ndaisaba ruhoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro Achangia Milioni 5 Ujenzi wa Kanisa Katoliki Rulenge - Ngara

    MHE. RUHORO, MBUNGE WA JIMBO LA NGARA NA WANAJIMBO KATORIKI LA RULENGE - NGARA. 💒⛪🗓️12 MAY,2024.💒⛪ Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO, Mbunge wa Jimbo la Ngara, Sekreterieti CCM 'W' na M/kiti CCM 'W' Ndg VITARIS NDAILAGIJE amefanya ziara alimaarufu OPERESHENI JENGA KANISA katika Kanisa Katoliki...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro Aililia Serikali Sakata la Kikokotoo

    MBUNGE NDAISABA AILILIA SERIKALI SAKATA LA KIKOKOTOO "Je, Serikali ina mpango gani wa kurekebisha kanuni ya Kikokotoo ili kuongeza kiwango cha mafao ya mkupuo kwa wastaafu? - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara "Serikali ina mpango gani wa kuhakikisha kwamba inalipa madeni...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Ngara, Ndaisaba Ruhoro Amegawa TV Kwenye Vijiwe na Mabunge ya KAHAWA Wilayani Ngara ili Wananchi Waendelee Kupata Taarifa Muhimu

    Mbunge wa Ngara, Ndaisaba Ruhoro Amegawa TV Kwenye Vijiwe na Mabunge ya KAHAWA Wilayani Ngara ili Wananchi Waendelee Kupata Taarifa Muhimu Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh. Ndaisaba George Ruhoro anapenda kuujulisha umma na Wananchi wa Jimbo la Ngara kuwa anaendelea na Zoezi la ugawaji wa Television...
  4. benzemah

    Sintofahamu picha za Mbunge wa Ngara zikiwekwa maofisini kama picha ya Rais

    Updates: Video imeambatanishwa . . . Mbunge wa Ngara (CCM) Ndaisaba Ruhoro anadaiwa kulazimisha picha zake zibandikwe maeneo yenye mkusanyiko wa watu ndani ya jimbo huku baadhi ya watu wakihoii kwa nini iwe lazima. Picha hizo zinaelezwa kubandikwa maeneo ambako kuna picha za Rais na sehemu...
Back
Top Bottom