Umewahi kufikiria Wasanii kuwa katika mahusiano na kuanzisha biashara wakafanikiwa?

Wild Flower

Member
Jul 20, 2023
82
98
Je, umewahi kujiuliza kama wewe na mwenza wako mnaweza kushirikiana kibiashara?

Navy Kenzo wametoka mbali katika safari yao ya mahusiano na muziki.

Mwaka 2008, Aika na Nahreel walikutana na kuanza safari yao ya muziki nchini India walipokuwa masomoni.

Mwaka 2011, wawili hao waliungana na marafiki zao kuanzisha kikundi cha muziki kiitwacho Pah One, lakini baada ya muda wakajiondoa.

Mwaka 2013, Aika na Nahreel walianzisha Navy Kenzo, ambapo walitoa nyimbo zilizofanikiwa na kumiliki lebo ya The Industry Studios. Wamejenga familia na kupata watoto wawili, Gold na Jamaika.
 
Kweli kabisa otherwise kopo na mfuniko vikikutana haiwezekani.
Wengine ujuaji na kujifanya kila mmoja yuko juu ya mwenzie, hawajui ili mambo yaende kwenye mapenzi mmoja lazima akubali kujishusha..!! Huoni zama na madobe wake, madobe kapoa penzi na kazi zinafanyika vizuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom