Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).
Tufanye umeambiwa uchague vyakula fulani bora ila vichache na itakubidi ndo uvile maisha yako yote usibadilishe aina nyingine me nadhani ambavyo ningeweza kufikiria vingekuwa ni.
1.parachichi Kwa sababu ya afya ya moyo.
2.kabeji au tembere maana ina vitamini k,na itazuia saratani.
3.samaki...
Sijui ni kiki au ndio kweli ila nimepata picha kuwa mambo ya kuwekana wazi au mlivyokutana mlibidi kukubaliana kuwa kazi ya mwenzake.
Imngeweza kuishi kama wafanyavyo wasanii davido na kwengine.Pili ingekuwa mimi barnaba kwa kweli ni aibu kesi yako kama mama mkwe kakutawala na mwanae.
Aisee...
Kwenye hii ngoma yako kama ingekuwa ni demu basi ni Beyonce Knowles. Na kama ingekuwa mchezaji wa mpira wa miguu basi ni Said Mwamba Kizota au Haruna Moshi Boban.
A very catchy melody . Ni aina ya wimbo ambao hata ukiusikia kwa mara ya kwanza unakukumbusha sehemu ambayo...
WAKISEMA WAPO NYUMA YAKO USIGEUKE KUWAANGALIA.
1.Utaumia kukuta sura mpya kabisa ndio wapo nyuma yako.
2.Utaumia kukuta wao ndio wa kwanza kukuvutia nyuma.
3.Utaumia kukuta wao ndio mashahidi wako wa kwanza wa uongo.
WEWE PAMBANA TU HATA KAMA WALIOSEMA WAPO NYUMA YAKO WATAKUSALITI WOTE...
Ndoa ni moja wapo ya shabaha zinazotamaniwa na adui kushambulia kwa mishale ya moto.
kwa sababu akifanikiwa kuharibu ndoa, itasababisha uharibifu mkubwa kwa familia na jamii
kwa sababu hii ni mara nyingi shetani. hutumia udhaifu wa kibinadamu wa kawaida kushambulia akili ya mwenzi (wivu...
Ahadi za kupandishwa mishahara halafu kunafuatiwa mlolongo mreefu wa kiwango gani kipande, huku kila msimu wa Bunge viongozi wakijilimbikizia mafao ya kustaafu hiyo si sahihi.
Haya sasa, sheria imepitishwa Bungeni kuwa wenza wa viongozi wastaafu watalipwa mafao, ni wazi HAZINA ipo pesa ya...
Match day 24.
Kuna timu zina mechi 23 na mechi 22 katika game 30 za ligi kuu ili kukamilisha msimu wa mwaka 2023-2024
Vinara wa magoli.
1. Ki Azizi - 15
2. Fei Toto - 14
3. Shentembo - 11
Penzi ni kikohozi, tunaandika kama mzaha lakini madhara yake ni makubwa sana.
Hii inawahusu zaidi wavulana kwa sababu wao ndio wenye maamuzi ya kuoa.
Ewe kijana sikiliza kwa makini ukimpata mwenza wa kuishi na kujenga naye familia hakikisha ni wa imani yako na kama ni imani tofauti basi hakuna...
Samahanini sana Nina swali mimi watu kibao wanaonishauri mambo ya fedha wananikumbusha kujiwekea akiba kwa ajili ya dharura na wanajinasibu kabisa wao wanaweka akiba ipo imetulia sehemu.
Huwa najiuliza mbona vipindi vingi hata wao hulia knock je kweli uwe na akiba na ujibane usitumie uishi...
Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako
Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza
Je umesev vipi jina la kipenzi chako?
😊 good night african beauty Bantu Lady
Nyiewengine lolote liwakute😅
TERATOMA ni aina mojawapo ya ugonjwa ambapo nywele, meno na aina nyengine za rushing kuota Mahali pasipo kawaida
Kwa mfano mwanamke mwenye ugonjwa huu anaweza akatokea kwa kitu mfano meno kwenye uke au kumea kwa nywele kwenye ovari
Japo sio kitu kinachompa maumivu muhusika na hili...
Mobhare Matinyi nipo hapa kukumbusha majukumu yako ila siyo kushurutisha ukafanye kwa mbinu gani. Napenda kukumbusha kwamba wananchi wanasema ofisi yako haina mchakamchaka wa ubunifu kuelekea uchaguzi. Ofisi imekaa kimya kama wizara ya mambo ya Nje. Hapana changamsha nchi kwa makala na habari...
Mimi sio mchoyo nawasanua vijana.
Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja.
Mambo ya customer care, location, research, demand and suply watakazokuambia humu hazina nguvu huku mtaani ziache...
Je, unatafuta mtaalam wa kuandaa Business/ Company profile mwenye uzoefu na ujuzi wa kuunda maelezo ya kuvutia na yenye ufanisi? mimi ndiye mtaalamu unayemhitaji.
Ninaweza kukusaidia kuunda Business/Company profile bora itakayovuta wateja wapya, kuimarisha uhusiano na washirika wa biashara, na...
Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??.
jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome Sana.
Jua Kuna kitoto kina umia mtaani, kwa sababu ya ujinga na maamuzi yako ya kipuuzi.
Una jiita...
Habari za hapa waungwana naombeni niongezeeni maarifa ya uendeshaji mzuri wa kibiashara case study ni hizi biashara zangu.
Nina jamaangu muaminifu sana kwenye maisha na ni mzawa wa hapa nilipo yeye ni fundi viatu sasa ana kijiwe chake sehemu nikaona ni center yaani tukiweka viatu vya mitumba...
Wewe ni Mkazi wa Dar es Salaam na unahitaji Simu Kali kwa Gharama Nafuu?
Huitaji kuhangaika mambo yawe mengi tucheki moja kwa moja dukani.
MZIGO NI MPYA & GENUINE
Pia tunafanya huduma zote ya 🔝 & Xchange [kama una simu yako na unataka Simu nyingine Kali zaidi kwa kuongezea kiasi kidogo cha...
Shikamooni wote maana ninajua wote mmenizidi umri (hii sio hoja ya huu Uzi kwa hiyo ma anko na ma aunty msifanye kesi).
Mapenzi ni matamu Sana pale unapopendwa na unapompenda mtu wako kwa dhati bila mipaka.
Yani ni kwamba mjiachie mjipe nafasi ya kutosha kufurahia kila wakati ambao nyie...
Haya nimejifunza mimi kupitia shughuli zangu na kuwaona pia wengine kwenye shughuli zao. Mafanikio ni mchakato na kila kazi ina njia zake kuna kazi zinamafanikio ya haraka na hata kupotea huja kwa haraka sana kupitia kazi zangu tatu ninazofanya nimejifunza haya.
1. Biashara, hii ni kazi ngumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.