Wapi nitapata Virtual Reality kwa hapa Bongo? Mimi ni mdau sana wa hizi kitu

Nov 2, 2023
32
178
wadau mnaopenda kutumia technology mimi ni mpenzi sana wa Technology. Nlikuwa na VR moja mwaka 2019 akaja mtu akaomba na amekuwa mgumu kurudisha nimeona tu nitafute nyingine.

Ile ya kwanza nilinunua Dubai. Now natafuta kwa hapa Dar. Nitapata wapi? Nahitaji ambayo itakuwa compatible na android moja Samsung na nyingine ni Redmi.
 
Huwa naona bango lao pale kwenye jengo lenye mgahawa wa Pizza Hut kkoo maeneo ya kamata
 
Back
Top Bottom