Msaada: Nataka kuweka kitabu AMAZON KDP

Ndeluningo

Member
Sep 17, 2023
6
8
Habari ndugu zangu, nataka kuweka kitabu changu katika mtandao wa AMAZON, ila kuna sehemu moja ya kuweka taarifa za kibenki, sioni option ya Tanzania ili niweze kuendelea.

Kuna iprion ya Mrekani na nchi nyingine za ulaya.

Msaada tafadhali
 
Nenda YouTube kula tutorial za kutosha juu ya uwekaji foreign account kwenye Amazon KDP. Utatakiwa kuwa na foreign bank accout. Jifunze jinsi ya kutengeneza Payoneer account au Grey account.
Hizo account sio rahisi kuwa nazo, unahitani tutorial hasa za Wanaijeria.
Nimepata post yake very late, sijui kama nimesaidia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom