Kila mtu kamuelewa kasoro wewe. Una kasoro gani, hapo nyumbani.Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake.
Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
View attachment 2839872View attachment 2839873
Hii kitu ni chukizo, kwa mujibu wa taarifa rasmi walio fariki hawazidi 90, hivi serikali ndio inatoa 90m tu?Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake.
Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
View attachment 2839872View attachment 2839873
Hv unafatilia ht vyombo vya habari au ww nae ni mpuuzi kama mtoa mada.? Serikali imetoa zaidi ya B ila hizo zinakwenda kwenye familia moja kwa moja kwa waliofiwaHii kitu ni chukizo, kwa mujibu wa taarifa rasmi walio fariki hawazidi 90, hivi serikali ndio inatoa 90m tu?
Halafu goli moja lina thamani kuliko mtanzania?
Nani mshauri wa raisi?
CHADEMA hata milioni 10 tu mmetoa kusaidia wahanga? Unajua kazi inayofanyika Hanang au umengalia tu hiyo mkono wa pole?Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake.
Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
View attachment 2839872View attachment 2839873
Sasa unaambiwa chadema wametoa mamilioni ya fedha ila hawajui ni sh ngapi mana zilikuwa nyingi sana hvy wakashindwa kuzihesabu wakaamua kuzibeba hvy hvy bila kuzihesabuMi naona wewe na yeye wote akili zenu ni sawa tu, yeye katoa wewe unajadili kilichotolewa.
Chadema hawakusanyi kodi na tozo. Acha kiherehere
Ni dharau kwa wafiwa.Hii kitu ni chukizo, kwa mujibu wa taarifa rasmi walio fariki hawazidi 90, hivi serikali ndio inatoa 90m tu?
Halafu goli moja lina thamani kuliko mtanzania?
Nani mshauri wa raisi?
Chadema tumetoa mamilioni, wanachadema tumechanga pesa nyingi sana hadi mwenyekiti wetu Mbowe na kitengo cha fedha wakashindwa kuzihesabu ila kwa busara zake akaamua kuzibeba na kuzipeleka zote bila ht kuzihesabuCHADEMA hata milioni 10 tu mmetoa kusaidia wahanga? Unajua kazi inayofanyika Hanang au umengalia tu hiyo mkono wa pole?
Imetoa zaidi ya B kwa nani na inaenda kufanya kazi gani ikiwa familia inapokea milioni 1 tu?Hv unafatilia ht vyombo vya habari au ww nae ni mpuuzi kama mtoa mada.? Serikali imetoa zaidi ya B ila hizo zinakwenda kwenye familia moja kwa moja kwa waliofiwa
Hela zinazotolewa na Samia siyo zake ni za serikali , kule kizimkazi hana hata shamba la pilipiliCHADEMA hata milioni 10 tu mmetoa kusaidia wahanga? Unajua kazi inayofanyika Hanang au umengalia tu hiyo mkono wa pole?
Acha kupotosha. Hiyo ya kujengwwa nyumba ndiyo unaisema wewe. Tamko la rais ni kila mwili milioni 1.Hiyo ni rambirambi tu, ila hao wakazi wote watajengewa nyumba, tatizo sijalioma
Umejiuliza bajeti iliyotumika kuipeleka serikali Hanang ilikuwa kiasi gani?CHADEMA hata milioni 10 tu mmetoa kusaidia wahanga? Unajua kazi inayofanyika Hanang au umengalia tu hiyo mkono wa pole?
Nimeandika B na sio 8.Imetoa milioni 8 kwa nani na inaenda kufanya kazi gani ikiwa familia inapokea milioni 1 tu?
Hajitambui tuNi dharau kwa wafiwa.