Search results

  1. Investaa

    Msaada kuhusu "Import Fees on Amazon"

    Habari wana JF. Kuna bidhaa nataka ninunue AMAZON ila bado sijaelewa kwa uzuri kuhusu import fees. Kama kuna mdau alishawai kuagiza bidhaa kutoka Amazoni naomba ufafanuzi zaidi.
  2. Investaa

    Jinsi ya kufaulu kwenye biashara ya matunda!

    Habari wana business! Leo nataka nitoa mwongozo kamili wa kuanzisha biashara ya matunda , ni biashara ambayo inadharaulika lakini ukikaa kitaalamu ni biashara nzuri yenye faida kubwa ingawa wengi hatuna mpango nayo. Kuanzisha biashara ya matunda inaweza kuwa fursa nzuri ya kibiashara kama...
  3. Investaa

    PS5 Business Idea!!!

    Habari wana JF. Kuna idea imekuja gafla hapa nikasema ni share na wana kama niaje unaweza niambia kama its possible or day dreamer. Nowadays nimeona kwa DAR watu wengi wanapenda kucheza PS ila si kwa faida bali waste of time. Nikaona what if PS kitu ambacho wengi wamekizoea na wanashinda nacho...
  4. Investaa

    Winga wa Kariakoo pitia hapa kuna mchongo pesa!

    Habari mawinga wa kkoo kama title inavyojieleza hapo juu. Nina wazo nikajisemea sio mbaya nije kula na mawinga wa koo tuone tunapataje pesa kwa machimbo ya kkoo ambayo yamekuwa yanakonga vichwa kwa wafanyabiashara tulio wengi. Biashara ili upate faida kubwa machimbo ni kitu ambacho huwezi...
  5. Investaa

    Uliza swali lolote kwenye masomo (PCM/PCB/PMC)

    Kama title inavyosema hapo juu. Kama una swali lolote la PHYSICS, CHEMISTRY, MATHS AND CUMPUTER STUDIES. Uliza hapa...
  6. Investaa

    App and Laravel Developer anahitajika haraka. Awe Dar

    Habari wataalam, husika na kichwa cha habari hapo juu. Uwe unajua android sawa sawa bila kusahau laravel framework. NJOO PM, UWE DAR MAANA NATAKA NIONANE NA WEWE LEO LEO.
  7. Investaa

    Team Buying(Group Buying)

    Habari wazee wa business. Kwenye kuzurura mtandaoni nimekutana na business idea ambayo inaweza kutumia ata hapa bongo na kufanya vizuri, nimegundua hili baada ya kwenda kkoo kununua vitenge vya jumla nakuona ambavyo sipat faida kubwa kama ningenunua kama team/group. Kuna winga uwaga namtumia...
  8. Investaa

    Ajira Ajira Ajira

    Habari! Nahitaji vijana 10 hadi 20 ambao wanajihusisha na kazi ndani ya kariakoo, kwa lugha nyepesi bila kumumunya maneno nahitaji winga wa kariakoo nifanye nao kazi ya kufanya utafiti wa bidhaa husikia ambazo mteja anahitaji kutoka kariakoo kwa bei ya jumla. Kila chimbo la bidhaa ambalo mteja...
  9. Investaa

    Natafuta mtaalam wa kilimo na mifugo anayepatikana Dar

    Habari wataalamu wa kilimo na mifugo. Niende kwenye mada chap kwa haraka bila kupoteza muda, kama title linavyojieleza hapo juu; ni kweli natafuta hao wataalamu nifanye nao kazi ya kusaidia watanzania kwenye kilimo na ufugaji kama biashara kwa kutoa huduma ya ushauri na tiba kutokana na...
  10. Investaa

    Jifunze kuhusu "Stock Market"

    Habari wana JF! Napokea message PM kuhusu platform ya ku invest stock market kwa watanzania, platform nyingi za stock market especially US STOCKS ni kama hakuna zaidi ya TRADING212 ambayo mimi nilijiunga 2020 nilitaka kununua US STOCKS kama AAL, PK, OIL STOCKS. Ambazo zinafanya vizuri sana...
  11. Investaa

    VB Programmer Needed

    Habari wazee wa code. Nahitaji programmer wa VB kuna kazi nataka nifanye nae awe dar. Namba zangu 0652247221.
  12. Investaa

    Marketplace for education purposes (Notes & Solved Past Papers)

    Habari walimu! Nimeona nitengeneze ajira kwa walimu wa secondary na chuo kikuu kwa kutengeneza APP ambayo mwalimu anaweza kuuza ebook (electronic book) kwa kutumia simu au laptop yake akiwa sehemu yoyote ndani ya Tanzania. Nadhani hii itasaidia kupunguza unemployment rate kwenye upande wa...
  13. Investaa

    Natafuta walimu tufanye project!

    Habari wasomi. Kama title inavyojieleza hapo juu, nahitaji walimu wa masomo yote ya O-LEVEL & A-LEVEL pamoja na CPA kama wapo. Kwa walimu wa secondary kazi yao kubwa watakuwa wana solve past paper za necta na mock pamoja na kuweka notes. Kwa baadae nafikiri tunaweza kuanza ku solve pia...
  14. Investaa

    Nanunua mafuta ya kula yaliyotumika

    Habari wafanyabiashara! Rejea kwenye kichwa thread. Kama wewe ni mfanyabiashara wa vyakula kama chips, nyama za kukaanga kama kuku na kitomoto utakuwa umeishanielewa kwa uzuri kuhusu mafuta yalitumika (used cooking oil). Naanza kununua kuanzia lita 1 kwa sh 700, kama unayo unaweza nichek...
  15. Investaa

    Kama wewe ni mwandishi wa vitabu pitia hapa!

    Habari Authors. Bado naamini kwenye eBook business ili mwandishi aweze kufanikiwa kwenye taaluma yake ya uandishi kutokana na kupunguza gharama ya uchapishaji na kutapeliwa na PUBLISHERS. Nimepata wazo la kukutana na waandishi wa dar kwanza iliniwaze kuwaelezea how ebook business works and how...
  16. Investaa

    Nahitaji walimu wa 3 wa PCM

    Habari wasomi! Kama title linavyojieleza hapo juu, nahitaji walimu watatu wa PCM ila wale wanawake ambao wanaishi DAR. Kuna project nataka nianzishe so nahitaji TEAM PCM. Hakikisha kuna somo moja wapo uko vizuri sana ili kila mwalimu adili na somo lake. Unaweza comment below uko vizuri kwenye...
  17. Investaa

    Sababu ya kufeli kwa waandishi wa Tanzania

    Habari wa JF! Leo nitaongelea muendelezo wa biashara ya uandishi wa vitabu, makala nyingi nilielezea biashara ya ebook ambayo mwandishi hawezi kupata hasara kama wanayopata sasa kwa wale wanaouza whatsapp na facebook. Leo kwenye kupitapita youtube nimeona tangazo la nguli wa ushauri wa...
  18. Investaa

    Mwandishi wa Vitabu pitia hapa

    Habari wana JF, Ni kitambo kidogo sijaonekana humu JF, leo nimeona nitoe ushauri kwa waandishi wa vitabu; nimepokea simu nyingi kutoka kwa waandishi wakitaka kujua namna ya kuuza vitabu vyao online(e-book) na namna ya kupata jukwaa nzuri la kuuza vitabu vyao bila kutapeliwa na wajuaji online...
  19. Investaa

    Mwalimu jiajili kwa kutumia TEHAMA...

    Habari walimu!! Nimetafakari kwa kima kuhusu swala la ajira kwa upande wa sekta ya elimu, nimeona ni changamoto sana serikali kutimiza swala la ajira kwa wahitimu wa sekta ya elimu kutokana na wingi wa walimu waliopo na wanaoendelea kumaliza kila mwaka. Kutokana na utafiti niliyofanya kuhusu...
  20. Investaa

    Laini ya wakala ya tigopesa

    NANUNUA LAINI YA WAKALA YA TIGOPESA, KAMA UNAYO NICHEK KWA 0629251988. NIPO DAR
Back
Top Bottom