Ningependa kujua kuhusu utaratibu wa NHIF kusajili watoto wa shule za serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi. Awali, NHIF ilikuwa inasajili watoto ambao hata siyo wanafunzi kwa bei ile ya Tsh 50,400 bila kujali anasoma au hasomi baada ya shirika lenyewe kujipa hasara kwa kuhujumu mfuko ndio wakaja...
Habari wanajamvi,
Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
Habari wanajamvi,
Nimenunua kifaa cha kuhifadhi data aina ya 1080 PRO NGFF M.2 SSD 4TB
Kwa ajili ya kuongeza uwezo wa laptop yangu. Hata hivyo, baada ya kukifunga kwenye laptop yangu, haisomi ingawa inaonyesha kuwaka kama kawaida.
SSD iliyokuwepo awali ni ya 128GB M.2 NGFF ambayo niliinunulia...
Ukweli mchungu gharama za maisha ni kubwa kwa sasa na kibaya zaidi ni hizi gharama nyeti za afya ni ghali sana kwa sasa nimejikuta nawaza hivi ningekuwa na Bima si ningeokoa hela ila ndio hivyo sina imenibidi nizame mfukoni kugharamia matubabu.
Roho inaniuma sana kwa hizi gharama ikiwa huna...
Kabla sijajiingiza kichwa kichwa naomba kupata mrejesho ambao mlitangulia kwenye huu mgao hii kitu ni ya kweli?
Sizani kama kuna watu wanauelewa na hii kitu nimeona wengi wakipost na kujimwambafai kwamba wamesaidiwa na hili shirika.
Mimi utafiti wangu wa mchongo ikabidi nifanye kujiridhisha...
Mtaa ninamoishi una makazi mengi sana, tena watu hujenga kama vile wamavamia, ila ukweli ni kwamba watu wamejenga, siyo siri.
Nikifikiria siku ninunua hapa, miji haikuwepo kabisa. Ilikuwa ni wazi, unaweza sema kwamba uwezekano wa watu kuja eneo lile haukuwepo, au isingechukua muda mfupi wawe...
Maranyingi kama mtu unakaa mahali tulivu na kufikiria.
Unajitathmini mwenyewe na kulinganisha maisha yako sasa na miaka 1/2 au zaidi iliyopita.
Unagundua kuna vizuizi vingi mno umeshindana navyo au umeviondoa kwenye maisha yako na unajipa pongezi.
Motisha ya kuendelea kupambana na maisha...
Katika makuzi yangu nilipitia safari ambayo sikupendezwa nayo na leo ningeomba ni share pamoja na wengine wajue siyo vizuri pia kama nao wako hivyo.
Kipekee maisha yangu ya ukuaji nilikuwa bila mapenzi ya baba ilikuwa changamoto kubwa kwangu. Ingawa baba alikuwepo kimwili, hakuwa karibu nasi...
Tafuta Marafiki wa Ukweli - Nje ya Eneo unapoishi.
Habari JamiiForums
Ninafurahi kutafuta marafiki wa ukweli kupitia mtandao huu wa Jamii Forums. Mimi naitwa Jumanne, ninaishi Katoro lakini pia nawakaribisha wale ambao wako nje ya Katoro.
Nina hamu ya kujenga urafiki na watu wapya...
Katika maisha yangu nachotaka kusema mimi na urafiki na mwanamke haupo hata kama unajifanya mimi ni rafiki yako ntafanya niwezalo nikukosee maana mafahari wawili hawawezi kaa zizi moja.
Wapo wanaoweza ila Kwa upande wangu siwezi kama nilikutongoza ukasema hapana tuwe marafiki hapo ndio imeisha...
Kufanya biashara mtandaoni ni riski kubwa sana pia nawahurumua watu wanaotegemea kufanya biashara mtandaoni maana kadiri mambo yanavyobadilika hamna mtu ataamini vitu vya online ingawa ingekuwa inatumika ipaswavyo ingerahisisha zaidi kwa kuokoa muda na usalama pia.
Ila kadri siku vinavyosonga...
Habarini! Naomba kama kuna mtu anauzoefu wa kuagiza vitu online kupitia site ya Amazon anipe ikimpendeza hata na CARGO wa Tanzania wa uhakika.
Karibuni jamani mnipe moja mbili na mimi
BASIC DRIVING TEST
1. Taja makundi ya alama za barabarani
2. Taja maeneo ambayo dereva haruhusiwi kuegesha gari
3. Chora mchoro wa alama ya onyo/Tahadhari ikionyesha watu wenye mtindio wa akili wapo eneo hili.
4. Taja matumizi ya taa za barabarani pia eleza kazi ya kila rangi ya...
Yaani hii ndio ingekuwa ni Tanzania pale Dodoma saa hii viti vilikuwa vinaumia kwa makofi maana ni swala ambalo wangesema tumechelewa sana 😅 Tanzania
Ila Tanzania muda mwingine unawaza kwanini haya mavituko yanafanyika kwenye mamlaka zetu nyeti kiasi kwamba hawaoni aibu hata chembe 😂
Polisi mkoani Morogoro inamshikilia mwanamke anayetuhumiwa kula njama na kushiriki kumuua mumewe ili akaolewe na mwanaume mwingine kwa madai ya kutangaza dau kwa atakayetekeleza mauaji hayo kwa nia ya kupata uhuru wa kutimiza malengo yake ya kuolewa.
Chanzo: Azam TV
JESHI la Polisi Mkoa wa...
Hili neno litunze kuna siku litakusaidia na utajua kwanini imekuwa hivyo.
Kuna Bro mmoja aliweka plan zote za kufanya Biashara na rafiki yake wa karibu mno, kuna siku jamaa anapanga kufata Pesa Bank (Million 100), ili waongezee kwenye shughuli zao sasa huku nyuma rafiki yake anawapanga...
Kama hard work, I cab tell you kuna watu wanafanya kazi sana, tena kwa bidii na nidhamu ya hali ya juu, lakini wanaishia kuishi a normal life.
Sometimes nahisi such people deserve better kuliko wengi wetu.
Unaweza ukawa unafanya bidii sana katika kazi au kutafuta maisha mazuri ila katika njia...
Haya ni mambo ambayo yanatufanya vijana tusiaminike.
Historia za familia zetu
Tabia zetu
Mitazamo yetu.
Haya matatu yanaweza kukwamisha maisha yako yote bila wewe kujua.
Mwaka 2018 hadi 2019 tulikuwa na kampuni, by share mimi nikiwa na share ya 40% wengine wawili 30%
Picha linaanzia Bukoba mwaka 2019 mwezi February nilimfungulia wife biashara sokoni ya kuuza nafaka aina zote pamoja na mafuta n.k.
Sasa mimi nikaendelea na mishe zangu za hapa na pale ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.