Search results

  1. Mkalukungone mwamba

    Yanga imekuja na Gamondi day mchezo wao dhidi ya Dodoma Jiji mei 22

    "Kesho tunasafiri majira ya saa nne asubuhi kuelekea pale mkoani Dodoma kucheza dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo utafanyika tarehe 22 Mei 2024. Mechi hii ya Dodoma tumeifanya mechi ya kushukuru benchi la ufundi. Hivyo itakuwa ni π†π€πŒπŽππƒπˆ πƒπ€π˜ Kwenye π†π€πŒπŽππƒπˆ πƒπ€π˜ itakapofika 𝐝𝐚𝐀𝐒𝐀𝐚 𝐲𝐚 πŸ‘πŸŽ, wana...
  2. Mkalukungone mwamba

    Wanaume hii yetu; Hivi ulishawahi kukataliwa ukweni Mwanamke ulitaka kumuowa kisa mahari

    Wanaume hii yetu; Hivi ulishawahi kukataliwa ukweni Mwanamke ulitaka kumuowa kisa mahari
  3. Mkalukungone mwamba

    Mtazamo wako ni upi atakaye cheza Fainali ya CRDB Bank Federation msimu huu 2023/2024

    Mtazamo wako ni upi atakaye cheza Fainali ya CRDB Bank Federation msimu huu 2023/2024 Leo Azam fc vs Coastal Union Kesho Yanga Vs Ihefu
  4. Mkalukungone mwamba

    Siku za weekend unapenda kufanya nini zaidi?

    Watu wengi siku za weekend huwa wanafanya shughuli tofauti wakiwa home au nje ya home. Vipi mdau wewe unapenda kufanya nini zaidi? Toa maoni yako
  5. Mkalukungone mwamba

    Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025

    Kama wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano mbalimbali kama Ligi kuu ya NBCPL na Klabu Bingwa Afrika,tuambie mambo 3 ungeyafanya ili Simba wafike malengo yao katika msimu husika
  6. Mkalukungone mwamba

    Nani kuondoka na kiatu cha ufungaji bora NBCPL;Aziz KI au Feisal

    Wachezaji hao ndio vinara wa magoli kwenye NBC Premier League ambapo mpaka sasa wamefunga magoli 15 kila mmoja na hadi sasa timu zote zimesaliwa na michezo 3 pekee kutamatika kwa ligi kuu msimu huu Msimu uliopita hadi ligi inatamatika wachezaji wawili wa Yanga na Simba ambapo ni Fistoni Mayele...
  7. Mkalukungone mwamba

    Waziri Nape; Msiwaachie Watoto wenu walelewe na mitandao

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye amewataka Wazazi kutowaacha Watoto wao kutumia zaidi mitandao ambapo si salama inapelekea kuharibu kizazi hiki. Amezungumza hayo wakati akijibu hoja za Wabunge zilizotolewa katika uchangiaji wa Bajeti ya Wizara hiyo...
  8. Mkalukungone mwamba

    Sehemu gani ya Dar es Salaam huwezi kwenda kupanga nyumba ya kuishi?

    Sehemu gani ya Dar huwezi Kwenda kupanga nyumba ya kuishi? Tupia maoni yako tujuane mapema tu.
  9. Mkalukungone mwamba

    Mohammed Issa: Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake

    Mbunge Khalifa Mohammed Issa (ACT) kutoka Jimbo la Mtambwe, Zanzibar amesema Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake. Amebainisha kuwa wanzanzibari hubaguliwa kwa uzanzibari wake na kauli zingine husema Rais Samia anatawala nchi isiyo yake, amekopeshwa kutoka Zanzibari aje kuwa Rais wa Jamhuri...
  10. Mkalukungone mwamba

    Taka zimejazana sana eneo la Boko Magengeni, magari ya kubeba taka hakuna kwani?

    Uchafu umejazana sana eneo la Boko Mgengeni kwa siku kadhaa sasa na hakuna hatua iliyochukuliwa kutoa taka hizo ambazo zinasambaza halufu mbaya zaidi. Mbaya zaidi taka hizo zimewekwa mbele ya maduka ya vyakula na dawa ambapo inaweza kupelekea mlipuko wa magonjwa ya mlipuko kama kipindupinu n.k...
  11. Mkalukungone mwamba

    Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo?

    Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
  12. Mkalukungone mwamba

    Serikali kupunguza foleni Dar

    waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Daniel Sillo, amesema Serikali imepanga kushirikisha halmashauri ya jiji na manispaa zake pamoja na TANROADS Ili kubaini na kutenga maeneo kwa ajili ya ukaguzi wa magari unaofanywa na Jeshi la polisi ili kupunguza msongamano katika jiji la Dar es Salaam...
  13. Mkalukungone mwamba

    Leo kitaeleweka dabi ya Mzizima kati ya Simba sc vs Azam fc nani kutoboa,tusubiri muda ufike

    Leo kitaeleweka dabi ya Mzizima kati ya Simba sc vs Azam fc nani kutoboa,tusubiri muda ufike
  14. Mkalukungone mwamba

    Ikitokea mfungaji bora wamefungana magoli ligi kuu kanuni yake ipo hivi

    Ikitokea mfungaji bora wamefungana magoli ligi kuu kanuni yake ipo hivi
  15. Mkalukungone mwamba

    Tujikumbushe; Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani?

    Tujikumbushe kidogo Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani? na ulikuwa unalipenda au ulipendi
  16. Mkalukungone mwamba

    Jicho langu: Tabora walinyimwa goli halali kama la Aziz Ki

    Jicho langu:Tabora walinyimwa goli halali kama la Aziz Ki Klabu ya Tabora united katika mchezo wa jana walinyimwa goli la halali katika mchezo wao waligi kuu ya NBCPL waliocheza na Simba katika Dimba la Azam Complex Chamazi na Simba kuibuka kwa ushindi wa magoli mawili. Kwa Jicho langu la...
  17. Mkalukungone mwamba

    Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye

    Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye Twende kazi wadau na maoni yenu
  18. Mkalukungone mwamba

    Uchawa umezidi sana kwenye siasa hadi kero hawa wanaojita machawa wa mama mh kazi ipo

    Uchawa umezidi sana kwenye siasa hadi kero hawa wanaojita machawa wa mama mh kazi ipo Miongoni mwa kipindi cha Urais chenye machawa na vikundi vya uchawa ni kama hivi sasa ni balaa sana je hili ni jambo sahihi katika siasa zetu
  19. Mkalukungone mwamba

    Mechi 8 za Simba sc za kufa na kupona ligi kuu NBCPL

    Mechi 8 za Simba sc za kufa na kupona ligi kuu NBCPL
Back
Top Bottom