Search results

  1. R

    Mbona hakuna magari ya rangi ya kijani au njano umewahi kuona Harrier ya kijani?

    Umewahi kuona hurrier ya kijani au njano. Au umewahi kuona Land cruiser V8 new modeli ya njano. Kwa kifupi Tanzania sijawahi kuona gari ndogo za kijani.na njano
  2. R

    Korea Kusini iliyoendelea kila nyanja watu wake hawazaliani sana lakini Afrika Maskini watu wanazaliana mno

    Moja ya inch Bora kabsa kichwani haswaa kwenye sayansi na hesabu ni south Korea. . Sadly ni kwamba wanaziliana kwa kiwango kidogo sana hii inapelekea kukosa watu bora kwenye gunduzi mbalimbali hasa za kisayansi Science mathematics na innovations ziko kwenye risky sana kupoteza hawa jamaa...
  3. R

    Ni ubinafsi kuoa mke zaidi ya mmoja kwasababu kuna wanaume watakosa kwa upungufu wa wanawake

    Ni kama Mungu ameumba idadi sawà kati ya wanaume na wanawake. Kwa kuzingatia idadi ya wanawake na wanaume Tanzania na hata duniani kwa ujumla. Statistics zinaonesha wanaume ni 50.4% na wanawake ni 49.6% world wide. Roughly unaweza kusema idadi ya wanawake na wanaume ni sawà japo Kuna deviation...
  4. R

    Wakinga wameamua kupambana, maneno yameanza kama ilivyo desturi ya Waswahili

    Miaka ya hivi karibu jamii ya Wakinga ni kama imeamua kuwa serious kupambana na umaskini. Those guys are true hustlers wenye umoja wa ndugu jamaa na marafiki. Unfortunately maneno yamenza mara uchawi mara kafara yaani blah blah kibao. Ukweli mchungu jamii nyingi za Tanzania zamani zilikuwa...
  5. R

    Afrika ndiyo kinara wa kufanya kazi ngumu lakini kisukari ni tishio je kazi ngumu sio mbadala wa mazoezi?

    Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari. Nikazama gugo kudadisi statistics zinatisha watu jamii ya black race wapo kwenye risky ya kupata kisukari ukilinganisha na...
  6. R

    Acha kuponda starehe msaidie ndugu yako achomoke kwenye tanuru la umaskini

    Sometimes kuchomoko kwenye cycle ya umasikini inahitaji upate mtu wa kukushika mkono. Unfortunately waswahili hatuna ustaarabu wa kusaidiana tunadhani ukimsaidia mtu atakuzidi mafanikio Haya maisha ni kama yameamua kua serious hakuna huruma kwa maskini. You have to play so hard perpendicular...
  7. R

    Utajiri wa wafanyakazi wa TRA uchunguzwe

    Sina Nia mbaya Ila kwa experience na references nilizonazo wafanyakazi wote wa tra wachunguzwe. Kilichopo TRA ni utajiri wa kutisha wa wafanyakazi wake vijana kwa wazee. watu wa jamii fulani kurundikana kama wafanyakazi wa TRA pia ichunguzwe.
  8. R

    Namba prison break season zote iliyotafsiriwa kwa kiswahili

    Mwenye prison break iliyotafsiriwa kwa kiswahili naomba Niko dar nakuja na flash yangu mkononi popote ulipo DAR ES SALAAM
  9. R

    Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

    mwezi wa 10 last yeakr niliingia south Africa. Ila February nikarud bongo nilifanikiwa kutembelea mikoai karibu yote South Africa kimaendeleo imezidi nchi nyingi sana za ulaya ,Asia ,na america yaani south Africa ipo mbali san kiuchumi. Tatizo Ina raia wenye hasira sana mara nyingi ni watu...
  10. R

    Wabunge wawe na ukomo wa kukalia kiti bungen

    Muda mwingine mabadiliko yatakuja kama tukibadilisha watu kwenye mfumo. Kadri mbunge anavyokalia kiti anabweteka anakula maisha kwa mishahara ya mamilioni. inakuaje mbunge anapokea pensheni halafu anarudi bungeni. Basi kama vp kila mtumishi alipwe pensheni kila baada ya miaka 5 Hii nchi ni...
  11. R

    Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

    Mama ndo mwenye sauti yaani mama anakuwa na kaubabe fulan hivi. Pesa ya Posa lazima iwe nyingi ili wagawane ndugu wa wazaz wa bint na baadhi ya majiran Binti kuolewa mtaa mzima wataambiwa as if kuolewa ni jambo geni kwao. Ukimpa mimba bint wa mbeya usipokua makin anakuletea mtoto na kumuacha...
  12. R

    Hawa ni baadhi ya marubani watanzania

    Herman mushi na neema swai Hawa ni baadhi ya marubani wazawa kabsa wanairusha ndege za air Tanzania the wings of Kilimanjaro Hawa wangetakiwa wawe na page social media ku inspire vijana na watoto katika mambo ya urubani. Mfano Ukingia katika tiktok version ya china na Tanzania utugundua...
  13. R

    Vijana wengi wa kiume from Afrika Magharibi wanatokomea ughaibuni

    West Africa ni kawaida kijana wakiume 25yrs kufungasha virago na kukwea pipa america au Europe kustrugle.yani kutafuta maisha. Kikweli vijana wa Tanzania hatuna mentality za kutoka kwenda nje moja yaa sababu ni lugha gongana
  14. R

    Rais Samia atoke hadharani aseme hizo pesa za goli la mama zinatoka mfukoni mwake au ni Kodi ya raia maskini

    Pesa ambazo Rais anazitoa kwa wachezaji wanaolipwa mishahara ya mamilioni eti kwa kufunga GOLI zinatosha kujenga zahanati simiyu ndan ndan Huko. Haingii akilini kumwaga pesa kwa watu wanalipwa mishahara na timu zao Kama ni motisha aseme timu ikishinda kombe atatoa zawadi yenye kiasi fulan...
  15. R

    Nimerudi shule japo umri umenitupa mkono

    Miaka 11 iliyopita nilimaliza form 4 nikakosa nafasi ya kuingia form 5 Nimestay street 11 years nikasema2024 ni muda wa kuanza kutimiza ndoto zangu Binafsi I live in another dimension hua sikati tamaa ndo maana nmejiita riskytaker Nina misimamo mikali sana mixer maamuzi makali ambayo...
  16. R

    Uliwezaje kumudu maisha ya vijijini baada ya kuhamia /kuajiriwa huko?

    Maisha ya vijijini yanashangaza sana unaweza kujiuliza hawa watu huwa hawapati pesa au shida nini. Msosi shida, usafiri shida, nyumba shida, maji shida, yaani kila kitu shida. Hii imepelekea what we call suffering ndo imekuwa furaha ya wakazi wengi wa vijijini. Watu wanaishi tu ili mradi siku...
Back
Top Bottom