Wakisema wapo nyuma yako usigeuke kuwaangalia

Feb 4, 2024
80
237
WAKISEMA WAPO NYUMA YAKO USIGEUKE KUWAANGALIA.

1.Utaumia kukuta sura mpya kabisa ndio wapo nyuma yako.
2.Utaumia kukuta wao ndio wa kwanza kukuvutia nyuma.
3.Utaumia kukuta wao ndio mashahidi wako wa kwanza wa uongo.

WEWE PAMBANA TU HATA KAMA WALIOSEMA WAPO NYUMA YAKO WATAKUSALITI WOTE.

#fikia ndoto zako@instagram
#fikia ndoto zako@facebook
#fikia ndoto zako@blog
 
Back
Top Bottom