Wakati kukiwa na mitazamo mbalimbali juu ya Rais Samia Suluhu Hassan na utendaji wake kazi, Rais mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete anasema imekuwa ni miaka mitatu ya kutengeneza utulivu wa nchi ambao umefanikisha kuvutia wawekezaji katika sekta mbalimbali. Mzee kikwete anasema:
Hata wafanyabiashara...
Tanzania na Pakistan zimeahidi kuendelea kushirikiana kuimarisha zaidi sekta za biashara na uwekezaji kwa maslahi ya pande zote mbili.
Ahadi hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Salvastory Mbilinyi...
Ndugu Zangu Habarini
Nina wazo la kufungua kampuni ya ukusanyaji na uzoaji taka ngumu katika sekta mabali mbali kama taasisi, mashule, majumbani nk.
Lakini naomba kujua ni zipi changamoto za mradi huu pia zi zipi fursa za kukuza mradi huu. Pia nataka kujua namna ya uendeshaji wa mradi huu...
Fuatilia utoaji wa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Mwinyi, ambapo ratiba ya maziko yake inaanza leo, nyumbani kwake, ambapo baada ya sala ya sala ya Ijumaa na taratibu kidini kukamilika mwili utapelekwa uwanjwa wa Uhuru kwa Watanzania kuaga na kisha kupelekwa Zanzibar...
Mjadala unaofanyika kwenye Jukwaa la Kodi na Uwekezaji 2024, Ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam, Februari 28, 2024:
https://www.youtube.com/watch?v=flJ-sm9Ke0A
MDAU: KUNA UTAMADUNI WA TRA KUTOA BENKI FEDHA ZA WATEJA WAO WENYE MIGOGORO YA KIKODI BILA USHIRIKISHWAJI
Mdau ameshauri mamlaka ya...
Wafanyabishara wote, na wapambanaji wote walioweza kutoka chini, bila kitu na wakafanikiwa kuona Mwanga, aisee ukimpita mtu wa hivyo jaribu kumheshimu sana maana hustling zake sio za kitoto.
Nimeelewa kwanini Baba yangu alikuwa ananikazania nisome, biashara sio kwa ajili ya watu dhaifu, ila...
Walianza na propaganda za Yanga kushiriki kombe la looser (shirikisho), wakatoka hapo yanga ikagonga mpaka fainali uku timu zikichapwa ipasavyo wakasema wamekutana na timu dhaifu, lakini wale wale waliwai kucheza ilo ilo kombe la looser wakaishia kuchoma uwanja wa watu na kutupwa nje ya michuano...
RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Shariff Ali Shariff, kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.
Uteuzi huo umetangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar, Mhandisi Zena Said
Kwa...
Na Mwandishi wetu
Dodoma
Serikali kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imesema imepata mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya ambapo kuanzia mwezi Januari hadi Disemba 2023 kilogramu zaidi ya milioni moja za aina mbalimbali za dawa za kulevya...
Wadau hali ya kiuchumi ya watanzania inajulikana , wengi wetu vipato vinasua sua sio kwa jobless ama employee iwe public ama private entity.
Wakuu nimekuja hapa tupeane updates ni mkoa gani ama wapi hapa nchini kwetu unaweza wekeza kwenye zao la kudumu likakupa pesa kwa kipindi kirefu.
N.B...
Moja ya uwekezaji ambao serikali inaweza ikajivunia ni kiwanda cha sukari cha TPC kilichopo kata ya Arusha chini wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro kutokana na kiwanda hicho kuonyesha ufanisi mkubwa katika kuchangia shughuli za maendeleo kwa jamii inayoishi kunguka kiwanda hicho.
TPC inajivunia...
Salaam, Shalom,
Itakumbukwa kuwa, uteuzi wa Katibu Mwenezi wa CCM, ulifanyika siku ya utiaji Saini kati ya Serikali na Kampuni ya DP World, hatujasahau Bado!!!
Hivi sasa tunaona ziara na misururu mirefu ya magari yakiambatana maeneo mbalimbali nchini, viongozi wa chama,akiwamo Katibu Mwenezi...
Habari,
Ninauza hizi tractor mbili. Zote ni 2WD. Mtumba kutoka Uholanzi bila jembe/trailer.
MF135-46Horsepower
MF158-63 Horsepower
Zimesajiliwa na kila kitu kinafanya kazi vizuri kabisa(Engine za Mbuni-Diff Kubwa, PTO, drawbar na zina connection za hydraulics).
Hazijatumika Tanzania.
Bei MF135...
Leo mtandaoni nimeona kumepostiwa picha za jengo jipya la kimataifa la kuabudia (International worship centre) huko jimbo la Ikwa Ibom, Nigeria. Ni jengo linalotajwa kugharimu zaidi ya naira bilioni 20. Kwangu mimi huu ni uwendawazimu.
Afrika inahitaji viwanda, vyuo vya ufundi, hospitali na...
Kufokasi ni msingi mojawapo muhimu sana sana kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo. Bila kufokasi kwenye maeneo nitakayoainisha hivi punde haiwezekani kujenga himaya ya utajiri kwa wakati muafaka.
Fokasi ni kuchagua njia/mbinu moja ya kuwekeza kwenye ardhi na majengo mpaka kupata mafanikio ya...
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) wamewasili Visiwani Zanzibar kushiriki kwa mara ya kwanza Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yaliyofunguliwa tarehe 10.01.2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussen Ali Mwinyi eneo la Dimani - Fumba Zanzibar ili kunadi...
Kituo cha Uwekezaji Tanzania,TIC kimezindua kampeni yake maalum ya kuhamasisha uwekezaji nchini. Kampeni hiyo imezinduliwa leo katika mkoa wa Mwanza na Mtendaji Mkuu wa Kituo hicho Bw. Gilead Teri na inalenga kufikia mikoa 15 nchini.
Akizungumza katika mahojiano maalum na kituo cha Clouds Tv...
UWEKEZAJI MAHIRI KATIKA MAENEO YA KIMKAKATI YA TAWA KUIINGIZIA SERIKALI ZAIDI YA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 314
Na Beatus Maganja, Dar es Salaam
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Serikali inatarajia kupata mapato yanayokadiriwa kufikia dola za Kimarekani milioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.