Kumekuwa na wimbi kubwa sana utapeli, wizi na machapisho ya aibu (explicit pornography) kwenye mitandao ya kijamii hususan facebook. Tumeona account za watu aidha zikitumia kurusha maudhui haya kwenye magroup mbalimbali au hata kupitia account zao wenyewe na kuwa-tag wengine.
Mara zote account...
Sio kila kilichopo kimetengenezwa au kuundwa kina dhamila mbaya inaweza kuwa nzuri kwa wengine na wengine wakatumia vibaya.
Teknolojia inazidi kukuwa na kuwa msaada kwa matumizi lakini ugeuka kuwa mbaya kwa wanaotumia kwa njia ya uwovu kwenye mambo mengine.
Wakati napitapita kwenye mitandao...
Katika zama za mawasiliano ya kidijitali, majukwaa ya mitandao ya kijamii yamekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu. Tunashiriki matukio yetu, kutambulisha hisia zetu, na kuungana na ulimwengu.
Lazima pia tukubaliane na hatari zilizopo. Hivi karibuni, Microsoft iligundua uwezekano kwenye programu...
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na kilio juu ya kuwepo kwa udhaifu mkubwa wa kiusalama kwenye tovuti nyingi na mifumo mingine ya TEHAMA ya taasisi za umma.
Ni mara nyingi tu yametokea matukio ya mashambulio ya kimtandao na udukuzi kwenye tovuti hizi ambayo yamekuwa yakiliingizia taifa hasara...
Kwa wataalam wa IT upande wa software engineering watakubaliana na Mimi kuwa udukuzi ni kitu cha kawaida kabisa katika tasinia ya technologia.
Udukuzi hufanywa Mara nyingi sana. Lakini Kuna iana mbili za udukuzi.
1.Udukuzi wa faida(kujikinga na magaidi na kurinda Usalama)
2.Udukuzi wa...
Serikali nyingi duniani zinaongeza matumizi ya udukuzi kufanikisha shughuli zao za upelelezi. Hata hivyo, nyingi hutumia udukuzi huo kwa siri na bila msingi wa wazi wa kisheria. Hata katika kesi ambapo serikali zinajaribu kuweka uwezo huo katika sheria, mara nyingi hufanya hivyo bila kuweka...
Mmesahau zile sauti zilipodukuliwa? Mmesahau alivyojifanya kujipendekeza kwa hayati JPM na kuomba msamaha.
Leo anajinasibu ni mwanasiasa msafi na anahuruma ya upinzani ili iweze kufanya mikutano. Huyu ni hyocrite politician mwenye roho mbaya.
Ana huruma gani na upinzani. Kwa nini hakusema hii...
Serikali duniani kote zinakabiliwa na madai ya kutisha kwamba zilitumia programu hasidi iliyotengenezwa na Israel kwaajili ya kupeleleza simu za wanaharakati, waandishi wa habari, wasimamizi wa mashirika na wanasiasa.
Lakini je, spyware ya Pegasus inafanya kazi vipi hasa? Je, inaingiaje kwenye...
Wataalam wa Umoja wa Mataifa wamesema kwenye ripoti yao kwamba Korea ya Kaskazini inaendelea kuiba mamilioni ya dola kutoka katika taasisi za kifedha na makampuni yanayojihusisha na sarafu za mitandao na ubadilishanaji fedha.
Wataalamu hao waliowanukuu wataalamu wa masuala ya mitandao kwenye...
Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu wote ni wazima.
Andiko hili litalenga zaidi kuzuia UPOTOSHWAJI WA TAARIFA MITANDAONI na UDUKUZI katika Nchi yetu ya Tanzania.
Nitazungumzia mambo yafuatayo:
Nini chanzo cha upotoshwaji wa taarifa...
Apple imezindua programu ya dharura ili kukabiliana na hatari ya kiusalama kwa bidhaa zake kuzuia kile kinachoitwa "zero-click, ikiwa ni baada ya watafiti wa usalama kugundua kasoro ambayo inawaruhusu wadukuzi kuvifikia vifaa kupitia huduma ya iMessage hata bila watumiaji kubonyeza kiungo (link)...
LinkedIn imethibitisha kuwa taarifa zilizofutwa kutoka kwa watumiaji milioni 500 wa mtandao huo ni sehemu ya hifadhidata ‘database’ zilizochapishwa na wadukuzi.
Taarifa za kudukuliwa na kuuzwa kwa data ilichapishwa mara ya kwanza na tovuti ya utafiti ya Cybernews ya usalama wa kitandao tarehe 7...
Ikulu ya Marekani imeonesha wasiwasi wake baada ya shambulio dhidi ya huduma ya Exchange ya Microsoft ikitaka taasisi binafsi na za serikali zilizoathiriwa kuchukua hatua za haraka ili kuepusha madhara zaidi.
Katika ujumbe wake kwa waandishi wa habari siku ya Ijumaa, Msemaji wa Ikulu ya...
Askofu wa Kanisa Katoliki nchini Togo ni miongoni mwa watu waliolengwa na udukuzi uliofanywa kwa zaidi ya watu 1400 katika mtandao wa WhatsApp uliofanywa na Taasisi ya NSO Group ya Nchini Israel
Askofu Benoît Alowonou pamoja na watu wengine watano ambao ni wakosoaji wakubwa wa matendo na...
Mamlaka katika Jimbo la Florida zimemkamata Graham Ivan Clark kama mtuhumiwa mkuu wa Udukuzi uliotokea kwa watu maarufu wakiwemo Barack Obama, Elon Musk, Bill Gates na Kanye West katika mtandao wa Twitter
Graham anatuhumiwa kwa makosa 30 likiwemo la udukuzi na atashtakiwa kama mtu mzima pamoja...
SALUTE
Inafahamika kua Tanzania ni moja kati ya nchi zenye amani na uhuru duniani, hii inatufanya
Kujitamba na kutembea kifua mbele ya mataifa mengi hasa ya Afrika kua tuna amani na furaha
zaidi katika nchi yetu. Lakini kitu kimoja kikubwa ambacho tunakosea watanzania ni kuwa
tunachanganya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.