Mechi 8 za Simba sc za kufa na kupona ligi kuu NBCPL

Aug 29, 2022
52
85
Mechi 8 za Simba sc za kufa na kupona ligi kuu NBCPL
 

Attachments

  • Snapinsta.app_438164370_987116263414247_7402876661259130743_n_1080.jpg
    Snapinsta.app_438164370_987116263414247_7402876661259130743_n_1080.jpg
    235.8 KB · Views: 2
Hapo kuna pointi zisizopungua 5 mnyama ataziangusha. Simba vs Azam, Kagera Sugar vs Simba, Jkt vs Simba! Dah!! Apambanie hata nafasi ya 2 basi!!

Maana Azam hana nia nzuri msimu huu.
 
Kufa na kupona kubeba ubingwa au kusecure 2nd spot?
 
Back
Top Bottom