serikali

  1. A

    DOKEZO Tuwe makini na Mawakala wanaouza dada zetu wakidai wanawapeleka Uarabuni, Serikali iangalie

    Kuna tukio limetokea kwenye familia yetu hivi karibuni (Februari hii 2024), baada ya kufikiria nikaona ni vema nishee na watu ili pengine inaweza kuwa sehemu ya kuiamsha Serikali na Jamii kwa jumla juu ya kinachoendelea baadhi ya maeneo nchini. Dada yangu ni binamu hapa tumpe jina la “Bi Dada”...
  2. Jidu La Mabambasi

    Serikali ndiyo imeshtuka, ukosefu wa dola umesababishwa na Serikali yenyewe kwa kuwabeba wachina miradi mingi

    Ukosefu wa dola sasa unaathiri biashara nyingi zinazotegemea kuagiza vipuri na malighafi zinazohitajika kuagizwa nje. Kwa miaka mingi viongozi wa serikali wamekuwa wakishinda kila kiongozi kumpata "Mchina wake" kwenye miradi mingi nchini. Wachina wamekuwa wakipewa miradi hata inayoweza...
  3. hp4510

    Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya Mtandaoni (Online)'

    Hii mikopo ya online inasaidia Sana, pamoja na kwamba Riba Yao ni kubwa Sana, wakikupa elf 20 unarudisha elf 29 kwa siku Saba Shida inakuja Kwa wafanyakazi wao ambao wanadai hiyo mikopo Aisee ni kama vichaa, mkopo ukibakia siku moja Tu Yan kesho yake unatakiwa kulipa utakuta missed call zaidi...
  4. Miss Zomboko

    Serikali ya DRC yataka kurejesha adhabu ya kifo kwa wanajeshi wanaopatikana na hatia ya uhaini

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ina lengo la kurejesha adhabu ya kifo, ambayo ilisitishwa miaka 20 iliyopita, kwa wanajeshi wanaopatikana na hatia ya uhaini dhidi ya waasi wa M23, kulingana na ripoti ya baraza la mawaziri. Hukumu za kifo hutolewa mara kwa mara na mahakama nchini...
  5. FRANCIS DA DON

    Je, kuna ubaya gani Serikali ikaruhusu sukari iagizwe kwa uhuru kama nguo Kariakoo?

    Tunafahamu lengo ni kulinda viwanda vya ndani, ila je, hivyo viwanda vya ndani vinakidhi mahitaji? Kama lengo ni kulinda viwanda vya ndani, mbona viwanda husika haviongezeki ukubwa wala idadi? Kwanini havikuwi pamoja na ukinzi wote huu at the expemse ya WaTZ kununua sukari shs. 6,000/= kwa...
  6. Kiboko ya Jiwe

    Kwa musiojua gharama za matengenezo ya magari ya serikali njooni

    Sijaiona picha ya sehemu za nyuma za gari hii. Ikiwa imeharibika hapo tu panapoonekana kwenye picha serikali itatumia zaidi ya milioni 50 kutengeneza gari hii. Gari itakaguliwa na TEMESA, serikali italipa gharama za ukaguzi, kisha TEMESA watatoa tenda kwenye garage binafsi kama vile KINAI, ADAM...
Back
Top Bottom