Tasnia ya sanaa inaoneka kuwa mtu akiwa mwanamuziki au muigizaji au muhuni lakini imeonekana kuwa na faida baada ya kutoa viongozi mbalimbali nchini. Baadhi ni hawa:
1. Hamis Mwinjuma 'Mwana FA'
Ni Mbunge wa Muheza pia ni Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo
2. Nickson Simon 'Nikki wa...
Jina lake halisi ni Fatuma Binti Baraka, inakadiriwa kua alizaliwa mnamo mwaka 1910 huko Unguja.
Alikiri kujifunza muziki kwa mwanamuziki wa zamani maarufu kama Sitti binti Saad. Mbali na kuimba alikuwa na kipaji cha kupiga ngoma.
Bi Kidude amewahi kujinyakulia tuzo mbalimbali katika muziki...
Filamu zote ni maigizo na sio uhalisia halisi wa maisha. Lakini katika ulimwengu wa filamu, mara nyingi tunakutana na uongo ambao hauna maana.
Mimi nilikua nafuatilia sana movie za kihindi ila kwa sasa huwezi nikuta naangalia tena kwa sababu aisee wale jamaa ni waongo mpaka mtu unaweza kujiona...
Wana morogoro maeneo ya manyuki mwisho tuna teseka na Maji ya Serikari Maana kuna mambomba lakin maji yana toka jumanne tu kila Week
Licha ya kutoka mara 1 bado yanakuwa hayana nguvu kiasi kwamba yanashindwa kupanda kwenye Matenki na kutulazimisha kubebelea Ndoo na Madumu
Sasa hii imekuwa...
Steven Charles Kanumba alizaliwa 8 Januari, 1984. Alikuwa miongoni mwa waigizaji maarufu nchini Tanzania.
Aliingiza katika tasnia ya uigizaji miaka ya 90 na na kujizoelea umaarufu mwaka 2002 baada ya kujiunga na kundi la Kaole Sanaa Group.
Aliwahi kupewa tuzo ya mwigizaji bora wa kiume nchini...
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, akiwa katika Sherehe za Kilele cha Mei Mosi Kitaifa, zilizofanyika jijini Arusha alitangaza kuongezeka kwa Siku za likizo kwa Wanawake wanaojifungua Watoto Njiti (Kabla ya Wiki 36 za Ujauzito)
Kuanzia sasa iwapo Mfanyakazi atajifungua Mtoto Njiti...
Nimechangia Bungeni namna mahitaji na matumizi ya Umeme yalivyoongezeka nchini, wakati TANESCO inaanzishwa idadi ya watu ilikuwa ndogo, usambazaji wa umeme ulikuwa kwa kiwango kidogo.
Tunapozungumza leo, uwekezaji uliopo nchini wa viwanda na migodi (Mfano Mgodi wa Geita kwa siku moja unatumia...
Wabunge wa jimbo la Tennessee nchini Marekani wamepitisha mswada wa kuwaruhusu walimu na wafanyikazi wengine wa shule kubeba bunduki shuleni siku ya Jumanne.
Imeelezwa kuwa wabunge hao ambao ni wanachama wa Republican wa Tennessee House walipitisha sheria hiyo kwa walimu na wafanyakazi wengine...
Wakuu habari,
Embu tujadili hili swala hapa. Mimi baada ya kumaliza form 6 niliamua kujitolea kwenye shule fulani hivi ya sekondari nikisubiri kujiunga na chuo kikuu.
Sasa bwana pale kuna changamoto nilikutana nayo kwamba kuna supervisor wangu alinielewa. Mimi nikamkatia bwana kwa sababu...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amekabidhi magari matatu mapya kwa ajili ya Wakuu wa Wilaya za Rombo, Mwanga na Same, yenye thamani ya zaidi ya Tsh. milioni 600 ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi na kuleta maendeleo ya Mkoa huo.
Akiongea katika hafla fupi ya makabidhiano hayo nje...
As far as I know all contraceptives are 99.9% accurate. So there is a slim chance for them not to work.
Always abstaining from sex and natural methods of family planning should be a priority.
Habari wakuu, nina marafiki wengi walio hitimu chuo mwaka jana lakini mpaka sasa wanahangaika sana na suala la ajira. Nimekuja kugundua kwamba elimu ya Tanznaia haizingatii mahitaji ya soko la ajira kwa sasa na bado tunatumia elimu ya wakolonia aisee. mimi ningeshauri hatua zifuatazo zifanyike...
Je, umewahi kujiuliza kama wewe na mwenza wako mnaweza kushirikiana kibiashara?
Navy Kenzo wametoka mbali katika safari yao ya mahusiano na muziki.
Mwaka 2008, Aika na Nahreel walikutana na kuanza safari yao ya muziki nchini India walipokuwa masomoni.
Mwaka 2011, wawili hao waliungana na...
Ikitokea umepewa fursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, unapata nafasi ya kufanya mabadiliko katika sehemu uliyopo na kubalisha kitu kimoja kwenye sehemu uliyopewa uongoze.
Ikitokea ninafursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, ningependa kuwa kiongozi wa taasisi ya elimu, kama chuo kikuu. Elimu ni...
Kwa mujibu wa jarida la Times limetoa orodha ya watu 100 wenye ushawishi zaidi duniani kwa mwaka 2024 tarehe 17, Aprili 2024. Orodha hii imejumuisha watu wanaoshughulika na sekta mbalimbali kama biashara , Sanaa, michezo, muziki na nyingine nyingi.
Wafahamu baadhi ya waafrika waliopo kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.