Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye

Aug 29, 2022
50
80
Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye
Twende kazi wadau na maoni yenu
 
Mpaka wazazi wanamkataa jua kuna mahali umeshakosea.
Mara chache sana hutokea wazazi kukataa mtu bila sababu ya msingi.
Tena bora mama pekee akatae ila ukishaona baba amekataa ujue kuna kitu kizito ameona utaenda kupigwa
 
Asiyesikia la mkuu uvunjika guu. Wazazi wanaona mbali wewe umevutiwa na miuno umefumbia macho mengine. Piga chini huyo demu wazazi ni Miungu ya duniani waheshimu
 
Mpaka wazazi wanamkataa jua kuna mahali umeshakosea.
Mara chache sana hutokea wazazi kukataa mtu bila sababu ya msingi.
Tena bora mama pekee akatae ila ukishaona baba amekataa ujue kuna kitu kizito ameona utaenda kupigwa
Sahihi kabisa
 
siyo lazima, mara nyingi inakuwa hawapendi kwa vile labda hukuwashirikisha tangu awali, au kabila tafauti, dini tafauti, kipato tafauti - vingi ni visababu visivyokuwa na mashiko ila ni khuluka ya binadamu tu.
 
mapenzi yana washika dau, ndoa ni tasisi kama ilivyo tasisi ya uraisi, namba moja kabisa ni wazazi wa pande zote mbili
tujifunze kutoka watu wa zamani
Kama kuna mtu anayeongezeka hapo basi hayo siyo mapenzi tena ni biashara, ndio maana NDOA nyingi hazidumu kutokana na msukumo WA watu wa nje. NDOA siyo biashara
 
Back
Top Bottom