Nanunua mafuta ya kula yaliyotumika

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
795
658
Habari wafanyabiashara! Rejea kwenye kichwa thread.

Kama wewe ni mfanyabiashara wa vyakula kama chips, nyama za kukaanga kama kuku na kitomoto utakuwa umeishanielewa kwa uzuri kuhusu mafuta yalitumika (used cooking oil).

Naanza kununua kuanzia lita 1 kwa sh 700, kama unayo unaweza nichek whatsapp kwa namba hii 0652247221 tufanye biashara chaapu. Kama huwa unamwaga mafuta baada ya kuyatumia mimi nayahitaji tena sana.

Usisite kunichek tufanye biashara.
 
Back
Top Bottom