nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,009
- 840
Kwani mnatuchukulia sisi poa, kwani itawagharimu pesa ngapi kututangazia kuwa tozo zimerudi kwenye malipo ya ving'amuzi?
Leo nimefanya malipo kulipia king'amuzi risiti iliyorudi imeonesha nimekatwa Ada na Vat... au kuna tatizo kwenye uandishi wa hiyo risiti..
Kama kuna yoyote aliefanya malipo ya king'amuzi leo 05/05/2024 naomba utupe mrejesho..
Niliwapigia watoa huduma wakasema ni kweli ukifanyika muamala wowote kuna tozo, nilimrudia kumuuliza anauhakika na anachonijibu akasema ndio
Nikamwambia aangalie muamala nilifanya mwezi uliopita alivyoangalia akasema kweli mwezi uliopita hakuna tozo..