asubuhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mbenge

    Hakuna umeme toka asubuhi, tatizo ni nini?

    Baadhi ya maeneo ya Kinondoni Kaskazini yamekosa umeme toka saa tatu asubuhi mpaka ninapotuma huu uzi hivi sasa. Je! Kuna changamoto yoyote ile iliyojitokeza, na pengine imekwisha kutolewa taarifa hapo kabla na uongozi wa TANESCO siku ya leo ya tarehe 02-06-2024. Pengine taarifa hiyo imenipita...
  2. Roving Journalist

    Waziri Bashungwa anawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ujenzi (2024/25) , Mei 29, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=k-4gMGsHRAk SERIKALI YAIAGIZA TCRA KUFATILIA WANAOUZA VOCHA TOFAUTI NA BEI ELEKEZI Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema Serikali imetoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)...
  3. J

    Saa 3 usiku mpaka saa 11 asubuhi simu inatumika

    Wadau naomba ushauri wenu. Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi. Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message lakini hazikujibiwa. Ilivyofika saa 12 na robo asubuhi akanipigia. Akasema eti aliblock namba yangu kwa...
  4. Uzalendo wa Kitanzania

    Leo asubuhi nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa badala ya chai naomba ushauri wenu

    Wadau hamjamboni nyote? Asubuhi ya leo badala ya kunywa chai na vitumbua nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa. Naomba mnishauri ikiwa ni vema niendelee na utaratibu huu au niandae utaratibu mwingine mbadala Asubuhi njema kwenu nyote
  5. mjizu123

    Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

    Punyeto/kujichua ni nini? Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi. Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono, kwani haimshirikishi mtu mwengine. Punyeto ni toshelezo kamili la...
  6. Antennah

    Binafsi namshukuru Mungu nimeamka nikiwa salama salimini

    Goood Morning, Habari za asubuhi wapendwa wana JF. Kabla sijajinyanyua kutoka hapa kitandani asubuhi hii ya leo, nimepokea taarifa mbili usiku wa kuamkia leo, taarifa za vifo watu wawili ambapo mmoja ni jamaa tu jirani yangu katika mtaa huu tunao ishi. Na jana nimeonana nae maeneo ya car wash...
  7. M

    Wakati unakua, nini kwenu mlikuwa mnatoaga nje asubuhi na kukirudisha ndani jioni muda wa kufunga mlango kabla ya kulala?

    Kwetu bwana , kulikuwaga na pikipiki ya babu, miaka hiyo mzee alishindwa kulitengeneza, likawa limekaa tu, sasa linalazwa ukumbini. Asubuhi mnaamka nalo kulitoa kwanza liwapishe, jioni ndo kitu cha mwisho kuingizwa, hata kama umelala bahati mbaya mzee atakuamsha ukaingize piki piki yenu. Basi...
  8. A

    KERO Kelele za Matangazo (PA) zinatutesa wikiendi Asubuhi Jijini Mbeya

    Kumekuwa na kero ya Watu wanaopita na magari ya matangazo (PA) Mbeya Mjini tena wanatabia ya kuanza matangazo yao mida ya Saa Kumi na Mbili kasoro asubuhi siku za mapumziko wakati tumelala. Hii ni kero na kwa sababu jiji linapokea silimia kadhaa kwenye haya matangazo tunaona hawakemai hili...
  9. R

    Msaada: Ng'ombe kuacha kutoa maziwa ghafla inatokana na nini? Nifanye nini arudi katika hali ya kawaida?

    Madaktari wa Mifugo: Ng'ombe amekata maziwa ghafla to zero level All of a sudden amekata maziwa. Mchungaji anasema uchangamfu aliokuwa nao umepungua. Inaweza kusababishwa na nini? And what is the remedy? Wakati alikuwa natoa lita 6 asubuhi na 5 jioni.
  10. Chance ndoto

    Hakuna umeme toka Asubuhi

    TANESCO Kwani huwa mnaangalia nini au kuconsider nini? Kukata umeme, tena siku nzima ya jumapili? Hii kero kubwa sana kwa sisi watanzania. Kweli tuwashe magenerator siku kama ya leo Jumapili. This is not fair.
  11. Lady Whistledown

    Katika Matumizi ya Dozi ya Dawa 1x3 = kila baada ya Saa 8. Sio Asubuhi, Mchana na Jioni

    Katika Mahojiano Maalum na Mwananchi, Aprili 7, 2024, Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Tumaini Nagu amesema moja ya sababu kubwa za Usugu wa Vimelea dhidi ya Dawa ni kutokumaliza au kutotumia Dawa vizuri hasa za Antibayotiki. Prof. Nagu amesema mtindo wa kuwaandikia Wagonjwa Dawa 1x3 au 1x2...
  12. Uzalendo wa Kitanzania

    Marufuku kunywa pombe asubuhi Singida

    Wadau hamjamboni nyote? #HABARI Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego amepiga marufuku wananchi wa mkoa huo kuanza kunywa pombe asubuhi badala ya kufanya shughuli za maendeleo na za kiuchumi hali ambayo inaweza kusababisha kudumaa kwa shughuli za kiuchumi kwa wananchi. Mkuu wa mkoa ametoa...
  13. AmKATRINA

    Kuna 10,000(elfu 10) cash kabla ya saa 06:00 asubuhi kwa atakayeonesha picha full nyumba yenye paa hili

    Hii picha inatrend sana hasa Tanzania ikizungumziwa masuala ya mvua na mafuriko. Naomba picha hii ikiwa full. Yaani nyumba full. Kuna 10,000/= cash kabla ya saa 06:00 asubuhi. Nipe picha ya hii nyumba ikiwa full na paa lake hili linaloonekana kama lilivyo Karibuni kwenye mpambano. 10,000...
  14. FRANCIS DA DON

    Rais wa CAF, Patrice Motsepe aipongeza Mamelodi usiku huu wa manane

    Sisi tupo nae hadi asubuhi, anajitahidi kufuta comment mamia kwa mamia kila dakika ila naona bado zinamiminika, jiandaeni kwa shift ya asubuhi, sisi tunae usiku kucha, hadi afunge hilo page lake aweke private. Page ya Mamelodi sundowns fc nayo tunaisulubu hadi asubuhi...
  15. K

    Jumuiya nyingi asubuhi ni za umbeya na kusambaza sumu katika jamii

    Niligombana na jirani yangu baada ya kujenga mpakani. Kilichotokea nilimwambia abomoe na hakubomoa. Nikamuacha, nimemuacha hadi sasa. Nasubiri afanye maamuzi yake. Cha ajabu naambiwa na watu walihudhuria jumuiya naona kuna majadiliano ya mimi nikubali ajenge. Sipendi jumuiya ni upumbavu.
  16. M

    Kuna nguvu gani muda wa asubuhi? Ni kama ndio inaamua siku yako nzima itakuwaje

    Habari za mchana wakuu. Kama thread inavyojieleza hapo juu kwanini kama ukikwazika asubuhi basi siku yako nzima utashinda vibaya na mihasira yani siku itakuwa mbaya kweli. Leo asubuhi kabisa kuingia tu ofisini nimekutana na incidence kutoka Kwa staff mwenzangu, nilikwazika na kuumia sana...
  17. R

    Kuna viongozi walipanga kuingia nyumba za ibada na vyeo vya jana mchana ila asubuhi waliposoma mkeka hata ibadani wamesusa

    Hakuna jambo la kibabe alilofanya mama kama kuharibia watu mwaliko wa Pasaka. Kuna watu wamegoma kwenda kanisani kwa sababu title zao zimebadilika au hazipo tena. Wengine walitamani madereva wawapeleke sehemu ila wanaamini wao sio mabosi wa hao madereva tena. Wapo waliowaalika wananchi na...
  18. GENTAMYCINE

    Tulitangaziwa Ndege itawasili Asubuhi Saa 4, ila imewasili / inawasili Mchana huu

    Rais angekuwepo bado Kipenzi cha Wengi na changu hasa GENTAMYCINE Hayati John Pombe Magufuli ( JPM ) Ndege hii ingewasili muda ule ule wa Asubuhi kama tulivyotangaziwa. Ukiona unapuuzwa huku ukiwa wa Muhimu katika Ardhi fulani jua hufai na hata katika Vita hutakiwi Kuaminika kwakuwa huna...
  19. B

    Mchengerwa kuongea na Vyombo vya Habari asubuhi hii saa 5

    Wizara ya TAMISEMI ni Injini ya Taifa letu. Hii Wizara inamgusa kila mwananchi. Asilimia zaidi ya 60 ya Watumishi wa Umma wanasimamiwa na TAMISEMI. Sasa Wizara hii ikiongea ujue kuna jambo na leo Jumatano Machi 20, 2024 Waziri wa Wizara hii Injini ya Taifa, Mhe. Mohamed Mchengerwa anazungumza...
Back
Top Bottom