Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025

Aug 29, 2022
70
134
Kama wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano mbalimbali kama Ligi kuu ya NBCPL na Klabu Bingwa Afrika,tuambie mambo 3 ungeyafanya ili Simba wafike malengo yao katika msimu husika
 
Simba sasa imeimarika na inacheza mpira mkubwa na wa kiwango Cha juu mnoo, tukianza na safu ya ulinzi iko imara ikiongozwa na Yeriko che Malone Baba wa ulinzi huyu,
Kiungo ndo usiseme wananyumbulika kulingana na mpinzani kina NGOMA pamoja na yule Punda haswaa/ Mzamiru.

Safu ya ushambuliaji nayo ukizubaa wanakukanda kina KIBUL DENIS.

Tuna Chama, Saidooo, sar, allooo HAKIKA TUMEIMARIKA KILA IDARA.
 
1.viongozi wote pamoja na muwekezaji wapate mafunzo ya uendeshaji wa club ya mpira wa kisasa, 2. Wachezaji wa viwango kulingana na malengo ya club ,3.Chanzo cha uhakika cha mapato cha uendeshaji wa timu ikiwezekana kiasi hicho kiwe mkononi,(benki) yaani mdhamni asitoe hela anavyota yeye Tena nyuma ya mikamera
 
Kama wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano mbalimbali kama Ligi kuu ya NBCPL na Klabu Bingwa Afrika,tuambie mambo 3 ungeyafanya ili Simba wafike malengo yao katika msimu husika
1.KUBADILI RANGI NA KUWA NYEUSI NA NYEUPE
2.KUBADILI JESI NA KUTOA MATANGAZO YAKIHUNI YASIYO NA TIJA
3.NTAZUIA JEZI KUWEKA JINA LAMMTU SEHEMU YA MAKALIO HIOO HAIWEZEKAN
 
1. Ondoa viongozi wote wa juu waliopo sasa hivi na msemaji wa timu pamoja na chawa wao. Weka kijana aongoze timu kisasa na msemaji ambaye hana "ucomedian" mwenye weledi kama walivyokuwa wakina Cliford Ndimbo na Ezekiel Kamwaga. Ikishindikana kabisa weka GB64 awe msemaji wa timu.
2. Kumpa Mo achague moja kuwa mwekezaji au asepe zake ijulikane moja kuliko sasa hivi nusu yupo nusu hayupo anaingia mitini timu ikifanya vibaya lakini timu ikiingia makundi huyo anarudi kwa mlango wa nyuma kwa kutoa bonasi nono nono
3. Kuvunja makundi yote na kuwarudisha klabuni watu wote waione Simba kama mali yao kuanzia Mzee Kilomoni, Kibadeni, Julio, Rage, Dalali, Kassim Dewji, Said Tuli, Mulamu, Aveva, Nyange Kaburu, Kigwangala na wengineo wengi mpaka mwanachama wa mwisho kabisa yule aliyeko Mpitimbi au Mtego wa Noti..
 
Simba sasa imeimarika na inacheza mpira mkubwa na wa kiwango Cha juu mnoo, tukianza na safu ya ulinzi iko imara ikiongozwa na Yeriko che Malone Baba wa ulinzi huyu,
Kiungo ndo usiseme wananyumbulika kulingana na mpinzani kina NGOMA pamoja na yule Punda haswaa/ Mzamiru.

Safu ya ushambuliaji nayo ukizubaa wanakukanda kina KIBUL DENIS.

Tuna Chama, Saidooo, sar, allooo HAKIKA TUMEIMARIKA KILA IDARA.
Hopeless guy....wewe kweli ni simba OG aka mbumbumbu....manake upo nje kabisa ya mada
 
Back
Top Bottom