amazon

  1. Investaa

    Msaada kuhusu "Import Fees on Amazon"

    Habari wana JF. Kuna bidhaa nataka ninunue AMAZON ila bado sijaelewa kwa uzuri kuhusu import fees. Kama kuna mdau alishawai kuagiza bidhaa kutoka Amazoni naomba ufafanuzi zaidi.
  2. Mr_kim_joh

    Kuna huu mzigo

  3. Mshana Jr

    Mambo usiyoyajua kuhusu msitu wa Amazon

    (....Usipite bila Kusoma......) 1: Msitu wa Amazon ndio msitu mkubwa zaidi duniani unaopatikana huko America kusini. 2: kama ulifikiri msitu huu unapatikana Brazil pekee jibu ni hapana msitu huu umegawanyika katika nchi tisa nchi hizo ni Blazil 60% peru 13% colombia 10% na mataifa mengine kama...
  4. 2 of Amerikaz most wanted

    22-YEAR-OLD PENHA GOES, A Tribeswoman In The Amazon Rainforest In Brazil, 1997

    The photo of Penha Goes, a 22-year-old woman from the Yanomami tribe, was taken by photographer Richard Stuckert in 1997. Stuckert revisited Penha Goes in 2015 and found her still living in the same village. She was 39 years old and had the same purity in her eyes as 17 years ago...
  5. Jumanne Mwita

    Uzoefu wa kuagiza bidhaa Amazon

    Habarini! Naomba kama kuna mtu anauzoefu wa kuagiza vitu online kupitia site ya Amazon anipe ikimpendeza hata na CARGO wa Tanzania wa uhakika. Karibuni jamani mnipe moja mbili na mimi
  6. N

    Msaada: Nataka kuweka kitabu AMAZON KDP

    Habari ndugu zangu, nataka kuweka kitabu changu katika mtandao wa AMAZON, ila kuna sehemu moja ya kuweka taarifa za kibenki, sioni option ya Tanzania ili niweze kuendelea. Kuna iprion ya Mrekani na nchi nyingine za ulaya. Msaada tafadhali
  7. Mediaty

    Hivi ni kweli Amazon KDP inalipa, hasa hapa Bongo?

    Guys, mimi ni mwandishi wa Novel (riwaya), nataka kuwekeza kwenye Amazon Kdp. Lakini naona ni kama changamoto kwangu kama beginner. Maana hapa ntatakiwa kulipa some amount for ads, pia kupata reviews (rates) ni ngumu. Na wateja wengi wanependa sana kucheki reviews kabla kununua kitabu...
  8. T

    Hawa watoto wameweza kuishi kwenye Msitu wa Amazon kwa siku 40 bila chakula wala malazi

    Wanasema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Hawa watoto wa wameweza kunusurika na mazingira hatarishi ya msitu mkubwa wa Amazon kwa siku 40 bila chakula wala malazi yoyote hadi walipopatikana leo kutoka kwenye kikosi cha waokoaji. Watoto hao 4 walipotea mwanzoni mwa mwezi wa 5 baada ya ndege...
  9. Da'Vinci

    Unawafahamu wanawake wa Amazon?

    Umewahi kuitazama muvi ya Wonder Woman iliyochezwa na mwadada Gal Gadot? Ni muvi inayohusu wanawake Fulani wanaofahamika kama Amazon Women. Kwa mujibu hadithi za uhiriki (Greek mythology) zinasema kwamba Amazon Women walikua ni jamii ya wanawake ambao walikua hatari sana katika medani za...
  10. Kang

    Amazon kuzindua mshindani wa Starlink mwaka 2024

    Project Kuiper ya Amazon ambayo itatoa huduma ya mtandao kwa kupitia satelite inatarajiwa kuanza kazi 2024. Huduma hiyo itakuwa na spidi zifuatazo. Standard 400Mbps Ultra-compact (Dish ndogo) 100 Mbps Pro hadi 1Gbps. Bei zitatangazwa huku mbele ila zinategemewa kuwa shindani na Starlink. Jeff...
  11. BARD AI

    AMAZON kupunguza wafanyakazi zaidi ya 18,000

    Kampuni ya Amazon.com Inc (AMZN.O) inatarajia kupunguza zaidia ya wafanyakazi 18,000 kama sehemu ya upunguzaji wa wafanyikazi kwa mujibu wa Mtendaji Mkuu Andy Jassy Maamuzi hayo yanatarajiwa kutangazwa kwa wafanyakazi Januari 18, 2023 ambapo yanatajwa kuwa yataathiri kwa kiasi kikubwa biashara...
  12. BARD AI

    Apple yatajwa kuwa na thamani zaidi ya Google, Meta na Amazon kwa pamoja

    Kampuni ya Apple, imeweka rekodi ya kuwa na thamani kubwa kuliko kampuni za Alphabet (Google), Meta na Amazon - ukizichanganya kwa pamoja. Yaani ukichukua Market Cap ya Amazon, Meta na Alphabet kwa pamoja; bado haziifikii kampuni ya Apple. Apple imefikisha thamani ya dola Trilioni 2.307 siku...
  13. Neter

    Benin Unveils Giant 30-Meter-High Bronze Statue of An Agoji Warrior Woman

    Benin Unveils Giant 30-Meter-High Bronze Statue of An Agoji Warrior Woman Benin’s President Patrice Talon has unveiled three monuments in the capital Cotonou to remind citizens to celebrate their historical heroes. The monuments include the garden of Mathieu, the statue of King Bio Guera and...
  14. Wababa13

    Naomba kufahamu jinsi ya kuagiza bidhaa Amazon

    Msaada ndugu zangu naomba mnipe procedure za kuagiza bidhaa kwa kutumia Amazon. Wana free delivery au?
  15. Escrowseal1

    Msaada: Nimeshindwa ku rent ama kununua hii Royal tour documentary amazon

    Nimejaribu ku rent ama kununua nikashindwa kwa sababu ya billing address nje na US . Payment inaonyesha in $ tu. Please mwenye msaada ili tuangalie wote ubunifu wa mkuu wa machifu wetu naomba msaada.
  16. S

    Nimeshindwa kununua au kuazima documentary ya Royal Tour Amazon kwa sababu credit card yangu sio ya USA

    Baada ya kuiona trailer ya documentary ya Royal Tour na kufahamishwa kuwa ipo Amazon, niliamua na mie ngoja nilipie kuiangalia. Ajabu ni kwamba nilipotaka kulipia nilipata ujumbe kwamba kwa kuwa credit card yangu sio ya USA basi siruhusiwi kuilipia. Hivi huu ubaguzi hadi kwenye credit card?
  17. MK254

    Amazon nao hawajaachwa nyuma, wanaingia Kenya kwa kishindo, wanawekeza "local zone" ya pili Afrika Nairobi

    The entry of Amazon Web Services (AWS) into Kenya’s cloud computing ecosystem is set to bolster the country’s preparedness for the take-off of the Fourth Industrial Revolution (4IR) as its rapid technological transformation keeps attracting Big Tech. Last week AWS set up a Local Zone in Nairobi...
  18. kali linux

    Habari Njema kwa wadau wa AI hasa hasa NLP: Amazon wazindua dataset ya lugha 51 free kwa developers

    Hello bosses.... Jana Tarehe 20 April 2022 ilikua ni siku ambayo itaingia kwenye record ya maendeleo kwenye field ya Artificial Intelligence hasa hasa upande wa NLP & NLU (Natural language processing & Natural Language Understanding). Siku hio Amazon walitoa wazi dataset yenye lugha 51 zikiwa...
  19. Sigara Kali

    Tundu Lissu: Filamu ya Royal Tour ni biashara kubwa Amazon. Je, nani mwenye hakimiliki? Mgawo wetu ni kiasi gani?

    Ameandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais...
  20. kadyuwegeyeson

    Je, hii simu niliyoinunua Amazon inaweza kusoma line za huku?

    Jamani habari ndugu? Nimenunua simu Amazon nikakimbilia bei nimekuja kungudua shinda wakati ikiwa imekwisha tumwa kuwa hii simu niyakampuni ya total wireless je, kwa hapa bongo inaweza kusoma laini za huku?
Back
Top Bottom