kidigitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjukuu wa kigogo

    Harusi za kidijitali

    Hii ndio harusi iliyotrend sana hii wiki.Kimaadili hali ni tete.
  2. P

    SoC04 Elimu kidijitali

    ELIMU KIDIGITALI Elimu huweza kumsaidia mtoto kuweza kujitambua na kutambua mambo mengi yanayomzunguka, pia huweza kumsaidia mwanadamu kuishi kwa kukabilia na mazingira yake. Elimu kidigitali ni elimu ambayo inatumia vifaa vya kiteknolojia katika kufundisha na kujifunza, vifaa kama vile...
  3. C

    SoC04 Sanduku la maoni liwekwe kidigitali

    Kwa hali ya sasa masanduku ya kutolea maoni yapo kwenye ofisi husika jambo ambalo maoni kama yanamuhusu mhusika anaefungua halifanyiwi kazi au kupotezewa au wakati mwingine kuto kufwatiliwa kwa sanduku lile kabisa. Jambo ambalo na pendekeza kufanyika ni kutengenezwe page online ambayo...
  4. Jacky Ema

    Tunauza vitabu vya fursa za kidigitali na riwaya mbalimbali karibuni

    Karibu ujipatie kitabu cha Fursa za mtandaoni 👉Huku utafahamu Fursa zote zilizopo mtandaoni na Jinsi ya kuzitumia kujiingizia kipato 👉 Bei ni Tsh 5000 tu tunapatikana Dar es salaam number 0684861947 / 0692436124
  5. E

    Fanya Biashara Kidigitali

    Moja vitu napenda kufanya ni pamoja na kuwasaidia wafanya biashara/brand zinazozalisha bidhaa zake zenyewe hapa Tanzania Karibu nikutengenezee muonekano wa bidhaa zako kuanzia branding hadi kuwafikia wateja wako. Huduma izo ni kama; => Product Label & Packaging Design => Product Ads Design =>...
  6. G

    SoC04 Afya bora kidigitali

    Kuboresha Sekta ya Afya kwa Matumizi ya Teknolojia ya Telemedicine na AI(Akili bandia) kwa Miaka 25: Maono na Utekelezaji Utangulizi Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi katika sekta ya afya, ikiwa ni pamoja na upungufu wa vituo vya afya, ukosefu wa madaktari na wauguzi, na upatikanaji...
  7. JanguKamaJangu

    Wizara ya Habari kuomba fedha pungufu ya Bajeti iliyopita inamaanisha Serikali haiwekezi katika Ulimwengu wa Kidigitali?

    Kabla ya kusoma maoni yangu tazama hizi takwimu na maelezo ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari: BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Katika Mwaka wa Fedha 2023/24 Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iliidhinishiwa kutumia kiasi cha Shilingi bilioni...
  8. TheForgotten Genious

    SoC04 Wizara ya Maendeleo ya Jamii,j Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu itumie mfumo wa kidigitali kupokea, na kufuatilia matukio ya kijamii

    JINA LA MFUMO: JAMII SALAMA (JASA). UTANGULIZI. Wizara ya Maendeleo ya jamii,Jinsia,wanawake na makundi maalumu inakabiliwa na ukosefu wa mfumo bora wa kupata na kufuatilia taarifa za kijamii zinazohusu matukio mbalimbali ambayo yapo kinyume na sheria kitu kinachopelekea watu wengi kufanyiwa...
  9. TheForgotten Genious

    SoC04 Serikali ifanye manunuzi, malipo na usimamizi wa fedha za miradi kidigitali ili kuzuia ubadhirifu na Rushwa katika ngazi zote

    UTANGULIZI. Kwa kipindi kirefu kumekuwa na ubadhirifu wa fedha za umma katika serikali kupitia miradi mbalimbali kitu kinachopelekea serikali kupoteza fedha nyingi pasipo kuwa na ulazima na mara nyingine baadhi ya miradi kukwama kutokana na uhaba wa fedha kwa sababu ya ubadhilifu. Chanzo...
  10. S

    Mfumo wa Kidigitali - Jinsi ya Kuanza

    Wanajamvi, Natumaini tunaendelea vyema. Kama mnavyojua, dunia ina kasi ya kidigitali. Na huenda hutaki kuachwa nyuma. Juzi kuna lecturer mmoja aliniomba kumsaidia wazo na kudadavua jambo: Ana biashara ya guest house kule dar. Eneo fulani hiv ndani ndani. Sio nyumba moja, zipo kadhaa ndani...
  11. Roving Journalist

    Mbeya: Kikundi cha Ulinzi Shirikishi Kata ya Ifumbo chafanya kazi Kidigitali

    Wananchi wa Kata ya Ifumbo iliyopo Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wametakiwa kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi kupitia Mkaguzi Kata hiyo pamoja na kikundi cha ulinzi shirikishi kilichopo ili kuzuia uhalifu. Akizungumza Januari 29, 2024 katika hafla ya kupokea na kukabidhi vitendea kazi vya...
  12. Kaka yake shetani

    Flipper Zero, kifaa cha kidigitali kinachoweza kutumika vibaya kwenye udukuzi wa funguo za magari na password za simu

    Sio kila kilichopo kimetengenezwa au kuundwa kina dhamila mbaya inaweza kuwa nzuri kwa wengine na wengine wakatumia vibaya. Teknolojia inazidi kukuwa na kuwa msaada kwa matumizi lakini ugeuka kuwa mbaya kwa wanaotumia kwa njia ya uwovu kwenye mambo mengine. Wakati napitapita kwenye mitandao...
  13. Kaka yake shetani

    Sarafu za kidigitali mwiba kwa benki kuu nchini mwetu

    Nakumbuka maneno ya mweshimiwa raisi samia kuhusu benk kuu kufatilia swala la sarafu za digitali. Bahati mbaya tamko la benki kuu iliishia kutoa vitisho na sababu wanazozijua wao. Lakini leo benk kuu imekuwa inaangaika kutafuta pesa za kigeni zinazoingia imekuwa ngumu. SABABU NI ZIPI? Hakuna...
  14. Bull Bucka

    Bila umeme kwenye shule za Serikali tutaendelea kubaki nyuma kidigitali

    Ujumuishaji wa kidigitali katika sekta ya elimu ni suala linalokubalika kuwa na umuhimu mkubwa katika kuleta mageuzi ya kielimu na kufanikisha maendeleo ya kitaifa. Hata hivyo, ni dhahiri kuwa mchakato huu utachukuwa muda mrefu kufikia mafanikio makubwa hapa nchini kwetu. Kuna changamoto kadhaa...
  15. JanguKamaJangu

    Mkurugenzi TWAWEZA: Siku hizi kuna 'Fisi wa Kidigitali' wanaiba Taarifa Binafsi na kuzitumia vibaya

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya TWAWEZA, Aidan Eyakuze amewasii wadau kulinda taarifa binafsi za wateja wao huku pia akiwataka Wananchi kuwa makini wanapotoa taarifa zao ambapo amedai kuwa siku hizi kuna 'Fisi wa Kidigitali' ambao uchukua taarifa za watu na kuzitumia kwa madhumuni yao bila...
  16. Roving Journalist

    Naibu Waziri Sagini azindua mfumo wa Kidigitali wa URA Mobile Money

    Jeshi la Polisi nchini limezindua Mfumo wa kidijitali wa huduma za kifedha uitwao (URA MOBILE MONEY) utakaotumika na Viongozi pia Wanachama wa URA SACCOS katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Jijini Dar es Salaam Leo Septemba 30, 2023. Akizungumza katika hafla fupi ya Uzinduzi wa Mfumo huo Mgeni...
  17. BARD AI

    Rais Ruto aagiza Wizara ya Mawasiliano kuandaa Sheria itakayowezesha Ushindani wa Kidigitali

    Rais William Ruto ametoa maagizo hayo na kueleza Serikali yake imeweka nia ya kutengeneza mazingira yenye Ushindani ikiwemo kuongeza ushawishi kwa Makampuni ya Teknolojia kwaajili ya kuwekeza zaidi Nchini humo. Kauli ya Ruto inakuja siku chache tangu aanze ziara ya siku 10 katika Mataifa ya...
  18. matunduizi

    Hii ndio sababu kwanini wahuni, watu tunaowaona wadhambi wengi wataingia mbinguni kuliko watakatifu wa kidigitali

    Hawa jamaa waliopinda, wahuni, wezi, vibaka na watu wa aina hii licha ya ukorofi wao huwa wakibanwa kwenye kona ni wapole sana na wepesi kutubu. Nakumbuka ajali moja ya Bajaji abilia wote walikuwa wamelewa chakali lakini wakiwa majeruhi walikuwa wanatubu na kumuomba Mungu fasta kabla hawajadedi...
  19. J

    SoC03 Afya katika Enzi ya Dijitali

    Tangu kuanzishwa kwa teknolojia ya kidijitali, maisha yetu yamepata mabadiliko makubwa. Tunashuhudia mabadiliko haya katika kila nyanja ya maisha, ikiwa ni pamoja na sekta ya afya. Leo hii, tunaona matumizi ya teknolojia katika kuboresha huduma za afya na jinsi ambavyo afya ya kidijitali...
  20. N

    SoC03 Uliwengu wa kidigitali katika kuongeza ufanisi wa kiutendaji(Sensa & Kupiga kura)

    MATUMIZI YA MIFUMO YA KIDIGITALI KATIKA UCHAGUZI & SENSA YA WATU NA MAKAZI. Miongoni mwa mambo mazito katika utekelezaji ususani kwa nchi zinazoendelea ni maswala mazima ya kuendesha na kusimamia zoezi la uchaguzi pamoja na sensa za watu na makazi. Gharama nyingi sana utumika kusaidia...
Back
Top Bottom