Acha kuponda starehe msaidie ndugu yako achomoke kwenye tanuru la umaskini

Riskytaker

Senior Member
Mar 14, 2024
142
633
Sometimes kuchomoko kwenye cycle ya umasikini inahitaji upate mtu wa kukushika mkono.

Unfortunately waswahili hatuna ustaarabu wa kusaidiana tunadhani ukimsaidia mtu atakuzidi mafanikio

Haya maisha ni kama yameamua kua serious hakuna huruma kwa maskini.

You have to play so hard perpendicular na watu wa kukupushi

Kuna watu wanastrugle lakini mambo yanakataa

Tuna hadithi nyingi sana za watu walioshikwa mkono wakatoboa.

Saidia ndugu yako kataa umaskini
 
Inategemea na huyo mtu au ndugu unayemsaidia, uzoefu unaonyesha kwamba ndugu wengi zaidi huwa hawasaidiki wala hawabebeki hata kwa mbeleko ya chuma.
 
Wengi wetu ni masikini tupo juu kidogo ya kua makapuku. Msaada tunaotoa hauwezi kubadili hali ya mtu tunaemsaidia na sababu kuu ni wote ni masikini hatuna akili za kukuza tulichokua nacho. Kinachotokea hapo ni kusaidiana kusogeza siku tu ila hakuna kunyanyuana.

Kama Mungu kakubariki kakipato na unatokea familia hizi zetu za kimasikini. Kua mbinafsi hapa mwanzoni kujijenga zaidi mpaka ufikie ile hali ya kuweza kuajiri watu na kutoa msaada unaoweza kubadili maisha ya mtu. Mbali na hapo sahau kuhusu kutoboa.

NB: Unfortunately masikini sisi tukisikia ndugu yetu anapokea hata 1M ndio kila mtu analeta shida zake akinyimwa, ndio hadithi za kua mtu anafanya starehe tu na hana msaada wowote. HUWEZI KUBADILI HALI YA KWENU KWA KUWATUMIA HELA KILA MWEZI. Jitafute vyema, kua na focus, ukijipata nyanyua watu. JIOKOE KABLA YA KUANZA KUOKOA WENZAKO.
 
Screenshot_20240403-203122~2.jpg
 
Waswahili hawasidiki asilimia kubwa maana tatizo lao sio pesa linalowafanya wawe masikini bali mfumo AKILI ndo unashida.
Akili za utegemezi kwa mfano ikitokea mtu ukamsaidia kiroho safi ,basi akili yake itakutegemea zaidi milele.

Kuna ile hali labda jamaa ndio mara ya kwanza katingwa sana ,akataka kukukopa ila ukaona umpe tu ,basi siku nyingine atakuja tena hii ni mbaya sana.

Akili ya utegemezi ni mbaya sana kweny jamii ,kama mtu hayupo kweny familia yako yaani sio mke wala watoto wako , hakikisha asikutegemee..
 
Sometimes kuchomoko kwenye cycle ya umasikini inahitaji upate mtu wa kukushika mkono.

Unfortunately waswahili hatuna ustaarabu wa kusaidiana tunadhani ukimsaidia mtu atakuzidi mafanikio

Haya maisha ni kama yameamua kua serious hakuna huruma kwa maskini.

You have to play so hard perpendicular na watu wa kukupushi

Kuna watu wanastrugle lakini mambo yanakataa

Tuna hadithi nyingi sana za watu walioshikwa mkono wakatoboa.

Saidia ndugu yako kataa umaskini
Mungu tunusuru
 
Back
Top Bottom