Ukubwa wa Mechi ya Yanga na Mamelodi ni matokeo ya kiwango bora cha Yanga msimu uliopita na uwekezaji wa Mamelodi

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,776
3,346
Nukta yangu naiweka hapa YANGA imekuwa ni moja ya timu tishio barani Afrika kwa sasa hii inatokana na kiwango kikubwa ambacho amekionesha kuanzia Makundi ya Shirikisho mpaka kufikia finali mwaka wa jana 2023,Kiwango hichi kimewashtusha wengi hasa ukiangalia yanga Alimpiga TP Mazembe na Waarabu imechukua attention kubwa katika bara hili.

SIYO hivyo hata pia katika msimu huu ndiyo timu ambayo imefika robo finale hivyo matarajio ya watu ni makubwa kuliko uchambuzi uchwara wa bongo media.
hivyo watu wengi wanachoangalia je kwa ubora aliyokuwa nao yanga pamoja na Uwekezaji wa Mamelodi who will join next race after quarter??.

Upande Mwengine soka la afrika limeshuhudia yale matokeo ya rejearejea ya simba robo finali hivyo hawachukulii maanani mtanange,na believe me Mshindi wa Mechi ya Yanga ndiye Bingwa wa Kombe hili.

Mark my WORD.
 
Back
Top Bottom