MWANAHARAKATI MWEMA
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 212
- 305
Ni upuuzi Kibanda na wenzake kuwaambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa mijadala hii miaka mitano iliyopita isingekuwepo.
Hivi hiyo Sheria ya mikataba ya Maliasili kujadiliwa si ni kwa mujibu wa Sheria na aliyefanikisha hayo Si JPM Kwa Sababu ya uzalendo wake kwa nchi ndio hiyo Sheria ikatungwa.
Wameniudhi kwaherini.
Hivi hiyo Sheria ya mikataba ya Maliasili kujadiliwa si ni kwa mujibu wa Sheria na aliyefanikisha hayo Si JPM Kwa Sababu ya uzalendo wake kwa nchi ndio hiyo Sheria ikatungwa.
Wameniudhi kwaherini.