Video: Wakili Msomi Mwabukusi ana hoja. Haya yalianzia enzi za Kikwete

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,731
29,986
Nchi ya one man show.

Haya yalianzia kwa Kikwete, akaja Magu akayapalilia, na sasa Mama ndo imekuwa mwongozo rasmi.

Hakuna anayeheshimi Katiba na Sheria tena. Rais amekuwa ndiye Katiba, Sheria na Utawala Bora.

Tafakari
Chukua hatua...
 
View attachment 2960403
Tafakari
Chukua hatua...
ukizungumza mambo ya msingi kwa lugha isiyo na staha, matokeo yake ni kupuuzwa tu. mstaarabu hawezi kubabaika kuamua kufuata au kutokufuata maoni au mtazamo wa aina hii, anakupuuza tu halafu inaisha hivyo hivyo :whatBlink:
 
Je waliopo madarakani wanapoifanyia uhuni Katiba tunapaswa kuwapa maua yao?

Tuanze kuwapuuza wanaoikosea Katiba na Sheria za nchi.
 
sasa hapo nikufundishe staha na ustaarabu au niignore tu vile vile... :SillyChamp:

uaelewa unaweza kua na maoni, mtazamo, hoja au ushauri wa maana na muhimu sana ila language unayotumia kupresent unachokusudia kikapoteza maana na umuhimu kabisa...

na kikawa ni useless

uungwana wa lugha na staha katika kuelezea umuhimu wa jambo fulani, kwanza unavutia hata kuskiza, lakini pia kuzingatiwa na kuungwa mkono na kutiliwa maanani na wastaarabu kunakua kwa kiwango cha kuridhisha.:MODS:
 
Nchi ya one man show.

Haya yalianzia kwa Kikwete, akaja Magu akayapalilia, na sasa Mama ndo imekuwa mwongozo rasmi.

Hakuna anayeheshimi Katiba na Sheria tena. Rais amekuwa ndiye Katiba, Sheria na Utawala Bora.

View attachment 2960403
Tafakari
Chukua hatua...
Mwabukusi alinunuliwa na wapingaji wa mkataba wa Bandari wale akina Karamagi kwa Tsh 400 Millioni.

Bahati mbaya ameshindwa kuzuia mkataba na wapambe wake akina Dr Slaa na Mdude_Nyagali . Sasa anatafuta kuwa relevant tena. Huyo ni mlevi mbwa tu mpuuzeni
 
ukizungumza mambo ya msingi kwa lugha isiyo na staha, matokeo yake ni kupuuzwa tu. mstaarabu hawezi kubabaika kuamua kufuata au kutokufuata maoni au mtazamo wa aina hii, anakupuuza tu halafu inaisha hivyo hivyo :whatBlink:
Lugha isiyo na staha ni ipi?.Ata wakipuuza wanakua wamemkomoa nani?.Hizi nafasi zinapitaga.kama unashindwa kufanya mazuri kwa ajili ya nchi yako kwa nafasi uliyobahatika kuhudumu usifikiri unamkomoa mtu,kwasababu wakati wako wakuondoka utafika na utaondoka utasahaulika na maisha yataendelea na nchi itaendelea kuwepo.
 
ukipuuzwa unabaki hivyo hivyo na ghadhabu zako.

na wenye majukumu ya kuwatumikia wanainchi kwa kutumia icho unacho kinanga kwa gubu zako, kazi inaendelea kwa bidii zaid bila mbambamba. jikomoe na mihemko yako :SillyChamp:
 
ukizungumza mambo ya msingi kwa lugha isiyo na staha, matokeo yake ni kupuuzwa tu. mstaarabu hawezi kubabaika kuamua kufuata au kutokufuata maoni au mtazamo wa aina hii, anakupuuza tu halafu inaisha hivyo hivyo :whatBlink:
Kwahiyo unapuuza mambo ya msingi na kuzidi kupuyanga kwakuwa tu mzungumzaji/mshauri katumia lugha isiyo ya staha? Unafikiri atakayeonekana mpuuzi zaidi machoni pa watu wanaojitambua ni nani?
 
Kama Katiba haiheshimiwi toka wakati wa Kikwete, Magufuli na sasa hivi...Nani aliewaambia wapinzani Katiba mpya ndo suluhu na itaheshimiwa??
 
ukizungumza mambo ya msingi kwa lugha isiyo na staha, matokeo yake ni kupuuzwa tu. mstaarabu hawezi kubabaika kuamua kufuata au kutokufuata maoni au mtazamo wa aina hii, anakupuuza tu halafu inaisha hivyo hivyo :whatBlink:
Huu upumbavu kamuambie huyo mnayemuita mama Kila kukicha nyie wajinga wa ccm. Samia na viroboto wake wanakula Kodi ya wananchi na hawana hata senti Moja wanayotumia kutoka mifukoni mwao. Wakitaka kunyenyekewa wakaendeshe biashara zao, wafanyakazi wao waliowaajiri watawanyenyekea.
 
Back
Top Bottom