Ushauri wangu Kwa wale wanaotaka kuagiza magari kipindi hiki

PureView zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
9,331
30,676
Wakuu...
Baada ya kuuza Rumion yangu siku ya jumatano uliyopita nilingia fasta mitandaoni kuagiza gari ninayoikusudia.

Siku ya alhamisi asubuhi nilienda Kwa agent ili nianze process za kulipia gari hakika hapo ndipo nilichoka kabisaa baada kuambiwa kuwa hakuna dollar kwenye bank, kumbuka haya makampuni yote ya wauza magari hawana local account Ambazo tunaweza kuhamisha hizi Tsh kwenda kwenye account zao Hadi uwe na dollar Tu.

Wahudumu wa bank wanakuambia kama unahitaji malipo ya dollar, withdrawal hiyo pesa alafu ufanye exchange Kwa dollar huku ukizunguka na kibunda cha pesa yako ya madafu ukitafuta wapi utapata...baada ya kupambana kwa muda mrefu nilifanikiwa kuhamisha pesa kwenda bank nyingine kwenye account ya mtu mwingine ili aweze kufanya malipo( hii ni mbinu ambayo unasaidiwa wa agent mwenyewe ili ufanikiwe zoezi lako).

Ushauri wangu Kwa wewe ambaye unataka kuagiza gari kipindi hiki unatakiwa ujipange na hili la uhaba wa dola.
Nashukuru kilakitu Kipo kwenye mstari na pesa imeshafika Japan na wameanza Leo kunipa update za gari Kwa njia ya email kama kawaida

Mad Max tukutane barabarani MUNGU akipenda July mwanzoni,
Screenshot_20240516-071005~3.png
 
View attachment 2995057
Witch hunter unaitwa huku😊
 
SBT mwaka jana September walianzisha utaratibu wa kupokea kupitia NMB local payments.

USD mjini zipo ni namna unavyoongea na watu vizuri
Ndiyo hivyo mkuu kama ni mgeni wa haya mambo utapata shida na pengine utaambiwa utoe pesa upate dollar, Kwa kifupi yale maisha ya miaka Ile yamerudi tena kila idara ni rushwa tu
 
Wakuu...
Baada ya kuuza Rumion yangu siku ya jumatano uliyopita nilingia fasta mitandaoni kuagiza gari ninayoikusudia.

Siku ya alhamisi asubuhi nilienda Kwa agent ili nianze process za kulipia gari hakika hapo ndipo nilichoka kabisaa baada kuambiwa kuwa hakuna dollar kwenye bank, kumbuka haya makampuni yote ya wauza magari hawana local account Ambazo tunaweza kuhamisha hizi Tsh kwenda kwenye account zao Hadi uwe na dollar Tu.

Wahudumu wa bank wanakuambia kama unahitaji malipo ya dollar, withdrawal hiyo pesa alafu ufanye exchange Kwa dollar huku ukizunguka na kibunda cha pesa yako ya madafu ukitafuta wapi utapata...baada ya kupambana kwa muda mrefu nilifanikiwa kuhamisha pesa kwenda bank nyingine kwenye account ya mtu mwingine ili aweze kufanya malipo( hii ni mbinu ambayo unasaidiwa wa agent mwenyewe ili ufanikiwe zoezi lako).

Ushauri wangu Kwa wewe ambaye unataka kuagiza gari kipindi hiki unatakiwa ujipange na hili la uhaba wa dola.
Nashukuru kilakitu Kipo kwenye mstari na pesa imeshafika Japan na wameanza Leo kunipa update za gari Kwa njia ya email kama kawaida

Mad Max tukutane barabarani MUNGU akipenda July mwanzoni,
View attachment 2995057
Kwa nini unatumia agent? Si uagize mwenyewe tu?
 
Kwani ukilipia TT lazima uwe na $$ hard cash?
 
Back
Top Bottom