inasikitisha. Mwili wake umefukuliwa baada ya kufunga mpaka kufa katika sakata linaloendelea nchini Kenya la Mchungaji Paul Mackenzie ambaye anawafungisha Wakenya hadi umauti ("Fasting to Death") ili wafike Mbinguni...
  20. Mia saba

    Naomba nyimbo yako bora kutoka kwa huyu mwamba msomi, legendary

    Mwamba huyo ni koffi olomide. Yoyote moja itutulize na sisi great thinkers
Back
Top Bottom