Msaada kuhusu "Import Fees on Amazon"

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
795
657
Habari wana JF. Kuna bidhaa nataka ninunue AMAZON ila bado sijaelewa kwa uzuri kuhusu import fees. Kama kuna mdau alishawai kuagiza bidhaa kutoka Amazoni naomba ufafanuzi zaidi.

1714126918321.png
 
AMAZON ila bado sijaelewa kwa uzuri kuhusu import fees.
-
- Malipo ya Utakayokutana nayo hapa nchini.
  1. TRA (TAX/ VAT)
  2. TBS,
  3. Swiss port
  4. Handling charges
  5. Clearing Agency fee.
Gharama Zitajulikana na utalipia baada ya mzigo kufika nchini, Kilichoandikwa amazon, "Import Fees on Amazon", ni kama dokezo ila gharama halisi ni baada ya mzigo kufikishwa nchini.

Ni mara kadha nimenunua simu amazon:
1714128031265.png


Kama ni mara ya kwanza kuagiza soma hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
 
Back
Top Bottom