Naomba kufahamu jinsi ya kuagiza bidhaa Amazon

Amazon hakuna Free delivery, kama ni vitu vidogo vidogo most of time shipping itakua kubwa kuliko bei ya Bidhaa. Ila kama ni vitu vya gharama mfano simu ama laptop ya milioni kupanda unaweza watumia.
 
Nilitaka kuagiza simu kumbe hawana free delivery
Nikahic ni kama KiKuu, lakini unawaonaje KiKuu wana-ubora kwenye kazi zao?
 
Kikuu sitowasahau, anyway na ujinga na tamaa nafikiri zilichangia niliuziwa SD card Samsung 1TB for 26,000/= , nilitumia kwa siku moja kwisha kazi, na kibaya zaidi nilipo tembelea official website ya Samsung kwa wakati huo walikuwa hawajaanza hata production ya memory card za 1TB, ni SanDisk pekee ndio kampuni la kwanza kuwa na memory card za 1TB mpaka sasa ila ni kwa price si chini ya 350,000/=, ila tunajifunza kutokana na makosa never buy electronics in kikuu labda nguo mabegi viatu nk. Lakini kwa habari ya simu sidhani kama kuna simu haipo tz, hasa kwa wale authorized dealers wa makampuni makubwa, lakini sio kikuu kule kuna simu mpaka Ram 12 storage 512 kwa hata 200,000/= . Amazon wanaaminika sema gharama za usafirishaji ndio kubwa ila zinaendana na uhalisia maana ukilipia shipping mzigo unawahi sana kufika kuliko wa free delivery. But all in all kuna utapeli mkubwa sana kwenye bidhaa za electronics za kikuu hasa kwa wale wapenda vitonga kwenye vitu expensive, na hii ndio inafanya bidhaa nyingi kutoka China zionekane vimeo, Lakini pia hizi brand kubwa za electronics devices eg Samsung, SanDisk, Sony, Apple zinakuwa forged kwa kiasi kikubwa kwa hiyo usitishwe na Samsung au iPhone ya kikuu kumbe wanatengeneza wahuni fulani kwenye vichochoro vya Guangzhou kitu kina forgiwa utazani chenyewe ila uhalisia utauona kwenye bei usishangae ukakuta macho matatu ya 500,000 na ni brand new ndio utajua hujui,na kwa sababu ya njaa na umasikini ukachukua fursa lazima ukaomboleze , anyway electronic devices original are not such cheap iwe ni simu, memory card,flash, TV, tena ikiwa ni ya brand kubwa bei inazidi kuwa juu, so cheap is expensive in other way
 
Nimekuelewa sana, ina maana Amazon mzigo ukiwa free shipping unafika ila kwa kuchelewa?

Amazon sijawahi ona free shipping labda site zingine mfano eBay, Alibaba ambapo katika bidhaa hiyo hiyo moja ukilipia shipping fee inaweza fika ndani ya siku 14 ila uki request free shipping inaweza enda hata zaidi ya siku 30,
 
Nenda alibaba kajimwage huko
Sema Alibaba product nyingi zinauzwa kwa bei ya jumla na sharti unakuta ununue zaidi ya kimoja mara nyingi ni kuanzia vitano, ingawa products nyingine minimum order unakuta ni piece 100 wakati wewe unahitaji kimoja tu, ingawa vipo vinavyouzwa rejareja ila sio vingi kivile
 
Amazon sijawahi ona free shipping labda site zingine mfano eBay, Alibaba ambapo katika bidhaa hiyo hiyo moja ukilipia shipping fee inaweza fika ndani ya siku 14 ila uki request free shipping inaweza enda hata zaidi ya siku 30,
Wow asante kwa ufafanuzi, kumbe Amazon hawana ya ku-request free shipping
 
Msaada ndugu zangu naomba mnipe procedure za kuagiza bidhaa kwa kutumia Amazon.
Wana free delivery au
Amazon sijawahi ona free shipping labda site zingine mfano eBay, Alibaba ambapo katika bidhaa hiyo hiyo moja ukilipia shipping fee inaweza fika ndani ya siku 14 ila uki request free shipping inaweza enda hata zaidi ya siku 30,
ukiregister amazon prime wanakuwa na promotion ya free shipping
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom