masomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Tatizo la ufaulu duni wa masomo ya Mathematics na Physics bado halijaeleweka!

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Kutokana na takwimu za Ufaulu wa masomo ya Physics na Mathematics zilizotolewa baada ya matokeo ya Mtihani wa kidato cha Pili kutangazwa, Physics na Mathematics zinaburuza wanafunzi. Tatizo hili lipo tangu kitambo, japo kuna wale waliobahatika kufundishwa na...
  2. Jamii Opportunities

    Fursa ya Masomo ngazi ya Umahiri Chuo Kikuu Tsukuba Japan, 2024

    TAARISA YA FURSA YA MASOMO NGAZI YA UMAHIRI, PROGRAMU YA SERA YA UMMA NA UCHUMI KATIKA CHUO KIKUU TSUKUBA NCHINI JAPAN Ubalozi umepokea taarifa kutoka Chuo Kikuu Tsukuba kilichopo nchini Japan kuhusu fursa za mazomo ngazi ya Umahiri, Programu ya Sera ya Umma na Uchumi kwa Mwaka wa Masomo 2024 –...
  3. A

    DOKEZO Vyoo vya UDOM ni hatari kwa afya ya watumiaji wake

    Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM. Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani. Vyoo vimejaa balaa na hivyo kufanya tuugue sana. Pia vinavuja kwa juu na hakuna kinachotendeka hadi sasa. Naomba tu na hili...
  4. Francis06

    Je, naweza kurudia masomo ya Kidato cha 6 kwa mchepuo tofauti?

    Wanajamii naombeni kuuliza, nilisoma mchepuo wa EGM nikamaliza shule Sasa nataka nikaanze masomo ya Udaktari. Je, naweza kwenda tena kusoma advance mchepuo wa PCB ili niweze kwenda udaktari?
  5. A

    DOKEZO Kwanini Shule mpya za Sekondari na hususan za Vijijini hazifundishi Masomo ya ECONOMICS, COMMERCE na BOOKKEEPING?

    Shule nyingi mpya za serikali zinazoanzishwa na zile za vijijini hazifundishi masomo ya biashara hususan Commerce, Bookkeeping na Economics? . Mfano hivi karibuni serikali ilifungua shule mpya katika wilaya ya Mbinga kama vile BENAYA, NGUZO, KIPAPA, KILIMANI KATI, LAMATA, KAGUGU, N.K lakini...
  6. Roboti Wa Nape

    Ukweli kuhusu ziara za mafunzo na masomo ya vitendo Israel

    Kumekuwa na upotoshaji kuhusu ziara za mafunzo na vitendo (Internship programs) zinazofanywa na wanafunzi wa fani za Kilimo na ufugaji toka pale SUA na hii ni baada ya vifo vya vijana wetu wawili waliouliwa na HAMAS. Na declare interest kuwa mimi ni mmoja wapo wa member waanzilishi wa SUGECO...
  7. Suley2019

    Mchengerwa: Wanafunzi wote waanze masomo Januari

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa kutekeleza maagizo mbalimbali ili mchakato wa kuwapokea Wanafunzi wapya Shule za awali, msingi na sekondari uende kwa ufanisi kuanzia Januari 06,2024. Mchengerwa ametoa agizo hilo leo...
  8. Stephano Mgendanyi

    Musoma Vijijini Waendelea Kujenga Maabara za Masomo ya Sayansi Kwenye Sekondari Zake za Kata

    MUSOMA VIIJIJINI WAENDELEA KUJENGA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZAKE ZA KATA Kwenye miradi ya ujenzi wa maabara tatu za masomo ya sayansi (fizikia, kemia na bailojia) kwenye Sekondari zetu za Kata, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo anashirikiana na: (i)...
  9. GENTAMYCINE

    Wangapi tunajutia Kuyakwepa Masomo tuliyoyadharau O na A levels ambapo kama tungeyasoma leo tusingekuwa tunapigika hivi Kimaisha?

    Yaani GENTAMYCINE nisingekuwa namkwepa Mwalimu wa Somo la Useremala ( Wood Work ) Shuleni nilipokuwa Form One hadi Form Four ( tena akinibembeleza kama Mwanafunzi ) leo hii ningekuwa bonge la Fundi Samani Keko na Tajiri mno tu. Sasa Kumi ni pale aliyekuwa Kocha wangu wa Mpira ( sasa Marehemu )...
  10. General Nguli

    Najilaumu sana kutokuchukua masomo ya Science, hasa Physics na Chemistry

    Habarini wa Kuu, Nina imani wazima Mungu ana tubariki mpaka sasa na tunaendelea vyema na majukumu yetu. Kutokana na kasi ya mapinduzi ya Science hapa Duniani nimekuwa muhanga hasa nikiwa na fuatilia vipindi mbali mbali. Wakati nikiwa nasoma nlikuwa mpiga Debe mzuri wa Masomo ya Sanaa. Ushauri...
  11. sky soldier

    Kuna watu vyuoni/shuleni walikuwa serious na masomo tu, Makazini wapo walio serious na kazi, Ukiwa serious sana utafurahiaje maisha?

    Mtu anakuwa serious sana mpaka unashangaa. Vyuoni na shuleni enzi hizo unakutana na mtu yeye anachojua ni kusoma tu, Niliwahi kukaa chumba kimoja mwaka wa kwanza na mtu anabukua sio kitoto, yani ni yeye na chuo lakini nikawa nashangaa hata tukiongea ni mambo ya masomo tu, Nje ya kusoma ni kama...
  12. T-pain

    Serikali inahimiza vijana wasome masomo ya sayansi na teknolojia halafu wakigraduate wanawaachia manyoya

    Serikali ya Tazania inahimiza vijana kusoma masomo ya sayansi hasa uhandisi alafu sasa wakigraduate wanaacha vipaji vinaishia mtaani. Serikali kupitia secretariet ya ajira inabidi ijitahidi kutoa ajira nyingi kwa wahandisi wenye vigezo kwa kadri inavyoweza ili kupata wahandisi wazawa.
  13. R

    Vijana wanaokwenda kuanza masomo University 2023/2024 wakosa kuanza masomo 16/10/2023 (orientation) wakisubiri taarifa za mikopo

    Uchunguzi nilioufanya, wanafunzi wengi kutoka familia masikini wamekosa kwenda shule (University-kuanza orientation/masomo) kwa vile wanasubiri kama watapata mikopo toka HESLB. Rais Samia/Waziri Mkenda ingilia kati watoto wajue kama wamepata mikopo au hapana wapange what next .........
  14. Suley2019

    Rais Museveni aagiza ongezeko la mshahara kwa wahadhiri wa masomo ya sayansi

    Rais Museveni ametoa agizo kwa serikali kuongeza mishahara ya walimu wanaofundisha programu za sayansi katika vyuo vikuu vya umma. Agizo hili limetokana na taarifa iliyotolewa na Profesa Eli Katunguka, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kyambogo, ambaye alionyesha wasiwasi kuhusu changamoto...
  15. M

    Kwanini chuo cha MUST Mbeya kinawafanya wanafunzi warudie mwaka wa masomo kwa sababu mifumo inasumbua. Hasa wa Diploma

    Nimeona niulize huku labda naweza pata msaada wa mawazo tofauti kwa watu wanaopitia hii changamoto. Nna ndugu yangu amesotea Diploma pale MUST Mbeya kwa miaka mitano badala ya mitatu na mpaka sasa hivi bado hajatoboa, na tatizo sio kufeli. Ni mifumo yao. Wanaambiwa mfumo umebadilika so mwalimu...
  16. N

    Kupangiwa mkopo kwa mwanafunzi anae endelea na masomo

    Jaman nna swali et kwa mwanafunzi anae endelea na masomo mwaka wa pili akiwa ana sap ya somo moja anaweza pangiwa mkopo endapo kaomba na alkosa mwaka wa kwanza?
  17. R

    Serikali yatolea ufafanuzi taarifa ya nafasi ya masomo ya kidato cha 5 ya mwanafunzi Sifika Ruben kupewa mtu mwingine

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais -TAMISEMI jana tar 25/9/2023 imetoa ufafanuzi wa taarifa zilizokuwa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuhusisha mwanafunzi Sifika Daniel Ruben aliyesoma Shule ya Sekondari ya Mkombozi Wilayani Same, Kilimanjaro kupangwa Shule ya Sekondary Namwai kwa masomo...
  18. ChoiceVariable

    Wanafunzi 330,000 Wa Shule za Sekondari & Msingi Wameacha Shule Mwaka 2022 Pekee. Kanda ya Ziwa Yatia Fora

    Aisee pamoja na Juhudi za Serikali kupanua Elimu ila school dropout inazidi kuongezeka Wanafunzi takribani 330,000 ni wengi sana kuacha shule Kwa mwaka mmja tuu. https://www.jamiiforums.com/threads/kigoma-nusu-ya-wanafunzi-hawajafanya-mtihani-wa-darasa-la-saba-utoro-watajwa.2138803/ Hali ni...
  19. C

    Taasisi zipi naweza kupata udhamini wa masomo ya chuo kada za afya

    samahanini wakuu nilikua naomba kujua kama naweza pata udhamini wa masomo hasa kada za afya kwa anaejua anisaidie wakuu
  20. BROTHER OF BROTHERS

    Nisaidie niweze kurudia masomo yangu ya kidato cha IV

    Habari yako mwana JF, Kwa Imani yangu Kubwa kwenu Bila kujali Naomba utaratibu wa kuweza kurudia Masomo Yangu ya kidato Cha nne. Mimi nilihitimu Mwaka 2008 na matokeo Yangu hayakuwa mazuri kwani nilipata Dv IV ya point 28 na hii ilitokea Baada ya kufiwa na Baba yangu mzazi. Wiki Moja kabla ya...
Back
Top Bottom