amazon

  1. Dr. Zaganza

    Nahitaji mzoefu wa kuuza vitabu Amazon au site yoyote

    Habari. Nitalipia tuition. Piga au chat 0713-039875
  2. T

    Naomba kujuzwa kuhusu Amazon web services certification kwa Tanzania

    Habari wadau, naamini mko poa. Ni muda sasa nimekuwa nikifuatilia kuhusu cloud computing na nikafikia hatua ya kutaka kujua kiundani, katika kufuatilia kwangu nikagundua kuwa naweza kujifunza online na kupata cheti. Ningeomba kujua kama kuna mtu ambaye alishafanya mitihani ya amazoni anipe tu...
  3. K

    Mfano wa Kodi za Mitandao Amazon

    Mimi ni diaspora hapa US state ya Texas na kwa hii miaka miwili nina nunua vitu vingi mitandaoni kwa kutumia Amazon. Kwasababu serikali inatafuta njia ya kutoza kodi za mitandao US ni mfano mzuri. Hapa US kila jimbo lina kodi tofauti hivyo mimi hapa Texas nikinunua majani ya chai kodi yangu ni...
  4. beth

    #COVID19 Wafanyakazi wa Amazon kurejea ofisini Januari 2022

    Amazon imesema inalenga kuchelewesha kufungua Ofisi zake hadi Januari 03, 2022. Awali, walitarajiwa kurejea Ofisini Septemba 07 lakini hatua hiyo itasogezwa mbele huku masuala yote yanayohusu COVID-19 yakiendelea kuangaliwa kwa karibu. Uamuzi huo umekuja wakati kuna ongezeko la wanaolazwa...
  5. beth

    Amazon yapata CEO mpya baada ya Jeff Bezos kuachia nafasi rasmi

    Jeff Bezos (57) ameachia rasmi nafasi ya Mtendaji Mkuu wa Kampuni maarufu ya Amazon iliyomfanya kuwa Bilionea, na nafasi hiyo itachukuliwa na Andy Jassy. Bezos ataendelea kuwepo katika Kampuni hiyo Mwenyekiti Mtendaji na ataelekeza muda wake mwingi zaidi kwenye Kampuni yake ya masuala ya anga...
  6. MK254

    Kenya Partners With Amazon to offer training to Kenyan youth in Cloud Computing

    The Ministry of Information Communication and Technology has partnered with E-commerce giant Amazon to offer free training to Kenyan youth in Cloud Computing. The programme dubbed ‘Amazon Web Services re/Start’ was rolled out last year for countries in Africa. In collaboration with the Kenyan...
  7. BLACK_WIDOW

    Naomba Ufafanuzi kuhusu Kuagiza Bidhaa Mtandaoni

    Asalaam Aleykum wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale, shida yangu ni kuhusu hizi online market Alibaba na Amazon, Naomba kwa wanaofahamu wanipe ABCD's kuhusu uaminifu wao, na kama kuna scammers nawatokaje. Nina hitaji kununua gemstone, niliingia Alibaba nimeona kuna masonara wa Pakistan...
  8. Abu Haarith

    Msaada jinsi ya ku unlock simu aina ya amazon fire

    Habari za majukumu wandugu, naombeni msaada wa program itakayoweza kunisaidia kuondoa simlock katika simu aina ya amazon au kama kuna mtu anaweza kufanya kazi hii aje PM Natanguliza shukrani.
  9. Dr. Zaganza

    Natafuta Mwalimu wa kunifundisha kuuza vitabu Amazon and the like

    Habari zenu. Nina vitabu kadhaa,nimeuza kwa online nchini,ninapenda Sasa niuze Amazon na sites zingine. Hivyo naomba mwenye uzoefu, anipe darasa full kwa malipo Simu: 0713039875
  10. H

    Amazon Firestick lite, tv box original kwa bei nafuu

    Umechoshwa na Tv box za kichina ambazo zipo slow, ngumu kutumia na hazina features nyingi? Karibu kwenye ulimwengu mpya wa Android kwenye Tv yako kwa kutumia Fire stick. Fire stick ni tv Box ambayo inaweza kubadili tv yoyote ambayo sio smart kuwa smart, pia wale wenye smart tv wanaweza kuitumia...
  11. kayanda01

    Manunuzi Amazon & Ebay. Seller hatumi mzigo kuja Tanzania

    Nahitaji kufanya manunuzi Amazon, lakini nashindwa kufanya malipo kwasababu system inanijibu kwamba muuzaji hawezi kutuma mzigo kuja Tanzania. Wazoefu na hili huwa mnafanyaje? Sellers Amazon au eBay hawaship to TZ. Any alternative? Ni kampuni gani ya Parcel Forwarding from UK to Tz ambayo...
  12. beth

    Mkurugenzi wa Amazon, Jeff Bezos anakuwa mtu wa kwanza duniani kuwa na utajiri wa Dola Bilioni 200

    Kwa mujibu wa jarida ya Forbes Mkurugenzi wa kampuni ya Amazon, Jeff Bezos anakuwa mtu kwa kwanza duniani kuwa na utajiri wa Dola Bilioni 200 Imeelezwa kuwa, hivi sasa Bezos (56) ana utajiri wa Dola za Marekani Bilioni 204.6, huku Bill Gates anayeshika nafasi ya pili akiwa na utajiri wa Dola...
  13. F

    Mzungu ananiomba nimtumie Amazon Gift Card. Nielekezeni tafadhali

    Wadau nimekutana na mzungu kwa njia ya mtandao. Anaishi Marekani. Sasa ananiomba nimtumie Amazon Gift card. Nime Google hii kadi sielewi vizuri. Pia naona kama ya kununua kwa dola. Je, huyu mzungu anamaanisha nini kuomba kadi ya gharama? Msaada na ushauri wako muhimu.
  14. lwifunyomangula

    Mpesa MasterCard Tanzania: Kama unapenda uhakika wa malipo yako mtandaoni USIITUMIE

    Habari wana-bodi, kwa Majina naitwa Lwifunyo Mangula, ni mmoja wa watu wanaopenda technolojia ikiwamo IT ninaifurahia na nina kautaalamu kidogo kuhusu online business maana ninapenda hivyo vitu. So hapa nipo kutoa ushauri kwa wadau wengine kuhusu MPESA MASTERCARD TANZANIA kulingana na UZOEFU...
  15. Miss Zomboko

    Wakurugenzi Wakuu wa Makampuni makubwa ya Apple, Facebook, Amazon na Google kuhojiwa na Bunge la Marekani leo

    Amazon CEO Jeff Bezos, Apple CEO Tim Cook, Facebook CEO Mark Zuckerberg and Sundar Pichai, CEO of Google parent Alphabet, are set to testify before the House Antitrust Subcommittee on Wednesday. The testimony will give an indication of how the companies are quietly fighting antitrust arguments...
  16. babu M

    Mmiliki wa Kampuni ya Amazon ameonyesha private message aliyotumiwa baada ya kuunga mkono "Black Lives Matter"

    Jeff Bezos ameweka hii message Instagram aliyotumiwa kama private. === Amazon founder and CEO Jeff Bezos shared a profanity-laced email he received from an angry customer to Instagram on Sunday, saying that the man was the "kind of customer I'm happy to lose." The email, sent to Bezos from a...
  17. JZHOELO

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread zilianzishwa na zimeelezea mengi sana kuhusiana na manunuzi haya ya mtandaoni, ila tulipata ufumbuzi mdogo...
  18. YEHODAYA

    Yeriko Nyerere tusaidie, kitabu chako ukiuza kupitia Amazon unalipwa kwa njia ipi?

    Watanzania wengi wanataka kuuza vitu masoko na maduka ya mitandaoni kama Amazon, Ebay n.k Yericko Nyerere, huwa unalipwaje ukiuza kitabu chako cha ujasusi wa kiuchumi kwenye duka la Mtandaoni la Amazon; yaani pesa zako huwa unazipataje, kwa Paypal au njia ipi mteja aki-click na kununua? Sababu...
  19. Samedi Amba

    Kati ya AliBaba na Amazon, nani mkali Bongo?

    Juzi nilikuwa mtandaoni, nikastumble upon uzi unaolinganisha Alibaba na Amazon. Nikaona jinsi ambavyo wanaendana bega kwa bega kwa vitu vingi tu. Tukizingatia pia kuwa watanzania wengi wanaelekea Mashariki china dubai nk kununua vitu. Lakini swali linabaki, kati ya hawa magwiji wawili, nani...
  20. DUMEGUY

    Yoyote aliefanikiwa kujiunga na Mturk ya Amazon

    Habari zenu, naomba kujua kama kuna mtu aliefanikiwa kujiunga na Amazon Mechanical Turk, na je alijiungaje na mrejesho upoje wa malipo? Kama hujui Mturk ni online working platform.
Back
Top Bottom