Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

Riskytaker

Senior Member
Mar 14, 2024
149
674
Mama ndo mwenye sauti yaani mama anakuwa na kaubabe fulan hivi.

Pesa ya Posa lazima iwe nyingi ili wagawane ndugu wa wazaz wa bint na baadhi ya majiran

Binti kuolewa mtaa mzima wataambiwa as if kuolewa ni jambo geni kwao.

Ukimpa mimba bint wa mbeya usipokua makin anakuletea
mtoto na kumuacha kwako yeye anaondoka.

Proof.
Nmepeleka Posa /barua kwao nmeweka 150,000 baba akopokea vizuri kwa mikono miwili mama alivyorudi na kupewa taarifa alikataa akasema 150 ni ndogo.

Mama anasema Posa nayotoa wanagawana ndugu na baadhi ya wanakijiji as if Mimi naolea kijiji chao.

Kwa iyo Minimum natakiwa nitoe 250,000

Wananichimba mkwara kwamba bint atanilitea kichanga ni kalee pekee yangu. Wao wamchukue bint Yao yaani full kaubnafsi

Binti anakua mkali anasema Mimi ntakuletea mtoto wako siwez kukulelea mtoto wako yan full ubabe ubabe.

Makabila mengi hela ya Posa roughly ni 30,000---50,000.
 
Mkuu akikususia si ndo baraka sasa..?
Unampeleka mtoto kwa shangazi yake au bibi, unapunguza gharama kubwa sana.
Alafu mwanaume shtuka usitoe mahari, yaani wewe umempa hadi mimba ila na mahari unatoaje tena..??? Acha ujinga mwanangu, kimbia hakuna ndoa hapo.
 
Mama ndo mwenye sauti yaani mama anakua na kaubabe flan ivi.

Pesa ya Posa lazima iwe nyingi ili wagawane ndugu wa wazaz wa bint na baadhi ya majiran

Binti kuolewa mtaa mzima wataambiwa as if kuolewa ni jambo geni kwao.

Ukimpa mimba bint wa mbeya usipokua makin anakuletea
mtoto na kumuacha kwako yeye anaondoka.

Proof.
Nmepeleka Posa /barua kwao nmeweka 150,000 baba akopokea vizuri kwa mikono miwili mama alivyorudi na kupewa taarifa alikataa akasema 150 ni ndogo.

Mama anasema Posa nayotoa wanagawana ndugu na baadhi ya wanakijiji as if Mimi naolea kijiji chao.

Kwa iyo Minimum natakiwa nitoe 250,000

Wananichimba mkwara kwamba bint atanilitea kichanga ni kalee pekee yangu. Wao wamchukue bint Yao yaani full kaubnafsi

Binti anakua mkali anasema Mimi ntakuletea mtoto wako siwez kukulelea mtoto wako yan full ubabe ubabe.

Makabila mengi hela ya Posa roughly ni 30,000---50,000.
Unaoaje mnyakyusa inamaana umekosa wanawake wote
 
Hio familia haifai achana nayo wananjaa hao, Baba katekwa kwanza Baba ndiye anaeozesha mtoto sio mama kwenye hilo kabila, mkatae huyo mwanamke mbeleni utajuta hio sio familia ulichokiona kwa mama mkwe ndio huyo ulozaa nae, Mpigie chini mwambie ulichokiona kinakupa kiza mbeleni
 
Back
Top Bottom