Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,921
- 36,784
Tangu UVCCM hii ya 2000's ipambe moto kudahili vijana mashuleni, vyuoni na mitaani hakuna kijana mwenye ajira ya uhakika (permanent & attractive salary) amejiunga na UVCCM na kujishughulisha nayo.
Vijana waliosota na ukosefu wa ajira uliosababishwa na CCM ndio hukimbilia UVCCM wakisubiria uhakika wa ajira za sensa na uchaguzi.
Wengine wanadanganywa kuwa UVCCM ndio source ya ajira zote jambo ambalo si kweli. Labda ajira zile tia maji tia maji ndio UVCCM watazipata kirahisi.
Wengine wamemaliza vyuo wazazi maskini, mitaji ya uhakika hawana wanakimbilia UVCCM wakapate unafuu.
Hakuna kijana mwenye kazi yake ya uhakika akaitolea macho UVCCM.