General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,122
- 2,309
Habarini wa Kuu,
Nina imani wazima Mungu ana tubariki mpaka sasa na tunaendelea vyema na majukumu yetu.
Kutokana na kasi ya mapinduzi ya Science hapa Duniani nimekuwa muhanga hasa nikiwa na fuatilia vipindi mbali mbali.
Wakati nikiwa nasoma nlikuwa mpiga Debe mzuri wa Masomo ya Sanaa. Ushauri ikiwa kama mzazi na kwa wazazi wenzangu tuwasisitize watoto wetu katika kujifunza Tech i mean kudeal na maswala ya Science kwa masomo na kwa ujumla.
Tazama sasa Dunia iliko na sisi tuliko. Mungu atusaidie japo hao ma Gwiji wa Science wameanza kuzinguana.