ustawi wa jamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Mtoto wangu anayeishi na mama yake tulieachana analelewa ndivyo sivyo, ustawi wa jamii imeshindikana kumchukua, mama yake hataki niwe nae, nifanyeje?

    Ni mtoto wa kiume mwenye miaka 9 anaingia 10 Mwezi wa tatu mwaka huu Mama yake ni msomi ana kazi inayomlipa fresh Mimi nilishamove on ila huwa natuma shilingi laki 2 kila mwezi na ada ya mtoto huwa nailipa nusu, sikuwa na haja ya kupima dna maana mtoto ni copy kabisa, mama yake ni hawa...
  2. K

    Waziri wa Dkt. Doroth Gwajima fuatilia kituo cha watoto yatima cha Ijango Ziada Ophanage

    Waziri wa ustawi wa jamii tunakuomba ufuatilie kutuo hichi kituo, ambacho kiko Sinza Madukani kinamillikiwa na mwanamama aitwae Ziada Ijango, kituo hichi kinahatarisha afya za watoto kina watoto wengi mpaka wengine wanalala nje kwa kukosa nafasi, pia huyu mama amekuwa akiwatumia hawa watoto kama...
  3. F

    Aliyepo Mtwara amesomea mambo ya ustawi wa jamii au mazingira na smart upstairs na well presentable anicheki

    Kuna kikazi cha siku 1 au 2 kwa mtu wa jinsi yoyote ambaye yuko Mtwara. Mtu ambaye yuko sharp, smart na anajiamini na mwenye uelewa wa mambo. Anicheki DM fasta na namba yake ya simu. Lazima uwe Mtwara mjini. UPDATE: Nimeshapata
  4. R

    Ni makosa Serikali kumdhalilisha mtoto mitandaoni kwa kumwita muongo bila hata kumsikiliza

    Kuna taarifa za mtoto kudanganya au kuibiwa matokeo ya kidato cha nne zinasambaa mitandaoni Serikali imejibu malalamiko kwa press tatu hadi sasa lakini kati ya wote walioripoti hakuna mtumishi wa umma au wizara iliyokiri kuhojiana na mwanafunzi anayelalamika. Means wizara zetu m halmashauri...
  5. Logikos

    Maelewano ya Jamii ni Muhimu kuliko Faida za Ki-Uchumi

    Maelewano na mshikamano ni Priceless - Kwahio chochote kile hata kama kina faida kiasi gani za kifedha hakiwezi kuziba pengo litakaloweza kuachwa na Jamii kutokuelewana.... Mfano kuna Wadau walienda vijijini kuwajengea watu nyumba za Kisasa kwa gharama kubwa na zingekuwa faida sana kwao (mwisho...
  6. Mpasuaji wa Manesi

    Mwanaume, unachopaswa kufanya ukiwa kwenye Mgogoro wa ulezi wa Watoto na Mwanamke

    Mwanaume, NDOA ikishafeli, na Wakati tu mgogoro wa kugombania watoto utapoanza na wewe ukakomaa nao, hapo kaa ukijua tayari umeshindwa kabla hujaanza. Yaani hapo Mwanamke tayari anakuwa amekushinda. Mkienda Mahakamani, utashindwa. Ukienda Kanisani, huko pia utashindwa. Ukienda Ustawi wa...
  7. fundi radio

    SoC03 Ulanguzi wa Dawa za kulevya kwenye masoko na minadani ni hatari kwenye ustawi wa jamii yetu

    Utangulizi. Baada ya kuja kwa ubepari , uhuru wa watu kufanya Biashara popote ilichangia kuwa na muingiliano wa wafanyabiashara kutoka sehemu mbalimbali Dunia . Hapo ndipo walanguzi wakubwa walipopata nafasi kupitisha Madawa ya kulevya, kwenye viwanja vya ndege, mipakani Kwa njia ya Barabara...
  8. Ester505

    Msaada:kupata Cheti Cha ustawi wa jamii

    Jamani kwa wale wazoefu,je mwalimu mwenye degree ya elimu anaweza kupata cheti Cha ustawi wa jamii ili afundishe shule yake ya chekechea?? Maana wakaguzi huwa wanavihitaji wakati wa ukaguzi. Je afate taratibu zipi ili apate hicho cheti.
  9. O

    SoC03 Utawala bora na uwajibikaji misingi ya ustawi wa jamii

    Uwajibikaji na utawala bora ni kanuni muhimu za utawala wa umma ambazo zinahakikisha kua watendaji wa umma wanafanya kazi kwa uwazi na uaminifu kwa manufaa ya wananchi . Kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kufanya Tanzania iwe ngumu kufikia utawala bora. Hizi ni pamoja na: Rushwa: Rushwa...
  10. prettykind21

    Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

    Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakaz serikalini na mimi ni mke wa ndoa tuna watoto wawili
  11. T

    Kigoma: Ofisa Ustawi wa Jamii jela miaka 30 kwa ubakaji

    Muhtasari: Hakimu Mkazi Mwandamizi wa mahakama ya Wilaya ya Kigoma, Eva Mushi amesema mahakamani hiyo imemtia hatiani baada ya kujiridhisha pasipo na shaka kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo. Habari Kamili: Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu Ofisa Ustawi wa Jamii, Frank Mabuga kwenda jela...
  12. Zemanda

    Tunahitaji sheria mpya ustawi wa jamii kulinda ndoa na familia

    Mimi nadhani tuweke sheria maalumu ambayo itakaziwa sana na itasimamiwa vikali na kwa nguvu na serikali. Ikigundulika mwanamke au mwanaume anasaliti eneo la kazi na ushahidi upo wa kutosha then mume au mke halali wa muhusika akafungue mashitaka katika mahakamani maalumu ya ustawi wa jamii...
  13. FRANCIS DA DON

    Napendekeza kuanzishwa mradi wa ‘Genomic Revitalisation’ kwa kanda maalum hapa nchini kwa ustawi wa jamii

    Kwanza niseme tu, sijaribu kukosoa kazi ya uumbaji wala kuzodoa watu kwa jinsi walivyoumbwa, maana hakuna mtu aliyechagua mwili wake na kutia saini kabla ya kuzaliwa, bali najaribu kuona jinsi tunavyoweza kufanya ‘mitigation measure’ / (Damage control). KAtika mradi huu, Ziainishwe kanda na...
  14. BARD AI

    Majibu ya DNA yanavyowasababishia matatizo Maafisa Ustawi wa Jamii

    Licha ya kipimo cha vinasaba kuwa uthibitisho wa mwisho kwa wazazi wanaotaka kuthibitisha uhalali kwa watoto, mara kadhaa maofisa ustawi wa jamii huingia kwenye lawama majibu yanapotoka. Hayo yameelezwa na Ofisa Ustawi wa Jamii wa Mkoa wa Dar es Salaam, Namara Elisha wakati wa mafunzo ya...
  15. NetMaster

    Kwenu Ustawi wa Jamii, Mshughulikieni huyu mama, huu ni unyanyasaji kwa watoto

    Mama huyu ni mpumbavu sana, anaanzaje kumkatili mtoto kiasi hiki? Mtoto siku yake ya kuzaliwa ni siku ya furaha lakini kinachofanyika hapa ni tofauti kabisa. Mtoto anavutwa, anawekwa sakafuni kwa nguvu, anamwagiwa maji yabaridi na analia kwa nguvu kuonyesha kuchukizwa na kinachoendelea lakini...
  16. D

    SoC02 Madhara ya matumizi ya dawa za kulevya na matibabu yake kwa ustawi wa jamii

    Andiko langu linahusu madhara ya matumizi ya dawa za kulevya na matibabu yake jinsi gani mtumiaji au muathilika wa dawa za kulevya anaweza kupata matibabu na akaludi katika hali ya usawa, Aina ya dawa za kulevya, 1. Heroin 2. Bangi 3. Cocaine 4. Dawa za tiba zenye asili ya kulevya 5...
  17. K

    Ustawi wa Jamii walivyoharibu maisha yangu, no# 1

    Habari za jioni ndugu na jamaa humu ndani leo nimeona nizungumzie jambo moja ambalo linaathiri Jamii yetu bila kujua na limekuwa ni tatizo ambalo katika maisha ya watu wengi. Wapo waliouza nyumba zao, waliokimbia miji, pia wapo ambao mpaka sasa naandika huu Uzi wapo jela, japo hawana hatia...
  18. Jade_

    SoC02 Jamii mbili zinazochanganya

    Hizi jamii mbili, Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya jamii huchanganya sana watu. Inawezekana chanzo ni zote kuwa idara katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu. Au kwa sababu majina yote yana neno “jamii”. Hata maneno ustawi na maendeleo huonekana na walio wengi...
  19. Mwachiluwi

    Kuhusu ustawi wa jamii

    Habari Leo nataka kuongea kuhusu ustawi wa jamii hii ni taaluma ambayo imejikita katika kutatua changamoto na matatizo ya jamii Inafanya kazi na wazee watoto walemavu na wanawake lakini na jamii kwa ujumla Watu wasichotambua kuhusu ustawi wa jamii Watu wengi wanahisi ustawi wa jamii ni...
  20. Comm Dev Expert

    Msaada: Any idea ya Written Interview Afisa Ustawi wa Jamii Daraja la II?

    Wataalamu mambo vipi, kuna ndugu yangu aliomba nafasi kama Thread tittle inavyojieleza hapo juu hivi karibuni na tarehe 18 ya Jumamosi anatakiwa akafanye usaili (Written) Nilikuwa naomba kwa mwenye Idea yoyote au vitu vya msingi vya ku- focus key intention hapa ni kufaulu maana nimekuwa nikiona...
Back
Top Bottom